Search results

  1. Samedi Amba

    Maonyesho ya kibiashara china na Turkey

    Vipi kuhusu expo za humu nchini?
  2. Samedi Amba

    Niliamua kukunja jamvi - Ndoto ya Machimbo.com

    Habari wanajamvi, Natumaini kuwa mnaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nakumbuka nilikuja kwenu na wazo majuzi. Nilitamani kutengeneza mfumo utakao wawezesha wateja kununua kwa bei ndogo na wauzaji kuwafikia wanunuzi moja kwa moja. Nikiwa "chini ya maji", nilipitia phases kadhaa...
  3. Samedi Amba

    Unafikiri Tanzania imefikia sehemu unaweza kununua bidhaa na huduma mitandaoni kwa urahisi?

    Nahisi shida siyo hata uwepo wa eCoomerce, bali trade assurance. Kuna uzi nimeuandika muda so mrefu tunaweza kuchangia wote: Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania
  4. Samedi Amba

    Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania

    Habari wanajamvi, Natumaini wote tunaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nimekuwa mdau wa kununua vitu mtandaoni kwa muda mrefu. Imenilazimu sana kumtuma mtu endapo nafanya biashara na "mgeni" nisiyemfahamu. Kwa mfano, mwaka jana nilinunua laptop kwa mdau mmoja Mwenge, DSM. Ilinibidi...
  5. Samedi Amba

    Tunakwama wapi umewahi kujiuliza Kwanini top 10 ya matajiri wa dunia wengi wao wanabackground ya programming

    Kuna jamaa anajiita Jack Ma. Hajui chochote kuhusu programming, bali anatusua. Sio lazima ujue programming. You just need kujua kunamange watu. MAana watu ni rasilmali, wanaovutia wenye rasilmali wanaoweza kuinvest in your business,
  6. Samedi Amba

    Kwanini kila aliyefanikiwa online anakwambia soma hizi skills???

    Alisahau kukwambia umuhimu wa soft skills. Na pia kwamba online success comes when preparedness meets oppotuninity. Alisahau pia kukwambia kuwa the success isn't going to be instant: lazima iwe process fulani tangu kuanza na clients ambao wanadunduliza hadi kupata mafanikio ya kweli, na utamu wa...
  7. Samedi Amba

    Natafuta machimbo ya simu za batani

    Habari wanaJF, Natafuta simu za batani kwa ajili ya mteja mkoani. Naomba connection 1. Endapo wewe ni muuzaji, tuwasiliane. Nipe namba yako na duka liliko, ntakutafuta. Uwe na whatsapp ili niweze kukagua simu zilizopo kwa ajili ya msururu ya wateja nlio nao. 2. Endapo wewe ni winga/winger...
  8. Samedi Amba

    Suluhisho la kutopatikana wa Dola na kushindwa kulipia gari kutoka SBT JAPAN

    Hello. Asante kwa kuwasilisha. Unaweza kufungua account na kampuni ya wise.com. Humo kuna option ya USD ambayo unaweza kutumia kulipia. Aidha, VISA/Mastercard inaweza kufaa. Natumiaga ya MPESA bila tatizo lolote. Hiyo issue ya kutaka kulipa dollar physically itakuchelewesha bureee.
  9. Samedi Amba

    Chimbo la mikoba ,nguo za kike na high heels ni lipi?

    Nina list ya machimbo. Njoo inbox nikupe details plus namba za simu.
  10. Samedi Amba

    Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

    List yangu ya machimbo yametokana na connection nlojenga na wafanyabiashara wenza. Of course according to ushauri nimeona haja ya kuexpand kwa nlichokuwa nacho, kuongeza na kupunguza ili kuwa na list iliyonyooka na yenye bei nafuu. Aidha, idea ya quality assurance nimeiona pia, na naifanyia kazi.
  11. Samedi Amba

    Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

    Asante kwa challenge hii baab kubwa. Hiyo hiyo trade assurance ndo ya kwangu. Technically mimi ni "digital winga", na dhumuni langu ni kukeep digital track na social proof kuwa wazo langu linafanya kazi.
  12. Samedi Amba

    Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

    Asante kwa maoni mazuri. Wazo langu linahusu vitu vingi. Escrow, quality assurance, sales patterns nk kujaribu kumsaidia mteja kufikia soko kwa haraka, kwa usalama na kwa uhakika.
  13. Samedi Amba

    Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

    Swali zuri Freyzem USP yetu ni kuleta bidhaa kwa namna ya unafuu wa bei. Tutakuwa na "jicho la ziada" kuwasaidia wateja wetu kupata sio machimbo na namba tu, bali kuwa up to date na flash sales. Aidha, tutalink na trusted ways ya kuwafikishia mizigo at affordable rates. Difference na akina...
  14. Samedi Amba

    Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

    Je kama mimi ni winga vilevile, na niko hapa kufanya kazi kama wao? Na, vipi kama hii ni mbinu tu ya kufanya biashara kwa ubunifu zaidi?
  15. Samedi Amba

    Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

    S Swali zuri. User discretion. Kuna haja ya kujiridisha na unayenunua kwake. Tutafanya our best kujaribu kupata details za kutosha kuhusu kila chimbo. Hata hivyo, tunafahamu kuwa ubinadamu upo, na kuna vigezo fulani vinapaswa kutumiwa kujiridhisha. Tutaweka verification badge at some point, na...
  16. Samedi Amba

    Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

    Niko Morogoro mkuu. Ila implementation plan ndo hiyo. Kuwa free kuikosoa hapa, kwa faida ya wengine pia. Ila, kama unataka mawasiliano zaidi, namba ni 0742308110
  17. Samedi Amba

    Machimbo ya Kariakoo Mkononi Mwako

    Asante mkuu. Unapendekeza sh. ngapi kwa chimbo moja?
Back
Top Bottom