Search results

  1. TEMPOLALE

    Mwanasheria wa Zitto atolea ufafanuzi makosa 11 ya Zitto na wenzake

    Anakata rufani kwa waandishi wa Habari
  2. TEMPOLALE

    Kuuelewa Mgogoro wa CHADEMA na Kuumaliza Kuuelekea 2015

    Seen and saved for consolidation purpose
  3. TEMPOLALE

    Hivi Kabwe Zuberi Zitto wa kumtisha Dr.Wilbrod P. Slaa!? Haiwezekani!

    Vp unakaa kwenye hicho kitu kwenye avatar yako?
  4. TEMPOLALE

    Hivi Kabwe Zuberi Zitto wa kumtisha Dr.Wilbrod P. Slaa!? Haiwezekani!

    Kwani wee nani hata ungekuwa wa kwanza kuamini? Hivi hujajistukia mpaka sasa kwamba wewe ni uchafu katika jamii???
  5. TEMPOLALE

    Taasisi ya usalama wa taifa (TISS) ina bajeti?

    TISS hawakaguliwi kutokana na ukweli kwamba mambo yao yoote wanayoyafanya yanatakiwa kuwa siri, ila tatizo usiri huo unatumika vibaya sana, sidhani kama kuchukua Pesa kudhibiti upinzania ni Kazi ya usalama wa Taifa, sidhani kama kuchukua Pesa kulipa watu kwenye Ishu kama za Ulimboka na Kibanda...
  6. TEMPOLALE

    Mama Wassira Aiaga CCM Rasmi....

    Mama wasira ni mmoja wa Watanzania walio nufaika sana na utawala wa CCM kama walivyo akina Ritz , faizaFox , Simiyu Yetu lakini hawajataka kuendelea kuwa wanafiki wamejitambua.
  7. TEMPOLALE

    Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui

    Usishangae ukiambiwa STEIN hajapiga kura hapo juu
  8. TEMPOLALE

    Road Safety: Stika za Nenda kwa Usalama ni wizi, tuungane kuupinga

    Mimi nadhani faida ya pesa kutoka kwenye hizo stika mgawo wake unamfikia mpaka Rais haiwezekani uhuni kama huu unaendelea wazi wazi hakuna mtu anaye upigia kelele
  9. TEMPOLALE

    Plot inauzwa fasta kwa Million4.1 tu!!!!!

    Nayafahamu hayo maeneo na CDA wametoa juzi viwanja mbele ya hilo eneo nasikia mafisadi wamevinunua vyote japo bei zilikuwa za kukomoana, nashangaa sana kwanini wamepandisha sana bei ya kununua kiwanja na hata kodi ya kulipia kiwanja imepandishwa yaani kila sqm1 KODI NI Tshs50. wakati ilikuwa...
  10. TEMPOLALE

    Swala la kuchinja katika katiba!!!!

    Kuchinja si suala la Muungano
  11. TEMPOLALE

    Tuwatake radhi waarab!

    Polisi imekamata Polisi 16 kwa tuhuma za kushirikiana na maafisa wa TRA kukusanya ushuru kutoka kwa wafanya biashara wanaoingiza magendo kupitia bandari Bubu ya Mbweni, Kova amekataa kuyataja majina ya hao Polisi amedai uchunguzi bado unaendlea je? ni kwanini walikurupuka sana kulitaja jina la...
  12. TEMPOLALE

    Polisi 16 wakamatwa Dar

    basi kuna siku moja nilikuwa nimechelewa sana kutoka ukumbumbi wa NSSF Waterfront kwenye harusi ya mdogo wangu, na nilikuwa narudi home Bunju mida ya saa tisa usiku nilikutana na Landcruser moja ya polisi ikisindikiza Loli tena lenye Tera wakiwa wanaingia vinjia vya mtaani usiku hule nikahisi tu...
  13. TEMPOLALE

    Mwanamke: Unatoka mtoko wa kwanza halafu unakutana na karaha hizi….!

    11.Unagundua gari la thamani alilolitumia kukutana na wewe ameazima kwa mshikaji unayemfahamu kwa minajili ya kukuhadaa wewe ilihali wewe siyo materialist
  14. TEMPOLALE

    LIVE:Jukwaa la Maoni ya katiba Mpya SUMBAWANGA MJINI

    Achana nao hawa tushawachoka, usije ukashangaa wanataka kwenye katiba mpya kuwe kuna kipengere kinachoifanya ijumaa iwe siku ya mapumziko
  15. TEMPOLALE

    Msimamo wa Wanahabari na Jeshi la Polisi umekaaje?

    Hizi ni habari mbaya ambazo Jeshi la polisi lisingependa zitoke hadharani kwamba Kamanda wa polisi mkoa kapigwa na kitu kinachosadikiwa kiriluka kutoka kwenye kitu kilichoelekezwa kwake usiku wa manane akiwa na mwanamke asiye mke wake, ndiyomaana waandishi waneirusha sana
  16. TEMPOLALE

    Karibu JamiiForums Mhe. Rachel Mashishanga

    Mimi wa hapahapa JF, mbona uanuliza maswali ya kitoto? hivi hujui kuandika kitu kukipost then kukifuata na kuki-delete ni ubabaishaji? yaani kiufupi unakuwa umeposti kitu kwa kukurupuka, kiongozi anayekurupuka ni hatari sana anaweza kufanya decision ya hovyo kuja kukumbuka kwamba kachemka...
Back
Top Bottom