Search results

  1. kilagalila

    DC aagiza kufungwa biashara ya yeyote atakayepandisha bei vitakasa mikono

    Njombe Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri amewaagiza maafisa tarafa kuwafungia biashara wafanyabiashara watakaobainika wamepandisha bei vitakasa mikono zikiwemo ndoo za maji katika kipindi hiki cha mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya COVID-19. Ametoa agizo hilo hii leo katika kikao...
  2. kilagalila

    COVID-19, Mkao mpya kikao cha kamati ya ulinzi na usalama chafanyika nje ya ofisi

    Njombe Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Njombe ikiongozwa na mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye ni mkuu wa wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri imelazimika kufanya kikao chake cha kawaida nje ya ofisi wakiwa wamesimama kwa kupeana nafasi takribani masaa mawili ili kutekeleza agizo la kuto kukaa...
  3. kilagalila

    DC Njombe ataka sehemu za starehe kufungwa saa nne usiku kuepuka Corona

    Njombe Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza watoa huduma za baa na wamiliki wa maeneo ya starehe kufunga huduma hizo kwa kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19) ili kuepusha maambukizi na kuenea kwa virusi hivyo. Ruth Msafiri ametoa agizo hilo mapema siku ya leo...
  4. kilagalila

    Corona yasitisha uchaguzi wa viongozi wa CWT Ngazi za wilaya

    Njombe Kutokana na tishio la ugonjwa wa Corona (COVID 19) unaeoendelea kuenea nchi nyingi Duniani huku Tanzania ikifikia wagonjwa 6 mpaka sasa kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waziri wa afya maendeleo ya jamii, jinsia na watoto Ummy Mwalimu. Katibu wa chama cha walimu Tanzania CWT mkoa wa...
  5. kilagalila

    Makete: Mwingine tena atimuliwa na wananchi kwa tuhuma za ushirikina

    Wananchi wa kitongoji cha Gongoti kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoa wa Njombe wameazimia kumfukuza Bi. Asteria Sanga ambaye alikuwa akiishi kijijini hapo wakimtuhumu kwa vitendo vya ushirikina Maamuzi hayo yamefikiwa Februari 28, 2020 ikiwa zimepita takribani wiki mbili tangu wananchi wa...
  6. kilagalila

    RC Ole Sendeka awapa mwezi mmoja viongozi kuwatafuta wanafunzi 708

    RC Ole Sendeka awapa mwezi mmoja viongozi kuwatafuta wanafunzi 708 Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka ametoa muda wa mwezi mmoja kwa watendaji, maafisa elimu kata pamoja na viongozi wa mitaa na vijiji kuhakikisha wanafunzi 708 ambao hawajajiunga na masomo ya kidato cha kwanza...
  7. kilagalila

    Njombe: DC Msafiri aagiza kukamatwa walimu wanaofanya vitendo vya kikatili

    MAKAMBAKO Mkuu wa Wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kukamatwa kwa walimu mkoani Njombe watakaobainika kuwafanyia vitendo vya kikatiki wanafunzi ili kukomesha vitendo hivyo vinavyoendelea kutoka nchini. Hayo yamebainika leo Makambako mkoani Njombe wakati msafara wa kijinsia kutokomeza...
  8. kilagalila

    Mgumba:Tanzania ina utoshelevu wa chakula kwa zaidi ya asilimia 119

    Mgumba:Tanzania ina utoshelevu wa chakula kwa zaidi ya asilimia 119 Njombe Naibu waziri wa kilimo nchini Omary Mgumba amesema,Tanzania bado ina hali nzuri ya uwepo wa chakula kwa kuwa mpaka leo taifa lina utoshelevu wa chakula kwa zaidi ya asilimia 119. Mgumba ametoa taarifa hiyo mkoani...
  9. kilagalila

    Njombe: Mwalimu ahukumiwa miaka 3 jela na kulipa fidia Mil.10 kwa kumsababishia ulemavu mwanafunzi wake

    Mahakama ya wilaya ya Njombe imemhukumu mwalimu Focus Mbilinyi aliyekuwa akifundisha shule ya msingi Madeke hapo awali kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na kulipa fidia ya shilingi milioni kumi baada ya kumkuta na hatia ya kumpiga mwanafunzi wake na kumsababishia ulemavu wa kudumu. Hukumu...
  10. kilagalila

    Mkandarasi amchefua Waziri Mbarawa mkoani Njombe, aagiza kuwekwa kizuizini

    Waziri wa Maji Prof. Makame Mbarawa ameagiza kuwekwa kizuizini Msimamizi wa Ujenzi wa Mradi wa Maji wa Igando Kijombe unaotekelezwa na kampuni ya STC JV YELL LMT Wilayani Wanging'ombe Mkoani Njombe Erick Mlema kwa kushindwa kukamilisha mradi kwa wakati. Waziri Mbarawa amesema mpaka sasa mradi...
  11. kilagalila

    Radi yaua mwingine Njombe akiwa ananyoa nywele saluni

    Martin Nyigu (35) mkazi wa Kijiji cha Lusitu, Kata ya Luponde, Halmashauri ya Mji wa Njombe, Mkoani Njombe amefariki dunia kwa kupigwa na radi leo majira ya saa 9 alasiri akiwa ananyoa nywele saluni huku kinyozi na wateja waliokuwa wanasubiri huduma wakiwa salama. Diwani wa kata ya Luponde...
  12. kilagalila

    Njombe: Mkuu wa Wilaya, Ruth Msafiri adaiwa kushusha na kuchana bendera za CHADEMA

    KWAKO NDUGU RUTH MSAFIRI, MKUU WA WILAYA YA NJOMBE Salaam. Nichukue nafasi hii kutoa masikitiko yangu kwako kwa kitendo chako cha kuamuru kuondolewa kwa Bendera zetu na kuzichana kwenye halmashauri ya Mji Mdogo wa Makambako kwa madai KUWA Bendera zetu ni takataka. Huu ni ushamba wa...
  13. kilagalila

    Kamati kuu CHADEMA, tunawasubiri na kauli kuu "No Tume Huru, No Uchaguzi"

    Kama nakuona unavyotaka kujitoa mhanga
  14. kilagalila

    Tusishangae mwanasiasa kuhama chama

    Watajibu tusubiri
  15. kilagalila

    Njombe: CCM yazidi kuwapa mbinu za ushindi viongozi wa uenezi

    Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimewaelekeza makatibu wa siasa na uenezi ngazi ya kata na wilaya zote mkoani humo, kuhakikisha wanaieleza jamii shughuli za maendeleo zinazoendelea kwenye maeneo yao ikiwa na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya chama. Wito huo umetolewa na katibu wa siasa...
Back
Top Bottom