Search results

  1. M

    Mchumba wangu ana matatitizo ya kizazi hawezi kuzaa, kumuacha namuonea huruma, nifanyeje?

    nashukuru sana kwa ushaur wenu wadau. nnaamin utanisaidia ktk kufanya maamuz yalio sahihi. mungu awabirik sana. amen,
  2. M

    Mchumba wangu ana matatitizo ya kizazi hawezi kuzaa, kumuacha namuonea huruma, nifanyeje?

    Jamani naomba ushauri, Mimi nina mchumba wangu ambae naishi nae lakini hatujafunga nae ndoa, huu ni mwaka wa 3, hajapata mimba na baada ya kwenda hospitali amegundlika kuwa ana matatizo na hawezi kuzaa! Kumuacha namuonea huruma kwani si kosa lake, nifanye nini? Ushauri, matusi no plz!
  3. M

    Opportunities!!

    hivi utapeli huu bado upo tuu hapa bongo!!! nani awe machinga wa kuuza bidhaa za kipuuzi na kuwanufaisha nyie...!!! hakuna lolote...wizi mtupu!!!!
  4. M

    tatizo la ajira: NHIF yafurika application

    hahaha acha hizo kaka!! mbna hata wewe ulileta application zako pale leo!! tulikuwasote kwenye folen...acha kujifanya matawi...!!!
  5. M

    Mwalimu wa computer anatafuta kazi!!

    Ndugu watanzania wenzangu, mim ni Graduate, nina bachelor ya computer science (BCS)..nina interest na uwezo wa kufundisha masomo ya computer kwenye shule/vyuo...kwa anaehitaj mwalimu wa computer plz tuwasiline kwa no 0714141815. Akhsanteni....
Back
Top Bottom