Search results

  1. H

    Nimeokota moderm ya zantel jamani

    Jitumie tafadhalinipigie, utaijua namba yako.
  2. H

    Your status please!!

    nimeshapa hapa hapa jf, i think it gonna be gud.
  3. H

    Your status please!!

    no: 10
  4. H

    natafuta boyfriend

    sisi warefu hatunachetu.
  5. H

    wanaume wanao ni-approach hawafanani na mimi nisaidieni jamani!

    haujui mapenzi ww! UTASUMBUKA MPAKA UJUE MAPENZI!
  6. H

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    sisi ambao tuna miaka 21, hatuna nafasi sio!
  7. H

    Msaada wa internet-ideos

    mm pia nitumia simu hiyo hiyo, nilishakuwa nashida hii. chakufanya nenda kwenye setting, na change APN; kwenye NAME: VODACOM, APN: internet , Port: 9401 , user name: vodacom, MCC: 640, MNC: 04, Authorification: none. Sehemu nyingine zipo empty.nathani itakua ni msaada kwako.
  8. H

    Trick ya voda free net kwa Android phones

    Thank, today is ma lucky day! i succeeded to install the app. Now. am rock freely!
  9. H

    Trick ya voda free net kwa Android phones

    :thumbdown::thumbdown:hatuibi tunatumia 2! ok!
  10. H

    Trick ya voda free net kwa Android phones

    mimi natumia ideos, nikitaka kuinstall inagoma. msaada please.
  11. H

    Repair Your USB Driver Problems

    Nice bro, useful!
  12. H

    Nini matumizi ya AUTHORITY CERTIFICATES kwenye simu za NOKIA...?

    unamaanisha nini bro? Tuweke wazi unacho maanisha.
  13. H

    Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli,mrefu,mweusi na handsome asome hapa!

    Jpili nimetawazwa kuwa HB wa mtaa bada ya kuwafunika mashalobaro kadhaa kwa pamba na mvuto. Ila kuhusu mapenzi ya kweli hapo nimefeli, mademu wakali wanjigonga vp nshnde mitego. Hebu niendelee na kuangali jukwa la tech, kila la heri . . .
  14. H

    Makamba na Bei za Mitandao ya Simu

    Ok! Tunataka maendeleo ya sayansi na teknohama, changamoto ni kwa hao nafasi zao za kazi zinachukuliwa na mashine, serikali inachukua hatuwa zipi za kuwafeed hao ambao ni jobles watarajiwa ikiwa wasasa imewashinda? Au ni jeshi na ualimu ndio inajivunia.
  15. H

    UC Browser version 8

    ok! Nitajaribu kwani nilisha sahau ni wap nimeisave.
  16. H

    UC Browser version 8

    Jamani japokuwa tuna wasomi wa IT wakutosha tumeshindwa kutengeneza browser yetu wenyewe? Kenya wameanza, INDIA wapojuu!
  17. H

    UC Browser version 8

    kama unatumia 3G Mbona poa tu!
Back
Top Bottom