Search results

  1. tongelao

    Nguo za mtumba first grade

    Wakuu wasalam Nataka kuuza nguo za mtumba hasa zakike mfano magauni, top na jinsi lakin sijajua machimbo ya nguo haya yapo wapi, Kama hapa dar basi niambiwe wapi naweza kupata belo kali kwa bei nzuri na pia kama nje ya Tanzania basi connection yake ili niweze kuagiza hilo belo.. Natanguliza...
  2. tongelao

    Uchaguzi 2020 Spana za Lissu kwa siku 60 Vs miaka mitano ya Siasa kwa CCM

    Wajumbe kwa mambo yanavyoonekana hivi sasa na mwenendo wa CCM kujibu hoja za Lissu, nathubutu kusema kama Tume ya Uchaguzi ikitenda haki basi Lissu anaingia Ikulu asubuhi saa nne na pia kama Tume isipotenda haki kwa maneno ya Lissu ambaye amenusurika kufa kwa risasi basi naamini Nchi hii itabaki...
  3. tongelao

    Ongeza nyimbo nzuri za kupigwa wakati Wa msiba.

    Wakuuu tusaidiane kuziandika nyimbo nzuri na zamajonzi za kutufariji pale wapendwa wetu wanapotangulia mbele ya haki... Kwakuanzia.... 1-kamanda song 2-palapanda song 3-........ 4-....... Endeleza hapo chini inaweza kutusaidia siku za usoni
  4. tongelao

    Tutakaofika kesho kanisani kwa mchungaji GWAJIMA tukutane hapa

    Wakuu Kama ilivyo Ada kesho mwamba Yule Yule gwajiboy au mchungaji gwajima atakuwa na misa yake pale maeneo ya ubungo katika kanisa LA ufufuo na uzima. Na kesho kutokana na habari za ndaniii Sana zinasema baba mchungaji anaenda kuweka wazi Yule director Wa movies yake Ni nani japo tayari...
Back
Top Bottom