Search results

  1. T

    Kwa kasi hii Makonda aongezewe Bashiru, Kabudi, Lukuvi na Polepole

    Kwa siku za hivi karibuni, chama cha Mapinduzi (CCM) Kimeanza kurejesha imani kwa wananchi na wanachama waliokuwa wamekata tamaa. Kila kona ni mjadala kuhusu Katibu Mwrnyezi wa Chama Cha Mapinduzi Komredi Paul Makonda kutokana na Uthubutu na Ujasiri katika Kusimamia Utekelezaji wa Ilani ya...
  2. T

    Mchengerwa na Biteko pekee hawataweza kutuvusha, tuwaongezee nguvu

    Mabadiliko ya baraza la mawaziri yamethibitisha nia ya dhati ya Mh. Samia kuongeza kasi ya serikali kuwatumikia wananchi na kuchochea maendeleo ili kufikia dira ya maendeleo ya Taifa 2025. Katika mabadiliko hayo, Mh. Rais ameoneshwa kuridhishwa na Mh. Biteko na Mchengerwa hivyo kuwabadiloshia...
  3. T

    MWAUWASA mjitathmini sio lazima kutenguliwa ndipo muwajibike

    Ahsante JamiiForums kusaidia utatuzi wa kero ya maji Mwanza. Kumekuwepo na kero kubwa ya maji katika jiji la Mwanza ingawa kuna ziwa kubwa lenye ujazo wa maji ya kutosha katika jiji hilo. Wiki iliyopita paliandikwa makala hapa JamiiForums kulalamikia mgao wa maji usioeleweka. Baada ya andiko...
  4. T

    Muda wa maamuzi magumu ni sasa

    Katika kitabu cha Shaban Robert kiitwacho Kusadikika, Mtunzi anashauri 'Ng'ombe kurejea zizini kusaidiwa baada ya kuvunjika marishoni, sio kosa'. CCM imevunjika, irejee zizini kusaidiwa ili kusonga mbele. Maandalizi ya uchaguzi wa 2025 ni sasa hivyo kama chama tufanye maanuzi magumu ili...
  5. T

    Halima Mdee anastahili tuzo ya heshima ya uzalendo

    Katika mchakato wa kupitisha Mkataba wa Bandari, Halima Mdee alisimama kidete kutetea Maslahi ya taifa katika uwekezaji bandarini. Halima Mdee hakusimama kama Mpinzani au mwana CHADEMAA bali kama Mzalendo, Mtetezi na Mpenda Nchi na Mlinzi wa Rasilimali za Taifa. Mchuano ulikuwa mkali baina ya...
  6. T

    Mshahara umeongezeka 23.3%, nauli zimepanda 60%

    Kuna shangwe kuhusu tamko la serikali kuongeza mshahara 23.3% wakati ambao nauli ya bajaji na daladala na bajaji imepanda kutoka sh 500 hadi 800 sawa na 60%.
  7. T

    Kuchanganya siasa na soka, Simba wametukosea sana Watanzania

    Leo kuna mchezo wa soka, robo fainali ya Kombe la shirikisho baina ya Simba ya Tanzania na Orando Pirates ya Afrika kusini. Taarifa zilizotufikia chumba cha habari ni kwamba Mgeni rasmi atakuwa Abrahaman Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi. Mechi hii ni ya kitaifa na inasubiriwa na...
  8. T

    Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

    Leo hapa jijini kunafanyika kongamano la miaka 100 tangia kuzaliwa kwa Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere, 1922 huko Butiama mkoani Mara Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu. Mfano: 1. Kwamba Mwl...
  9. T

    Hongera Dkt. Bashiru na Komredi Polepole, Tuandikieni kitabu kama zawadi

    Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya na Katibu Mwenezi wa CCM Leo jijini Dodoma kumehitimisha utumishi wa Dkt Bashiru na Komredi Polepole katika Utumishi wa chama cha Mapinduzi. Utezi wa Dkt. Bashiru na Hamphrey Polepole katika kukiongoza Chama cha Mapinduzi ulirejesha matumaini mapya kwa watanzania...
  10. T

    Dkt. Bashiru piga moyo konde na usonge mbele

    Wakati nasoma chuo kikuu cha Dar es salaam enzi zile Hayati Dr. Magufuli akimalizia masomo yake ya Shahada ya Uzamivu, nilimtambua Dkt Bashiru kama Msomi, Mzalendo, Mjamaa na mpenda mabadiliko ya dhati kwa maendeleo ya wananchi. Kamwe sikutarajia kama IPO siku Dkt Bashiru atakuwa sehemu ya...
  11. T

    Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

    Uteuzi wa Dkt. Philip Mpango unaweza kuwa na tafsiri nyingi, mojawapo ikiwa ni kutaka kumpenyeza Charles Kimei kuwa Waziri wa Fedha. Mpango ni mchapakazi, mnyenyekevu na Mzalendo hivyo anafaa kwa nafasi hiyo ili kumsaidia mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Kama Mpango anamlisha Mkurugenzi mstaafu...
  12. T

    Kumuenzi Hayati Magufuli, mkoa wa Chato uitwe Magufuli

    Kazi iliyotukuka aliyoifanya Hayati Dokta John Joseph Pombe Magufuli tangia akiwa waziri hadi alipokuwa Rais wa awamu ya tano ni kubwa mno na inaonekana. Ingawa amelala mauti, jina lake, maono yake, miradi aliyoisimamia akiwa madarakani na Jitihada zake katika kulinda , kusimamia na matumizi ya...
  13. T

    Karibu Mama Samia Suluhu Hassan, Timu JPM Tunakuunga Mkono100%

    Pamoja na majonzi na masikitiko makubwa ya kumpoteza Team Leader wetu, Hayati Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba yetu imetupa faraja kwamba Mama yetu Mpendwa unashika rasmi kiti cha Urais. Tunaishukuru sana katiba hii na wale...
  14. T

    Uchaguzi 2020 Maoni yangu; Tuzo 10 bora za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania kwa mwaka 2020 umekamilika rasmi Leo kwa mshindi wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dokta John Joseph Pombe Magufuli Kukabidhiwa cheti cha Ushindi. Katika hekaheka za Kampeni za uchaguzi wa mwaka huu, zilizodumu kwa siku 60, kuna Tuzo kumi...
  15. T

    Uchaguzi 2020 Hongera Dkt. Magufuli kwa ushindi wa kishindo. Tuliyoyaona kwenye kampeni tujifunze

    Nichukue Fursa Hii kukupongeza Dokta John Joseph Pombe Magufuli kwa ushindi wa Kishindo wa 84% ya kura zote. Nikupe pole kwa uchovu wa hekaheka za kampeni kwa Siku 60 wakati pia ukitekeleza majukumu ya Urais. Niwashukuru pia wananchi kwa kukuamini na kukupatia awamu ya pili ya miaka mitano...
  16. T

    Solar Heater 50 litres

    Naomba kufahamu bei ya solar heater ya Lita 50 kwa matumizi ya nyumbani.
  17. T

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akishinda, Afrika imeshinda

    Kesho Oktoba 28, 2020 ni siku ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Nianze kwa kuwatakia Uchaguzi mwema wa Kizalendo kwa watanzania wote, ukiwa uchaguzi wa amani, huru na haki kwa watanzania wa vyama vyote, jinsi zote, dini zote, rika zote na kada zote. Uchaguzi huu ni muhimu kwa watanzania na Afrika...
  18. T

    Uchaguzi 2020 Katika Uchaguzi huu, WAZALENDO tutawashinda MABEBERU

    Uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni mchuano baina ya Wazalendo tunaoipenda nchi yetu, tuliotayari kuzilinda rasilimali zetu dhidi ya Mabeberu na mawakala wao. Kwanini Mabeberu wanachuana na Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?. Tafakari sababu hizi kumi kisha uchague upande wa kuunga mkono...
  19. T

    Miaka 21 baada ya kifo cha Baba wa Taifa, mgombea yupi anabeba maono ya Mwl. Nyerere?

    Leo ni takribani miaka 21 tangia kifo cha muasisi wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Tangia kifo cha Baba wa Taifa mnamo Oktoba 14, 1999, Swali kubwa kwa watanzania lilikuwa ni 'Nani atabeba maono ya Baba wa Taifa katika kuiendeleza Tanzania?.' Huu ni mwaka wa uchaguzi na watanzania...
  20. T

    Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

    Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli. Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora...
Back
Top Bottom