Search results

  1. Manofu

    UCHAGUZI MKUU WA MWAKA JANA FAMILIA NZIMA YA WATU SITA TULIMPIGIA KURA MGOMBEA MMOJA ILA MATOKEO YALIPOTOKA KITUO KIZIMA ALIKUWA NA KURA SIFURI.

    Can u imagine yani familia ya watu wazima sita wenye vigezo vya kupiga kura nikiwemo mm binafsi tena tukiwa tumeandikishwa Kituo kimoja. Uzuri ata kwenye Ile karatasi ya kupiga kura wangebadilisha position ya mungombea wetu sisi tulikuwa tunafahamu atakuwa nafasi gani au kama sio nafasi basi...
  2. Manofu

    Kumbukumbu: Siku Mtandao wa Intaneti ulipokatwa kwa Wiki nzima kisa Matokeo ya Uchaguzi

    Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
  3. Manofu

    Virgil van Dijk na Koulibaly Uefa watafute utaratibu mpya wakupata wachezaji bora wa ulaya

    I won't loose much your time but I will go straight foward to the point. Hivi kiukweli hata kama mimi ni shabiki wa Liverpool yule beki wetu kipenzi cha dunia kamzidi nini mwafrika mwezetu raia wa Senegal, Koulibaly? Au ndo ubaguzi wa rangi huu?
  4. Manofu

    Kuzaa na wanawake wengi vs kuzaa na mwanamke mmoja Comperative advantage

    Sipo kwenye ndoa japo najiandaa kuwa namke. Niwe mkweli nikwamba nimeishapata mtoto wa nje tatizo langu kubwa nikushindwa kufikia maamuzi ya yupi nimuoe. Mdada niliyezaa naye miaka mitatu iliyopita hajaolewa bado nayupo mkoa mwingine, uku nilipo mm kuna mdada Niko na mahusiano naye sasa ugumu...
  5. Manofu

    Arusha jiji jitaidi mjenge uwanja wenu wa mpira mnatia haibu Nchi.

    Uwanja mbovu utafikili tupo namfua Singinda Jiji kubwa la tatu ila ata kuboresha sehemu ya kuchezea kwa kupanda nyasi za kisasa inakuwa issue kweli? Pale ni jiji la utarihi inakuwaje serikali ya jiji mnakusanya mapato mengi hvyo ila mnashindwa kutoa pesa kidogo kuboresha pitch ya uwanja wenu...
  6. Manofu

    Ifike wakati tuache kujifanya tujuwa sana kuliko wengine.

    Nimekaa natafakuli hv kulikuwa na sababu gani ya msingi Yanga wasipeleke timu kwenye mashindano ya Kagame? Je simba walishindwa nn nawao kupeleka timu yao kule? Mbona TP mazembe na KCCA pamoja na Gori mahia wamepeleka timu? Hv nikwamba sisi tunajiona no miamba ya soka Afrika mashariki na kati...
  7. Manofu

    Rais wa Madagascar yeye pekee ni utalii tosha.

    What a president very young energetic, charming and very smart. Yani hata kwa kumtizama usoni anajibu maswali yako yote. Hivi uwe na Rais kama huyu halafu unaanzaje kufungwa mbele yake kwa mfano? Rais kijana kabisa nadhani ni below 45yrs kumbe wenzetu hawaangalii suala la umri kule hata mimi...
  8. Manofu

    Hapana Uganda sio level yetu nafikili ata ile mechi taifa walituachia ili nasisi tukashangae pyramids.

    Bado nipo macho natizama huu mtanange wa uganda na misri ila niseme ukweli hii nafikili no mechi bora ya atua ya makundi, ayseeee unapigwa mpira wa hadabu hapa, japo uganda mpaka sasa wamefungwa ila Uganda mpaka sasa ndo wamefenya attempt nyingi. Kitu cha pili wanafungwa uganda mungu wangu ila...
  9. Manofu

    Manula naye kumbe boya kama maboya wengine

    Ukiitwa Tanzania one toka kipindi kile basi kweli wewe ni Tanzania one. Kipa bora ni yule ambaye anakuwa na consistency sio leo kichaa kesho mzima leo ndezi kesho mdebedwo. Sasa yale magoli ya jana ndo magoli gani yani Tanzania one unadaka kama watoto wangu wanaocheza komborera? Golikipa wa...
  10. Manofu

    Kwani sisi kama nchi tunakosea wapi?

    Kuna mambo unaweza kuyatafakali ukajikuta unamkufuru Mungu wako. Hivi taifa la watu milioni 55 hakuna kitu chochote tunaweza kukifanya kwa uhakika wa 100% kweli? Sio siasa, Michezo,elimu, mapenzi,uchumi yani kote uko sisi ni watu wakuunga unga? Something might be wrong somewhere? I swear to...
  11. Manofu

    Nimejitaidi kuishabikia kenya ila kila wakienda langoni mwetu nashika kichwa. Samahani utaifa sio jambo la kawaida.

    Siwezi sema Sana ila siku ya leo nilijitaidi kuishabikia kenya ila mwisho wa siku nimejikuta ninashabikia Tanzania. Sijui ndo nn iki? Toka mwanzo nilijiapiza mwenyewe kwamba kama timu ya taifa imeingiliwa na wanasiasa basi mm leo nitakuwa shabiki wa Kenya ila mpaka sasa naandika nipo bar...
  12. Manofu

    Kwa niaba ya mzungu mswahili Kenya kesho jiandaeni tutawakung'uta

    Dah!!!! Jamaa mama wale wa dada wa uswahilini yani kama angekuwa mwanamke sijui ingekuwaje? Uraia no mwingereza ila kiswahili kama chote. Kanywa pombe zote kuanzia bia, ulanzi mpaka mbege. Wale wenzangu namie ambao tukisafiri week moja turn kwenda nje ya nchi tukiludi kiswahili tumekisahau mpo...
  13. Manofu

    Hivi lile goli la pili alilofunga Diatta dhidi ya Taifa stars lile shoot lilikuwa linatembea kwa speed ya Km ngapi kwa saa?

    Siwezi kuwapa pole maana toka mwanzo wote tulifahamu kwamba tutafungwa japo atukujuwa idadi ya magoli mangapi tutafungwa. Back to the topic hivi lile shoot alipiga yule kinda wa senegal likazaa bao la pili ile kasi yake ilikuwa km ngapi kwa saa? Kwafano ndo likupate usoni wakati ujajiandaa...
  14. Manofu

    Wounded love tamthilia mpya mjengoni.

    Baada ya kuwa tumeimaliza tamthilia pendwa ya SULTAN Jana Azam TV wametambulisha tamthilia mpya ya wounded love ikiwa inausisha baadhi ya washiriki waliokuwa kwenye tamthilia ya Sultan. Nasemaje hii kitu kwa episode yakwanza tu nimeisha predict itakuwa bonge moja la tamthilia Sultan chamtoto...
  15. Manofu

    Sherehe za ufunguzi Afcon 2019 Nchini Misri nakataa Misri sio sehemu ya Afrika

    Let's be open ata kombe la dunia ufunguzi Wa namna hii wanaweza kuufanya wachache, hivi sisi pale kwa mkapa ufunguzi Wa under 16 tulifanya ufunguzi wa mashindano au ubakaji wa ufunguzi? Do!!! Aisee let's be serious kwenye mambo serious. Nakataa tena Misri sio Africa na kuna Nchi nyingi sana...
  16. Manofu

    Kama bilioni mbili zimeweza kujenga kiwanja kizuri kama iki hapa misugwi mwanza yanga na simba mnakwama wapi?

    Nike nafikili timu za simba na yanga zinashindwa Kuwa na viwanja vya mazoezi kwa kuwa kujenga kiwanja inaitajika pesa ndefu sana kumbe hapana bwana. Nihivi leo kule misungwi mwanza timu iliyokuwa arusha united ikajitoa kwenye mashindano ya ligi daraja la kwanza na badaye kukabidhiwa kwa jkt...
  17. Manofu

    Marekani na Ufaransa ni wapi unaweza kuishi kama muafrika bila kubaguliwa?

    Ndo tumeishafungwa uko misri kigoli kimoja tusubili mengine yajayo. Nilitaka kufahamu maana jamii forum kuna kila aina ya watanzania kuanzia maskini kipato ch kati mpaka matajili na madoni. Kuna diaspora kibao jamii forum ambao pengine kwa kwa experience yao wanaweza kutupa mawazo yao kuusu hizi...
  18. Manofu

    Serikali pigeni marufuku hizi local betting machine za kichina zitawamaliza vijana.

    Niwasalimu ndugu zangu asa wale walipa kodi wazuri kupitia vinywaji vigumu( hard drinks) na vinywaji nusu vigumu kama bia yani ( semi-hard). Back to the topic kuna machine za kamali za kichina sijui ndo zinaitwa bonanza? Ayseee hzi zitamaliza vijana wetu yani unakuta bodaboda kashinda anaangaika...
  19. Manofu

    Rasmi sasa fainali ya klabu bingwa Afrika Kurudiwa huko Misri mwezi Julai

    Naona CUF wamesanda mbele ya mashabiki ulimwenguni na kuamua fainali kati Esperence na Wydad Casablanca iludiwe uko Misri mwezi July baada ya michuano ya kombe la mataifa Afrika kuisha. Mechi hyo itachezeshwa na refa Kutoka bara la ulaya baada ya yule aliyechezesha fainali ya kwanza kubolonga.
  20. Manofu

    Hivi Kagera sugar mpo serious kabisa mnataka kubaki ligi kuu?

    Timu inacheza utafikili awajala wiki nzima, nafasi wanatengeneza ila wanafanya kubutua tu, michezaji inabaki yenyewe nakipa inapaisha mpira. Sasa najiuliza kama mpo serious kubaki ligi kuu mnashindwa wapi kucheza mpira kama ule mnaochezaga na simba? Kocha anafanya sub anatoa wachezaji...
Back
Top Bottom