Search results

  1. Escaper

    Kwa aliyepo Misungwi mkoani Mwanza

    Naomba kujuzwa ghalama ya chumba cha kupanga 'self contained room'. Kodi ya Frem ya biashara mtaa wenye mzunguko wa fedha. Nataka nihamie huko ko nategemea ushirikiano wa mnaojua hayo maombi yangu. Asante
  2. Escaper

    Wazee wa breaking bad, El camino imetoka jana

    Japo mimi kama mimi sijategemea kuona imepooza hivi ila ndo hivyo (Kazi ya Vince Gilligan) . Sehemu kubwa ni kama inaelezea namna gani Jesse Pinkman aliwezaje survive torture za Uncle ake Todd na mwisho kuonesha maisha yake mapya baada ya episode ile ya mwisho. Unaweza ipakua ukainjoi...
  3. Escaper

    RAV 4 Adventure 2019 ni gari inayokupa uhuru wa nafsi wakati wa kuitumia

    Teknolojia ni matumizi ya sayansi katika sekta za uzalishaji na sekta nyingine kama vile mawasiliano, hasa hasa kwa madhumuni ya kibiashara. Pia, tunaweza kusema kuwa, teknolojia zinahusisha njia za kisayansi pamoja na bidhaa zinazotumika kukamilisha madhumuni ya viwanda au biashara husika...
  4. Escaper

    Hiki ndiyo kikosi kazi alichokitaja Spika Ndugai

    Kikiongozwa na: 1. M/Kiti -> Stupid-belong to them 2.Katibu -> palm network Taja wengine kwa codes
  5. Escaper

    Bando la halotel

    Wakuu, hivi kuna ambaye anatumia lile bando letu la kushusha vitu (heavy weight) 1000 internet bure kuanzia saa 6 mpaka sa12 asbh Maana mara ya nne hii nachoma buku zangu hela wanachukua na kifurushi sipati. Napenda kujua hilo kwa mnaotumia halotel.
  6. Escaper

    TBC yao, Clouds media yao, Chanel 10 yao lakini...

    Hawa ndugu zetu wa Lumumba wamefanikiwa kuteka media ambazo ukisikiliza siku nzima anatajwa Rais wa JMT pamoja na ilani ya CCM,kiufupi huwezi sikia jema liliofanywa na upinzani zaidi ya Mbowe afikishwa mahakamani kusomewa shitaka linalomkabili. Yote hayo licha ya kupata mileage kwenye media...
  7. Escaper

    Nini sababu ya katazo la kupiga picha bwawa la Mtera?

    Kwanini ni kosa kupiga picha katika bwawa la kufua umeme Mtera ? Je ni katazo tu la kimamlaka au kuna sababu inayoeleweka kwanini usipige picha /video. Mnaosafiri mikoa ya nyanda za juu kusini natumaini mmeshawahi pewa tahadhari na makondakta wa mabasi kuhusu kutopiga picha eneo la Mtera...
  8. Escaper

    Nini kipo nyuma ya kuzuia kuchukua picha au video za bwawa la Mtera?

    Kwa wasafiri wanaotumia barabara ya Iringa - Dodoma natumaini mshawahi kupewa tahadhari na makondakta wa basi kuhusu kutopiga picha au kurekodi video pindi muwapo ndani ya vizuizi vya bwawa la mtera, je ni kwanini kuna zuio hilo la kupiga picha. Naamini kuna wajuzi humu watatufumbua macho juu...
  9. Escaper

    Kutoka maktaba: Dr. Ulimboka

    Gazeti: Majira Tarehe: 28/06/2012
  10. Escaper

    Rais Yoweli K. Museveni

    Anamwagia mti maji wakati mvua kubwa inanyesha kweli kupatwa kwa kiki. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Escaper

    Nini kitatokea kama 25% irudishwe tena ghafla

    Ikitokea Mtukufu Jiwe akaamua kupiga U-turn leo ijumaa ya tarehe 04/01/2019 na kutengua uamuzi wa kufuta kikokotoo na kurudisha kile cha 25% ya mafao ya wastaafu kiendelee kutumika kama sheria ya siku chache za hapo nyuma. Nina uhakika kuna mazombie wataunga mkono na kutakuwa na vikao vya...
  12. Escaper

    Ndoto ya kufedhehesha.

    Nimeota nimezamia kwenye ziara ya mfalme wa kijiji chetu chenye takribani watu mil 50 (ikumbukwe tu mimi si mfuasi wake hata kidogo ) sasa baada ya makofi na vigeregere kutoka upande ule unaomsifu na kumtukuza ukafika wasaa wa mfalme kufunga hafla hiyo. Gafla akaanza kutoka lile eneo la jukwaa...
  13. Escaper

    Hivi nyie hamuoni kuwa mna muumiza jiwe

    Kumekuwa na wimbi la wasanii kumtembelea Rais wetu mstaafu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete hasa katika kipindi hichi ambapo wasanii wanapitia kipindi kigumu kibiashara na kisanaa. Mbali na Diamond kula 'ban' ya BASATA ila kabla ya barua ya kusitishwa kufanya kazi ya sanaa alikwisha post picha akiwa...
  14. Escaper

    Baada ya dalili ya vikwazo wanaomba wananchi tuwasaidie

    Eti wanaomba wananchi tusimame upande wao kwenye hiyo vita ya MABEBERU Wamesahau watu wanaowapiga virungu na mabomu ya machozi ndio hao hao (wananchi). Wanaowatekwa na kupotezwa ndio hao hao (wananchi) Wanaoporwa korosho ndio hao hao (wananchi) Wanaowekwa mahabusu kwa matakwa ya mtu ndio...
  15. Escaper

    Hili la mkubwa wa kitengo kutua jengo jeupe

    Kuhusu kilichojiri siku ya jana haya hapa ni mawazo yangu, Kwanza msichokijua tu he is no longer an asset. Hiyo inaitwa piga nikupige kuna mawili jiwe anayoweza kufanikiwa/kujiharibia 1(a).Atumie nguvu yake kumvua uanachama Mango 2(b). Atumie genge la DAB kumdhuru Mango Baada ya hayo mawili...
  16. Escaper

    Walivyonipiga hela kizembe nikabaki nimeduwaa

    Linapokuja suala la kuingizwa mjini haijalishi wewe ni born town au wakuja ni "timing" tu. Kuna kipindi michezo ya kulizana pesa ilikua mingi sana, nakumbuka kuna mwaka katika mishe mishe zangu za town nikakuta kikundi cha watu kimekusanyika basi nikaona sio tabu ngoja nosogee.. Ile nafika...
Back
Top Bottom