Search results

  1. T

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    Sasa mimi japokuwa sio mwanasiasa ila sasa naachoka kila siku movie gani zisizoisha ziko kama Isidingo ya ITV. Hivi hawa viongozi wa nchi hii kila mtu anataratibu zake?Sababu mimi sielewi Juzi Katibu mkuu kiongozi katoa msimamo wa serekali kumrudisha kazini Jairo leo Raisi anamsimamisha?Sasa...
  2. T

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    Naomba tuwaelewe wabunge na wao pia ni binadamu,Wewe unadhani wote chadema ni matycoon kama Mbowe......Yeye mbowe karudisha VX ili akaendeshe Vogue sport lake nyie mnamtania......Sasa posho ya siku ni mafuta yakuwasha tu hiyo vogue yake.Wacha wazichukue hazina hakurudishwi change.
  3. T

    Mama Shelukindo kaamua kumwaga mboga na ugali

    duh kweli ukistajabu ya musa.............sasa mama shelukindo hivi vitu unavijua siku nyingi au baasiii tu..........
Back
Top Bottom