Search results

  1. L

    Survival is for those who can adjust

    Ufikiriaji wetu waafrika unafurahisha sana,ndo maana wazungu,waarabu hata wahindi wanaturubuni akili zetu ki rahisi.Hatupendi majukumu ya maisha yetu,tunataka wengine ndo wafikiri kwa niaba yetu.Hatupendi kujua,kuuliza wala kujipigania wenyewe. Kumjua Mungu ilibidi kutusaidie kujua usawa wetu...
  2. L

    Natafuta gari ya kukodi Dar

    Habari zenu mabibi na mabwana, Natafuta gari ya kukodi Dar kwa muda wa wiki mbili au nne kutegemea na makubaliano. Nitakuwepo hapo Dar mwezi huu mwishoni, kama kuna mtu ana kampuni au anajua mtu/ watu wanaokodisha naomba anijuze pamoja na aina ya gari na bei. Siitaji dereva, ni gari tu. Thanks...
  3. L

    Maharage ya kijani(green beans/french beans)

    Habari wanajukwaa,naomba kuuliza kwa yeyote anaejua upatikanaji wa maharage ya kijani (french beans/green beans) hapo bongo.hapa nilipo nayaona yanakuja kutoka kenya,hivyo nahisi hata bongo yanapatikana.Nitashkuru kama **** mtu anajua yanalimwa wapi na bei ni kiasi gani kwa kilo. Ni hayo ya...
  4. L

    Mitsubishi pajero

    Salaam zenu wana jf.Naomba kuuliza kuhusu hizi gari pajero,kuhusu ubora wake,speare zake bei mbaya? Pia kama zina matatizo ya kudumu kam gear box au head gasket.Nitashukuru maoni yenu has kwa wale waloshawahi kuwa nazo au mafundi. Ahsanteni.
  5. L

    Honda pump

    Salaam wanajamii,nilikuwa na maswali la kibiashara,1.)Nina water pump ya honda nataka kuileta bongo,je naweza kuuza?bei kwa makisio ni ngapi.ni brand new nameinunua hapa uk,lakini sina tena matumizi nayo. 2.)Samsung galaxy4,ina miezi mitatu toka ianze kutumika imenunuliwa uk(kuna proof...
  6. L

    Jambar f1hybride Onions

    Habari wajameeni,naomba msaada. Natafuta aina ya vitunguu vinavyoitwa kwa jina la kitaalamu, Jambar f1 hybride .Nataka kujua upatikanaje wa mbegu zake upo vipi hapo bongo,yaani zinapatikana wapi na ikiwezekana bei ya hizo mbegu kwa kilo. Je hivi vitunguu vinalimwa kwa wingi hapo nyumbani na ni...
  7. L

    Jambar f1 hybride onions

    Habari wanajamii,naomba msaada wa maelezo kwa mtu anayejua.Natafuta mbegu za vitunguu hapo tanzania,jina ni kama la hapo juu yaani;Jambar f1 hybride onions.Sijui kwa lugha ya nyumbani vinaitwaje.kama mtu ana maelezo yoyote nitashkuru.unaweza ku ni pm kama una malezo ya kutosha.Thanks in advance.
  8. L

    Mapenzi,heshima na urafiki

    Habari zenu wana jf,leo napenda kuwasilisha mada kuhusu mapenzi,heshima na urafiki kati ya watu hasa wa dini tofauti.kipindi hiki ambacho nchi yetu tz ina shutuma nyingi za udini na hata muungano unapelekwa kwenye udini naona nipate mawazo ya wengi kuhusu hii mada. Kwa ufupi napenda wana jf mtoe...
  9. L

    Nimuachaje?

    Heloo wana jamii,nimekuja humu kuomba ushauri na busara zenu.Mie naishi ughaibuni na wife(mbongo pia) na watoto wawili, m/mungu kanijaalia kazi poa na elimu ya juu tatizo huyu mwenzangu hatuelewani yaani ni mbishani, mshindani, lawama kila siku, hana msaada hata wa mawazo, kutoa mambo ya ndani...
Back
Top Bottom