Search results

  1. Brother Jof

    Nauza pikipiki yangu Hunter DEC na eneo la carwash

    Upo. Nakuchek tuzungumze
  2. Brother Jof

    Nauza pikipiki yangu Hunter DEC na eneo la carwash

    Habari wakuu. Tafadhari rejea kichwa cha mada. Ninauza pikipiki yangu niliyokua natumia kwenda kazini yenye usajiri namba DEC bei Tsh 1,250,000 iko katika hali nzuri sana haijaguswa engine kabisa Pia nina eneo langu la carwash lililo eneo potential ilibaki miezi mitatu ya kodi 2500per day, Kuna...
  3. Brother Jof

    Kwanini kuna ongezeko la wanawake kuwa wakavu kupitiliza?

    Aisee nimekaa kiti ch mbele kabisa nijifunze. Hili swali mimi pia nimekua nikijiuliza sana kwa mrefu bila majibu
  4. Brother Jof

    Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Hahaha idea imeanza vzuri sana umekuja kuharibu hapo mwishoni[emoji2][emoji2][emoji2]
  5. Brother Jof

    Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

    Natamani sana kupata rafiki anaejua kilimo kiundani na anefanya kilimo biashara ili nijifunze kwa mifano dhahiri baadae na mimi nifanye kilimo kisasa cheje tija
  6. Brother Jof

    Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

    Mkuu natamani kuja inbox kidogo nipate experience yako
  7. Brother Jof

    Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

    Aisee na mimi nimefikiria kama wewe na ninachofikiria huenda ni hadithi ya kufikirika. Hilo suala lilikua sio la kufikiria mara mbili bali au kuja kuuliza uliza hapa bali ni kuchukua maamuzi tuu kama msomi
  8. Brother Jof

    Ni kipi ambacho unakihitaji sana muda huu? Someone might just surprise you

    Connection ya biashara ya uhakika na mimi niwe chanzo cha biashara yangu(uwekezaji) badala ya kutegemea niajiliwe katika biashara za watu
  9. Brother Jof

    Walimu mnaofundisha shule za binafsi mnaishije?

    Unafundisha masomo gani mkuu, uko Dar sehem gani?. I wish tuonane tubadishane mawazo
  10. Brother Jof

    Wanaume, zingatieni sana jibu la kwanza mnalopewa mnapotongoza ili kumpata mwenye mapenzi ya dhati

    Umeongea point ya msingi sanaa mkuu. Wanaume wengi ni wa hovyo sana suala la kutongoza. Mimi nilishakataaga kitambo sana upuuzi wa kutumia mda mrefu kumtongoza mwanamke. Yaani jibu la kwanza tuu linakupa picha inatosha haina haja ya kubembeleza sana kwasababu na wao pia wanahisia na wanapenda
  11. Brother Jof

    Nywele kuwa za rangi ya Brown

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mtu wa jalalani
  12. Brother Jof

    Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Share experience yako kwa hapo miono mkuu. Tunaweza kujifunza na sisi pia tusiopajua
  13. Brother Jof

    Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Naomba nikuchek dm kupata maelezo ya ziada kidogo mkuu
  14. Brother Jof

    Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Thanks mkuu. Hivi Gwata au Vikumburu viko wilaya gani na ninafikaje huko? Kutoka Dar
  15. Brother Jof

    Tupeane connection za mashamba/viwanja vya gharama nafuu

    Mkuu nishawah kusikia sehem hii ndio maana nikaja hapa nipate wadau wenye connection
Back
Top Bottom