Search results

  1. beka the boy

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    https://qurantalkblog.com/2020/07/01/earth-egg-shaped/
  2. beka the boy

    Kikuu Dar Siku hizi Wanapokea Mizigo Kutoka AliExpress, Jamaa ni Wazembe Sana wamepoteza Mizigo yangu

    Yeah nimeupata kwa jamaa fulaani ni agent wa kikuu nafikiri kwenye delivery information anaonekana jina na namba yake, nilimpigia akaniambia alipo nikaenda kuchukua parcel zangu bila malipo yoyote
  3. beka the boy

    Kikuu Dar Siku hizi Wanapokea Mizigo Kutoka AliExpress, Jamaa ni Wazembe Sana wamepoteza Mizigo yangu

    Mkuu naomba unipatie namba zao maana naona scenario niliyo nayo ni kama yako
  4. beka the boy

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nahitaji kujua gharama za kupata sumsung s9 plus battery toka Ebay au kwingine popote ila iwe original
  5. beka the boy

    Natafuta fundi wa simu za Samsung Arusha

    Nakushauri nunua kioo kingine aliexpress then tafuta fundi akubadilishie
  6. beka the boy

    Simu ya huawei p8 lite inakula sana bando

    Hapo ni kasi ya simu kwenye internet na quality kubwa ya picha na videos unazoangalia mtandaoni,,,lakini pia unatakiwa kufanya setting kama ku disable auto updates play store, data roaming pia set 3g badala ya 4g itasaidia.
  7. beka the boy

    Simu imekua ikiniumiza sana viganja vya mikono nikiwa nimeishika muda natumia

    Waeleze hayo matatizo hao waliokubadilishia kioo waone namna ya kukusaidia
  8. beka the boy

    infinix smart 5 (x697)

    Nimebahatika kuziona kama tatu hivi kwa rafiki zangu hazina 4g
  9. beka the boy

    Android updates in SM-G986U Samsung Galaxy S20+ 5g

    Mimi s9 plus nilidownload kupitia sam,nikaipiga fresh ila shida network ikawa inaishia 3g tu,,nilisikia hadi ufanye conversion ya rom hata sielewi ndo inakuaje kuaje
  10. beka the boy

    Samsung s9+ refurbished

    Zinakaa ila sio kwa kucheza games
  11. beka the boy

    Samsung s9+ refurbished

    Hapo shida ni betry,kwa gaming tafuta simu yenye betry kubwa
  12. beka the boy

    Msaada wa instagram

    Tumia simu nyingine,nenda kwenye forgot password watakutumia password reset kuna mtu nilimsovia kwa namna hiyo
  13. beka the boy

    Note 8 inazubaa internet

    Ambayo ndo hiyo inazingua mtandao na vikorea kama vyote
  14. beka the boy

    Note 8 inazubaa internet

    Duh kwa hiyo 10 sipati milele
  15. beka the boy

    Note 8 inazubaa internet

    Na vikorea kama vyote
  16. beka the boy

    Note 8 inazubaa internet

    Kunakua hakuna H+
  17. beka the boy

    Note 8 inazubaa internet

    So hakuna namna yoyote kuipeleka android 10?
  18. beka the boy

    Note 8 inazubaa internet

    Model ya simu SM-G965N na iliokuja nayo ni SM-G965F (android 9)
  19. beka the boy

    Note 8 inazubaa internet

    Yangu nikiipiga ya model yake mtandao unakuwa chini hadi niipige iliyotokana nayo huko sijui shida itakua nini mkuu!!
Back
Top Bottom