Search results

  1. Soso J

    Hatimaye hesgoal.com mwendo wameumaliza, tutawakumbuka sana

    Ilinifanya nikawa nafuatilia NBA pale Marekani,games nyingi za kikapu nimefuatilia
  2. Soso J

    Waziri January Makamba unakwenda kufeli kutokana na sababu hizi

    Sidhani kama uko sahihi. Nahisi imekaa kwenye mlengo wa kumchafua Waziri ambaye amehudumu kwa muda mfupi kwenye hiyo nafasi! Mh. January hana ujuaji unaousema kwa muda mfupi aliopo kwenye MoE hajaonyesha hayo,ndio kwanza ametoa dira na matumaini ya kuanza upya
  3. Soso J

    Jamani Crown Athlete ni kali

    Hahaahaha ni shida!Sisi wenye 3s-Fe hatuwaziii mafuta
  4. Soso J

    Maharage Chande, MD mpya TANESCO ni nani?

    Mungu akubariki.....niishie kusema hivyo tu
  5. Soso J

    Apple kuzindua iphone 13 leo

    Hahaha mwana Shinyanga ngoja tuone
  6. Soso J

    Karibu ujipatie kaunda suit

    Endelea kujiboresha zaid na zaidi!!!Una kipaji lakini pambanaaaa uwafikie wengine waliokutangulia
  7. Soso J

    Another brand new AirTanzania A220-300 taking to the sky.

    Congratulation Madam President
  8. Soso J

    Naomba kufahamamishwa kuhusu Wilaya ya Kyerwa Kagera

    Wilaya ya Kyerwa ni moja ya Wilaya 6 za Mkoa wa Kagera,Makao makuu ya wilaya yapo kilomita 170 toka Bukoba Mjini,Ni Wilaya ambayo ina sifika kwa kilimo na ufugaji haswa mazao ya Ndizi,maharage,kahawa,Strawberry,mahindi kidogo. Hali ya hewa ni mvua za muda mrefu,kipindi kifupi cha Jua. Ni wilaya...
  9. Soso J

    Mkoa wangu wa Kagera tunakwama wapi?

    Punguzeni Ujuaji na kujifanya Mkoa wenu umeendelea kuliko Mikoa yote!Kwanza jiendelezeni kwa kuuza ardhi ili mpate mtaji wa kukiwamua!Unakutana na shamba Manispaa la Migomba kuubwa,ukiuliza eti hamuwez uza sbb mtakula ndizi
  10. Soso J

    Kauli ya IGP Sirro yaibua mapya, wadau waeleza

    Kweli umepitia Uwanja ww Damu
  11. Soso J

    Wapi nitapata Suti ya kiume ya kukodi?

    Tuma vipimo nikusaidie kwa bure tuu
  12. Soso J

    2021 NBA Playoffs special thread

    Kati ya Raha zoteee Duniani ni kuiona Lakers chini ya Lebron ikifeliiii
  13. Soso J

    Gharama za umeme: Rais Samia muwajibishe Waziri Kalemani na uongozi wote wa TANESCO

    AMINI KWAMBA UMEANDIKA HAYA KWA KUTOKUJUA DIRA NA UELEKEO WA SERIKALI
  14. Soso J

    2021 NBA Playoffs special thread

    NGOJA TUONE MAANA NBA IS WHERE AMAZING HAPPEN
  15. Soso J

    This has made my day

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom