Search results

  1. Samedi Amba

    Niliamua kukunja jamvi - Ndoto ya Machimbo.com

    Habari wanajamvi, Natumaini kuwa mnaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nakumbuka nilikuja kwenu na wazo majuzi. Nilitamani kutengeneza mfumo utakao wawezesha wateja kununua kwa bei ndogo na wauzaji kuwafikia wanunuzi moja kwa moja. Nikiwa "chini ya maji", nilipitia phases kadhaa...
  2. Samedi Amba

    Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania

    Habari wanajamvi, Natumaini wote tunaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nimekuwa mdau wa kununua vitu mtandaoni kwa muda mrefu. Imenilazimu sana kumtuma mtu endapo nafanya biashara na "mgeni" nisiyemfahamu. Kwa mfano, mwaka jana nilinunua laptop kwa mdau mmoja Mwenge, DSM. Ilinibidi...
  3. Samedi Amba

    Natafuta machimbo ya simu za batani

    Habari wanaJF, Natafuta simu za batani kwa ajili ya mteja mkoani. Naomba connection 1. Endapo wewe ni muuzaji, tuwasiliane. Nipe namba yako na duka liliko, ntakutafuta. Uwe na whatsapp ili niweze kukagua simu zilizopo kwa ajili ya msururu ya wateja nlio nao. 2. Endapo wewe ni winga/winger...
  4. Samedi Amba

    Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

    Habari WanaJF, Natumaini tumeanza siku vizuri. Hata kama kuna mambo hayaendi, shukuru hata kwa uhai. Mungu yupo atakupambania... Bila kupoteza muda, ningependa kuwashirikisha wazo, na naomba feedback. Kama mfanyabiashara, siku zote unatafuta pa kununua vitu kwa bei ndogo ili uweze kuuza kwa...
  5. Samedi Amba

    Ushauri wa bure kwa waajiriwa wote

    Habari wanaJF! Natumaini Jumapili imeanza vyema. Katika pitapita zangu, nimekutana na mawaidha yafuatayo yanaweza kukusaidia wewe mwajiri kuwa na mwisho mzuri na kufurahia maisha ndani (na baada) ya kazi. 1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini au mjini. Usisubiri kufikia miaka 50. Usizoee nyumba...
  6. Samedi Amba

    Network ya Garage Sales, Tanzania

    Habari wanajamvi, Kwa sisi wa maisha ya kawaida, fursa hupatikana pale mtu anapohama au kuuza vitu kwa bei ndogo kwa ajili ya kutaka kununua kingine. Especially wakipatikana wale wageni ambao kwa namna moja au nyingine wanauza vitu vyao kabla tu ya kuhamia nchi nyingine. Kuna baadhi ya...
  7. Samedi Amba

    Natafuta Bulk SMS Provider ambaye ana bei nafuu

    Wadau! Natumaini jumatatu yetu imeanza vizuri. Ni buheri wa afya hapa morogoro katika chimbo fulani hivi. Bila kupoteza muda. Natafuta bulk SMS Provider ambaye bei zake ni nafuu. Kuna jamaa fulani kule kenya wanafanya kwa KES 0.2/sms (Bongo ni sh 3.5 hivi). Sasa wabongo wengi wanachezea TZS 13...
  8. Samedi Amba

    Natafuta Watengenezaji wa Biogas hapa Tanzania

    Habari wanaJamvi, Natumaini siku yenu inaendelea vizuri. Kama ilivyotajwa hapo juu, natafuta anayeshughulika na BioGas hapa Bongo. Nahitaji sana. Asanteni.
  9. Samedi Amba

    .TZ Domain name hatimaye

    Habari wanajamvi, Hapo nyuma, niliuliza swali. Hili hapa: Leo asubuhi nilipata email kutoka Dudumizi, kuwa reservation zimeanza. Nilipiga simu DuHosting, wakaelezea yafuatayo: Sasa hivi wanafanya reservation, kama ulisharegister jina lolote lenye format ya .xx.tz (iwe .co.tz, .ac.tz etc)...
  10. Samedi Amba

    Kureplace line ya safaricom

    Habari wanaJF, Nilipoteza line yangu ya safaricom majuzi, kuna mtu anauza blanks kwa ajili ya replacement? Kama upo tuonane inbobo.
  11. Samedi Amba

    Hivi .tz TLD domain ishawekwa wazi kwa ajjili ya watanzania wa kawaida kama mimi?

    Habari wanajamvi. Leo nilikutana na Karibu.TZ | .TZ Domain names registration portal (nafahamu ndo website ya TCRA?) Hivi .tz TLD ishawekwa wazi kwa ajjili ya watanzania wa kawaida kama mimi? Anayefahamu atujuze tafadhali.
  12. Samedi Amba

    Natafuta Samsung Tab 8 Mpya

    Hello Wadau, Niko Dar. Natafuta tab 8 mpya. Isizidi laki 4. Au Tab T. Nishtue inbox. niko Dar mpaka kesho jioni
  13. Samedi Amba

    Jinsi ya kutuma transferwise (WISE) kwenda Voda Mpesa

    Habari wanajamvi, Kwa wale tunaofanya kazi mtandaoni, what's the best way kutransfer hela from Wise kuja Mpesa/Tigopesa? Kuna rafiki yangu kaniambia Mpesa ni dakika 30, sasa bank transfer nilijaribu, wananiambia 48 hours! Msaada please.
  14. Samedi Amba

    App/Software ya kuonyesha matokeo Bongo (NECTA)

    Habari wanajamvi, Natumaini tunaendelea vizuri. Kila mwaka sisi hutarajia matokeo ya mitihani. Hata kama sio ya kwako, mtoto/ shangazi/ mpwa/ mke/ mme nk wanahusika. Naomba kujua kama kuna apps au systems au SMS shortcodes nk ambazo zimerahisisha hili, kiasi kwamba sina haja ya kwenda kwenye...
  15. Samedi Amba

    Jinsi ya "kubounce back" baada ya kupoteza katika biashara

    Habari wanajamvi, Kichwa tajwa hapo juu. Kwa kifupi: Niliingia ubia na jamaa nikatoa hela zangu akamwomba jamaa mwingine aagize mzigo mzigo (wa nafaka) ukaja umechanganya rangi. Badala ya tani moja ikaja kilo 490, na kati ya hayo 200 tu ndo ilikuwa nzima. hata hivyo, yalikuwa size ndogo sana...
  16. Samedi Amba

    Wazo Challenge Africa - Dirisha la Usajili liko wazi

    Wazo Challenge Tanzania ni mchakato ulioanzishwa kuwawezesha Watanzania kutatua changamoto za kidijitali Tanzania. Je, una wazo ambalo linaweza kutatua changamoto fulani? Kwa kujiunga na Wazo Challenge Tanzania, unaweza kulipa wazo lako mabawa na kupiga hatua mbele. Mnamo mwaka 2020...
  17. Samedi Amba

    Jinsi ya kuwithdraw from TransferWise

    Habari wanajamvi, Kwa wazoefu, nilitaka kujua jinsi ya kuwithdraw from Transferwise to my own MPESA account. Msaada tafadhali.
  18. Samedi Amba

    Wenye system za shule (school management system) nawaomba

    Kuna mteja nimempata. Anahitaji school management system. Kama ya kwako ina sifa zifuatazo, nakuomba: Inaweza kuwa installed offline ina uwezo wa kuvuta reports sawasawa (ntaomba evidence of this). iko flexible enough to change kama inakidhi mahitaji haya, tujuzane. I need it urgently, so the...
  19. Samedi Amba

    Siwezi kuaccess twitter bila VPN

    Habari wanajamvi, Nimegundua kuwa siwezi kuaccess mtandao wa Twitter bila VPN. Ama kwa simu au via PC. Tangu ziwe locke. Sijui kama humu mnapitia hili pia?
  20. Samedi Amba

    Ask Me Anything: 10 Answers to Questions You May Have About the Tony Elumelu Foundation (TEF) Mentorship Program

    1. Who is Tony Elumelu? Tony Elumelu (full names are Anthony Onyemaechi Elumelu) is a Nigerian by birth. He is an economist by profession, holding three bachelor’s degrees and a Master’s degree from Nigerian universities. He is the chairman of Heirs Holdings group. He also has a stake at the...
Back
Top Bottom