Search results

  1. S

    Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

    Sio kila mahusiano yameandikiwa ndoa mengine ni Tution tu..... USIFANYE HUO UPUUZI, niliwahi fanya upuuzi kama unaotaka kuufanya kalipomaliza kusoma katoto kale kalinambia jibu rahisi kweli 🤣🤣🤣 "Usikariri maisha" kibaharia sikulia nilivibrate
  2. S

    Makundi ya Damu (blood groups) na Mahusiano

    Somo lilihusiana na blood groups in term of ABO system na sio rhesus factor mkuu bt asante
  3. S

    Ni sahihi Kulazimishwa kuchanja chanjo ya korona?

    Sawa nimekuelewa ila hili la kunyimwa huduma muhimu kisa hujachanja sio sawa
  4. S

    Ni sahihi Kulazimishwa kuchanja chanjo ya korona?

    Tatizo sio kuchanja tatizo ni nguvu kubwa inayotumika, tunanyimwa huduma muhimu kisa hatujachanja ww unaona ni sawa?
  5. S

    Ni sahihi Kulazimishwa kuchanja chanjo ya korona?

    Habari wanajukwaa, Nakuja kwenu wanajamvi kuuliza kama ni sahihi mtu kulazimishwa kuchanjwa hasa hii chanjo ya korona. Nijuavyo mimi mtu anatakiwa aelimishwe kisha ahiari pasipo shuruti. Lakini Hali ni tofauti mkoani RUKWA wilaya ya NKASI kwani kinachoendelea sio uelimishaji wala uhamasishaji...
  6. S

    Wana Yanga wachukizwa na kauli ya Hersi kuhusu TFF

    Unamwamini mtu ameanza kushabikia yanga ana miaka 40+ kweli? HAJI anajali maslahi yake binafsi ni suala la muda tu
  7. S

    Msaada wa haraka tafadhali; Tiba ya matiti kuvimba na kuuuma kunakopelekea homa kali.

    Naomba kujua kiasi anachotakiwa kunywa kwa mara moja kama ni kikombe au kipimo gani nitumie
  8. S

    Msaada wa haraka tafadhali; Tiba ya matiti kuvimba na kuuuma kunakopelekea homa kali.

    Natumaiani hamjambo wana JF Nina ndugu yangu Umri ni 50+ anasumbuliwa na tatizo la matiti kupata maumivu makali ya kujirudia rudia hasa upande kushoto yanayopelekea uvimbe, na hujihisi joto pindi yanapoanza kuuma. Maumivu hujirudia baada ya muda (Mf wiki 1 au 2). Ni tatizo la muda mrefu kidogo...
  9. S

    Haji Manara anatafuta nini zaidi? Nani yuko nyuma yake?

    TFF wamekanusha kwa maandishi madai ya Haji kuwa si kweli alichozungumza kwenye press yake. Wewe unataka tumwamini nan kati yake na TFF?
  10. S

    Haji Manara anatafuta nini zaidi? Nani yuko nyuma yake?

    Haji anataka huruma, jambo la kisheria angelimaliza kisheria kuna mamlaka za juu zaidi ya TFF Angekata rufaa tu basi. Binafsi sidhani kama hii itasaidia kitu zaid ya kuchochea moto
  11. S

    Nimegundua Siri, Wanawake someni hapa

    Mwanaume hujisikia vibaya sana (huumia) kuachana bila kutunukiwa mbususu katika mbinu za kivita anakuwa kafeli sana NB; Msitangulize pesa mbele mtaliwa kimasihara sana maumivu ya pesa husuuzika anapotunukiwa mbususu
  12. S

    Kikao cha Wanaume cha dharura kuhusiana na tabia ya wanawake kutupiga vizinga

    Mapenzi ni kama kamali ongozwa na akili na sio hisia, usione aibu kumwambia sina kama kwel anakupenda atakusikiliza kma hakupendi mwache aende maana kila likuepukalo lina heri.......... ( but ony for alpha mens) Watu wa betting wanasema Toa(beti) kile unachoweza kupoteza. Excess of any thing is...
Back
Top Bottom