Search results

  1. K

    Kuna anaowafahamu kilimanjaro cement?

    Hicho kiwanda inasemekana kiko mkoani Tanga. Wife kaitwa kwenye interview nafasi ya sales, kuna anaowafahamu hao jamaa na scales zao za malipo?
  2. K

    Niliwahi kufanya interview nikiwa nimelewa nikapata ile kazi

    Ilikua mwaka flan bana, nikiwa niko tu jobless nikapokea call kutoka kwa recruitment agent kuwa kavutiwa na cv yangu hivyo anataka kusikia mawili matatu kutoka kwangu kabla ya kutuma cv yangu kwa client wao.well tulifanya nae fresh akanielewa then akaituma kwa client wake. Yule client wake...
  3. K

    Kuna kijimstari chembamba sana kinachomtenganisha mwanamke anayevaa shanga kiunoni na tabia za umalaya

    Habari wakuu, Kuna observation nimekuwa naifanya, nimegundua wanawake wengi wanaovaa shanga kiuononi ni malaya waliokubuhu. Asanteni
  4. K

    Mikoa ambayo haina majiji lakini inachangia pakubwa kwenye uchumi wa nchi

    Kwa observation zangu ni: 1. Kilimanjaro 2. Mara 3. Geita 4. Iringa 5. Songwe 6. Pwani 7. Morogoro NB: Kuna mikoa kama singida ni ya kuhurumiwa tu.
  5. K

    Jana nilikunywa pombe then nikanunua mayai ya kuchemsha nikala, saivi najamba mashuzi yananuka hatari

    Wakuu, poleni na masuala ya hii nchi isiyokua na kiongozi. Jana kwenye mishe zangu, nikaingia Baa flani nikapiga valuer zangu mbili then akapita muuza mayai ya kuchemsha nikanunua mawili nikala. Sasa ngoma leo imejibu,asee najamba mashuzi yananuka harufu sio ya nchi hii. Naomba ushauri...
  6. K

    Nilichojifunza kwenye msiba wa kaka

    Kaka yangu amefariki last two weeks. Alikua Mtumishi wa Umma wa cheo kikubwa tu wizara fulani. Ofcoz, siwezi kudanganya serikali iliuchukua huu msiba serious, sijajua ni kwa sababu ya miongozo yao au ni kwa sababu ya ukaribu kati ya bro na boss wake. Anyway bro alifaraiki ghafla sababu...
  7. K

    Nina Mke asiyejua kubembeleza, je nitafute mchepuko?

    Habari wakuu? Iko hivi,jana around saa 3 usiku EAT nimetua nchini kutokea huko duniani ambako nimekua nikiishi for sometimes. Kabla sijaja bongo, nilikua na misunderstanding ndogo na wife kuhusu uaminifu, alikua ananituhumu kuwa huko nilipokua nilikua sio muaminifu. Two weeks before I landed...
  8. K

    Nimepokea matusi ya nguoni kutoka kwa ma ex zangu baada ya kumpost my wife kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii.

    Habari zenu watanzania bara wenzangu. Nimeoa miaka mitatu iliyopita,ila bahati nzuri au mbaya nilikua vizuri kifedha kwa wakati huo hivyo sikutaka kuchangisha mtu pesa,hivyo shughuli ya sherehe ya harusi ilifanyikia huko Bush kwetu,watu walikula,kunywa na kusaza( si mnajua maisha ya Bush tena...
  9. K

    Mwanamke niliyewahi kumpenda mwanzo akanikataa, ameniambia kwa aina ya ugonjwa anaoumwa sasa yupo tayari kufia mikononi mwangu

    Habari za jumapili wakuu. Leo kuna kitu kimenichanganya kidogo. Kuna binti nilimpenda kama 10 yrs ago huko, kama mjuavyo mabinti hawa wakiwa in their early 20's wanavyokuaga, baada ya battle ya hapa na pale kwa kipindi kile nikaona sina nguvu ya kupambana na matajiri coz ya mwanamke nikaachana...
  10. K

    Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

    Wakuu, za siku nyingi? Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu. 1. Iringa 2. Mara 3. Shinyqnga 4. Mwanza 5. Kigoma 6. Simiyu 7. Geita. 8. Mbeya 9. Ruvuma 10. Njombe 11. Tabora 12...
  11. K

    Duka la Vunjabei hapa Mbeya mbona limedoda sana?

    Ni mwaka sasa niko Mbeya, huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale. Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama. Tatizo nini wakuu?
  12. K

    Kwanini kila event ninayohudhuria huwa napewa 'first-class treatment'?

    Wakuu, mimi ni mtumishi wa umma tu mwenye kamshahara ambako hakazidi 1.3m take home. Mpaka naandika uzi huu kuna issue inanisumbua, pamoja na kwamba kwenye mamlaka ninayofanyia kazi kuwa me ni mtumishi wa ngazi ya chini kabisa but nimekua nikipata first class treatment kulinganisha na wenzangu...
  13. K

    According to your Ex, what was your main problem?

    Good morning watu wa Mungu. Basi wakati tukiendelea kuisubiri ndege yetu mpya ya mizigo kutua.nimeona niwaulize haka kaswali. Juzi kati hapa nimekutana na ex girl wangu,sasa katika story za hapa na pale tukajikuta tunaanza kuulizana viswali vya kichokozi, nilimuuliza tatizo langu kubwa lilikua...
  14. K

    Ni uongo gani ambao umewahi kuambiwa na single mother/father ambao ukiukumbuka leo unacheka tu?

    Those days nimeingia mjini daslamu kwa mara ya kwanza, nikakutana na manzi mmoja ambae leo ni miongoni mwa mademu fulani ambao wanaonekana kuwa maarufu hapo daslamu na ushamba wangu wa kutoka huko shinyanga nikajichanganya na demu tukawa tunaishi wote kama mke na mume. Kumbe demu lishazalishwa...
  15. K

    Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukiwa umefulia ambayo leo ukiikumbuka unacheka tu?

    Nikiwa pale udbs bana,ndipo Wakati lile jengo la pssf Tower lilikua linajengwa.kuna kipindi nilifulia nikawa sina hata mia mbovu..home nako nimeacha wife ana mimba. Nikawa napiga vibarua vya kubeba zege pale ili walau kukidhi mahitaji. Saivi hapa namsimulia wife ananicheka tu.. Ni kazi gani ya...
  16. K

    Mnaopokea salary take home chini ya milioni moja, huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?

    Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakuwa nimefulia hatari. Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima? Tupeane mbinu hizo wakuu.
  17. K

    Rais Samia kwa siku anabadilisha nguo mara ngapi?

    Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine. Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
  18. K

    Kumbe Ben Paul shule alikua kipanga

    Huyu kijana alisoma azania bwana
  19. K

    Nimebaki na elfu 4 tu kwenye m-pesa naona aibu kwenda kwa wakala kuitoa

    Wakuu, kufulia kusikie tu kwa jirani aisee. Hapa nilipo nimefulia kiasi kwamba nimebaki na elfu 4 tu iko kwenye m-pesa. Sasa nataka kwenda kwa wakala kuitoa lakini naona aibu wakuu.
  20. K

    Natafuta hostel au lodge ya bei poa Mkoani Mbeya

    Wakuu, mwezi wa tano mwanzoni nitakua mkoani mbeya kikazi kwa muda wa karibu miezi 4. Sitarajii kusafiri na familia yangu ila nategemea wife atakua ananivisit mara kwa mara. So nilikua naomba kujulishwa wapi kwa mkoa wa mbeya nitapata hostel ya bei rahisi kama zile wanazokaa watalii kule mikoa...
Back
Top Bottom