mbona hasemi kuhusu nyumba alomdhulumu mushi na vyombo kibao vya kuanzisha studio, bado hela walizomtapeli kushirikiana na mama yake? akifinywa atasema ukweli tu.
Nimeshangazwa na kuundwa kwa tume ya kuchunguza matokeo, naona ni matumizi mabaya ya hela bila umuhimu wowote, nasema hivyo kwa sababu haihitaji usomi kujua matatizo yanayoizonga tasnia hii ya elimu. Baadhi ya matatizo hayo ni:-
1. Wanafunzi kutozingatia masomo na badala yake kuvipa vitu vingine...
Kwa hili la gesi nimejifunza yafuatayo:-
1. Serikali inapenda kuburuza wananchi wake
2. Serikali inafanya maamuzi sahihi pale tu inaposhinikizwa
3. Wadanganyika wameanza kuamka kwenye "usingizi wa pono"
4. Kuna mikataba mingi tu ambayo wawekezaji wameshinikiza iwe ilivyo huku maslahi ya wazawa...
Miaka 51 ya uhuru! Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele. Je umewahi kufikiria tumethubutu kufanya nini? Tumeweza nini? Na tunasonga mbele kwenda wapi?
1. Miaka 30 ilopita tulikuwa na viwanda leo ni kama hatuna(tunasonga mbele)
2. Kumshtaki fisadi wa mabilioni na kumhukumu kifungo miaka...
Kumekuwa na tabia ya wanasiasa walioko kwenye nafasi zao kama mawaziri kufanya mabadiliko yasioyokuwa na kichwa wala miguu kwenye tasnia muhimu kama elimu bila kuwashirikisha wadau au kujali madhara yake, mfano wa mabadiliko hayo ni:-
1. Kubadili mihula ya A- Level kama homa za vipindi...
Jana waislamu waliandamana kudai kuachiwa kwa wenzao walioshikiliwa kwa kukataa kuhesabiwa waachiwe, swali langu ni kuwa waliomba kibali? sensa ilikuwa imeisha?
Toa maoni yako kwenye huu uzi kuhusu chochote ambacho ungependa kiwepo au kisiwepo kwenye katiba mpya ili tutakapokutana na Tume tutoe maoni yanayofananafanana.
JK katika 'mhadhara' wake kwa 'wazee' amedai kuwa hali ya afya si mbaya nchini na serikali imejitahidi sana kuboresha na mabo ni mazuri, ndo najiuliza
Ina maana madaktari walikuwa wanadai uongo?
Mbona viongozi wenyewe wakiugua hata kama ni malaria mfano Zito wanakimbizwa nje?
Wodini kila mtu...
hajafa mtu ila waliokuwa kwenye hilux ndo wameumia zaidi ya hao wa land cruiser, ni matokeo ya kotokufuata sheria za barabarani, matokeo yake wataweka matuta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.