Search results

  1. Tofauty

    Namna ya kutibu harufu mbaya inayotoka sehemu za siri za mwanamke (uke)

    Leo ten tumekuja na mafunzo kwa wanawake, kuna baadhi ya wanawake ambao wana harufu mbaya sana katika sehemu zao za siri, sasa nimeitengeneza video hii kwa ajili ya kuwaelimisha njia ya kujitibu wenyewe kwa gharama isiyozidi elfu kumi, Aidha nimetoa vitu ambavyo vinasababisha madhara hayo ya...
  2. Tofauty

    Njia ya Kununua DOMAIN online kwa kutumia Credit Card (kadi ya benki)

    Nimekuwa nikiendesha blog yangu ya TOFAUTY BLOG (www.tofauty.ga) Lakini kulingana na jina hilo la .ga nikataka kulibadilisha liwe www.tofauty.com nikaweka hela benki kwa ajili ya kuweza kununua domain lakini nimeshindwa kununua kwani wananiambia card yangu hairuhusiwi kufanya biashara ndani ya...
  3. Tofauty

    Namna ya kuondoa harufu mbaya mdomoni kwa kutumia baking soda - Tofauti

    Ni kwamba nina imani kwamba watu wengi wanaifaham Baking soda vizuri na nimekuta huku huku JF wakielezea matumizi ya baking Soda inavyosatumika kama vile kusafishia masinki ya vyoo, na pia kuondolea harufu kwenye friji, kwenye nyama na hata nguo mpya Lakini cha zaidi ambacho mimi ninataka...
  4. Tofauty

    what is business association

    This Question requires explaining the meaning of the business association
  5. Tofauty

    Namna ya kupost audio youtube kwa kuweka kimstari ambacho kinatembea

    Jamani wana JF nina tatizo langu ambalo nimejaribu ku-google nikashindwa kuelewa namna gani naweza kufanya. Naombeni msaada wenu kwa yeyote yule ambaye anafahamu ni njia gani ambayo naweza kutumia kupost Audio yangu youtube ambayo inakuwa na mtiririko wa kuwa na picha halafu chini ya picha au...
  6. Tofauty

    Jinsi ya kupata PESA kwa kubadili MB za watumiaji wanaotembelea website

    Jamani watanzania za saa hizi Ninaomba mnieleweshe kwamba Je kuna njia ambayo mmiliki wa website anaweza kubadili MB za wanaotembelea website na kuzibadilisha kuwa fedha?? Na kama ipo ni njia gani kuunda website kama hizo?
  7. Tofauty

    Sapoti ya Comedy

    Jamani mimi naweza kuchekesha na nimetunga vichekesho vingi sana lakini sasa life linapiga photo tutapateje sapot bhana
Back
Top Bottom