Search results

  1. Removers

    Msaada: Taratibu za namna ya kujenga nyumba ya kisasa ya mbao

    Habarini ,wakuu Naomba msaada kwa wale wenye uzoefu/walio na ujuzi na pia waliofanikisha ujenzi wa Nyumba za mbao ,,mfano mzuri Nyumba za wenzetu wa ulaya, wanipe msaada na maelekezo juu ya mahitaji muhimu ya kuanzisha ujenzi huu, mazingira yanayofaaa kujenga.. Nimeamua nianze ujenzi huu...
  2. Removers

    Msaada: Nahitaji Mbuzi wa maziwa kwa wale wakazi wa mkoa wa Mara na mikoa jirani

    Wakuu habariniii, Kama mada inavyojielezaa nahitaji Mbuzi wa maziwa kwa wale wauzaji na wakazi wa mkoa wa Mara ,Naomba tujulishane. Kama upo sehemu yoyote au mikoa jirani. Msaada tafadhali nahitaji wa kununua ... Asantenii wakuu Usisite kujaaa PM 🙏📞
  3. Removers

    Msaada: Namna ya kupata product keys kwa ajili ya ku-activate Kaspersky Antivirus

    Wakuu habariniii. Kwanza kabisa natoa shukrani kwa members wote wa jamii forum ,tangu nijiunge humu hakikaa sijajutia nmefahamu vingii sanaaa ..🙏🙏🙏 Mada inajieleze hapo juu ,,nawezaje kupata cracked product keys za kuactivate Kaspersky antivirus Maana ni muda natumia aina nyngne ya antivirus...
  4. Removers

    Ofisi ya CAG Tanzania yashinda tuzo kubwa ya Kimataifa kwa ripoti bora ya 2019

    Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Tanzania imeshinda tuzo ya Kimataifa ya Ripoti Bora zaidi ya Hesabu za Serikali kwa mwaka 2019 kwa ukanda wa nchi za Afrika zenye Taasisi za Udhibiti na Ukaguzi zinazotumia Lugha ya Kiingereza (AFROSAI-E region). Taarifa iliyotolewa...
  5. Removers

    Tukutane hapa wenye Majina ya asili

    Habarini za asubuhi wakuu. Ni desturi iliyopo kwa baadhi ya makabila na hata wazazi kuwapa wanao majina ya asili ,naweza kuita majina ya kiukoo.. Wale wote wenye majina ya asili naomba mtupe pamoja na Maana ya Hilo jina uliloitwa au ulilompa mtoto wako..japo baadhi huwa yanaleta ukakasii...
  6. Removers

    Contagion: Hizi movie zina jumbe tuwe nazo makini ili tuweze kung'amua ujumbe uliokusudiwa maana inaonekana ndiyo njia ya kufikisha ujumbe

    Habarini wakuu, Nipo hapa namalizia movie ya contagion ase ,wakuu hii kitu asilimia 98. imeresemble hii hali tunayopitiaa sasaa ya janga la coronaa Wakuu naona wenzetu hukoo...wanatufikisia ujumbe ambao si tunaona kama ni entertainment , movie imechezwa mwaka 2011 lakini , events zile zile...
  7. Removers

    Why the Ballon d'Or became football's most important trophy...

    Wakuu ,kwemaa . Rejea kichwa cha habarii hapo juu. Ukiangalia siku za hivi karibuni this trophy , Ballon d'or imekuwaa popular sana na important, ambayo kila mchezaji anatamani ..one day yes.. Japo kuna tuzo tofauti na nyingi tu tofauti na hii tuzo.. Why , Ballon D'or become more important...
Back
Top Bottom