Search results

  1. Mtulivujohn

    Msaada Wenu: Uliwezaje kupita salama mpaka Ndoa kwenye Mapenzi ya namna hii?

    Kwanza hongera kwa uvumilivu huo pili hongera kwa Imani na subira hiyo Nakushauri usikate tamaa mungu ana maana yake kwako
  2. Mtulivujohn

    Ni wakati gani sahihi kufanya uhamisho wa mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza?

    Wakuu habari zenu poleni na majukumu. Ningependa niulize hivi uhamisho kwa mwanafunzi anayeenda kuanza kidato cha kwanza ingefaa nifanye mchakato kwa mda Gani je huu ndo mda wa kufuatilia wakati bado hawajapangiwa shule? Je kuna haja niende hiyo shule ninayotaka ihamie? Kwa mda huu au...
  3. Mtulivujohn

    Napataje uhamisho wa mwanafunzi wa kidato cha kwanza nje ya mkoa?

    Sawa mkuu nitafanya hivyo kqbla hawajapangiwa sio
  4. Mtulivujohn

    Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

    Kunjua moyo kivip mkuu au kunyoosha mkono nini maana Mimi nlikuwa nataka aanzie tu apo ninapotaka
  5. Mtulivujohn

    Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

    [emoji23][emoji23][emoji23]tafunatafuna haooo bhanaa wanakwamisha mambo
  6. Mtulivujohn

    Napataje uhamisho wa mwanafunzi wa kidato cha kwanza nje ya mkoa?

    Ooorr sawa kwahiyo si mpaka kwa mkuu wa mkoa aiwezekani process online
  7. Mtulivujohn

    Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

    Nashukuru Sana kamanda na je Hailazimu kuwa serikali mpaka ndo ikupangie? Kama kilakala na msalato Au una uwezo wa kuhamia tu
  8. Mtulivujohn

    Napataje uhamisho wa mwanafunzi wa kidato cha kwanza nje ya mkoa?

    Wadau natanguliza shukrani kwa yeyote aliejitolea kunipa mda wake na uelewa wake kuhusu swali langu apo juu, Wadau naombeni ushauri Pia msaada kwamba kuna mwanafunzi amemaliza la saba mwaka huu na amefaulu na nataka nimhamishie shule za sekondari za mkoa wa tanga Au Kilimanjaro je process zipi...
  9. Mtulivujohn

    Msaada: Kozi nzuri ya masters kwa aliyesoma BSc Ed (Mathematics&Geog)

    Tatizo la sisi waafrica tunajaza mzigo kichwan na vyeti kwenye mafail bila kutumia tulicho nacho akilin kwa kujiendelezea fikiria ulicho nacho badala ufikirie ugundue Nini kupitia Elimu iyo tofauti n mwingine tunangangana ushindani wa kuongeza vyeti life is co short ishi kwa gepu nakushauri tu...
  10. Mtulivujohn

    Kuna shida yoyote nikichelewa kuripoti chuoni?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbinguni Kuna maspanaaa kwakooo[emoji2923][emoji3548][emoji2923][emoji374][emoji375][emoji23]
  11. Mtulivujohn

    Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

    Ni shule maalum ama ya serikali ila sio maalum na je upatikanaji wake HAINA masharti Sanaa
  12. Mtulivujohn

    Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

    Mkuu hiyo shule zotë mbili kupata ngumu sanaa imekazwa masharti mkuu
  13. Mtulivujohn

    Natafuta Shule ya Sekondari ya Serikali ya Wasichana ili nimuhamishie mdogo wangu

    Wadau kwanza nawasalimu kwa upendo wa mungu nina matumaini wazima wa Afya. Bila shaka Nina matumaini apa nko mahali sahihi ya watu wenye uelewa tofauti tofauti ila nina imani nikikutanisha mawazo yao nitapata wazo la kuifanyia kazi Ninaombeni kwa mwenye uelewa Kama kichwa kinavyojieleza Mimi...
  14. Mtulivujohn

    Hawa ni wachawi au ni ndoto ya kawaida?

    Na je kqmq unasikia Kama kuna vitu vinqtembea kichwani?
  15. Mtulivujohn

    Wakati wa Lowassa ''walishitakiwa'' ICJ; Wakati wa Lissu ''wameshitakiwa'' ICC

    Hivi kwa Akili zenu hamkujua MBINU hiyo ccccccmmu walivyo mtumia lowassa? Lowassa YULE mzee alitumwa bhana
  16. Mtulivujohn

    Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

    Ukifikika tweeter wasalimie hawa wanaharakati [emoji117]Kigogo 2014 anaishi South Africa [emoji117]kigogo,[emoji1139] anaishi minessota marekani [emoji117]Mange kimambi From pensli Vania marekan [emoji117]Maria sarungi tseshai from Hungary [emoji117]Fatma karume sjajuaga [emoji117] Amsterdam...
  17. Mtulivujohn

    Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

    Sitini parentage ya guys walioko tweeter Ni wasomi na waelewa matumizi ya mtandao na wanaojiamini wasio sifia upumbavu Kama ume mind Rudi fb kwa wazururaji limradi uvae nguo mpya unapost nmetokelezaje tweter hawauzi sura
  18. Mtulivujohn

    Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

    Kufungwa hiyo vepe so wameshatuma malaika wafunge mitandao ibilisi akaleta vPn? Unataka kufungiwa kiaje elewa Kuna kufungwa na kunyongwa mtandao na endapo wakifungia vPn lazima itume na Wana uwezo pia ya kufungua vPn ila tatizo itacost hata wao binafsi ILO ninngumu sana kufungia vPn na Pia...
Back
Top Bottom