Salam ndugu zangu,
Ni mwaka wa pili Sasa toka niuziwe KIWANJA mbele ya serikali ya mtaa/ Kijiji
Naomba msaada au ushauri wa namna ya kupata Saini ya mahaka au HATI MILIKI .
Natanguliza shukrani zangu
Salaam kwenu wapendwa,
Mimi ni mkulima wa mazao ya nyanya na viazi mviringo.
Kuna ugonjwa ambao unanitesa sana shambani kwangu na kwa wengine pia ugonjwa wenyewe ni mmea kunyauka pindi tu unavyotaka kuweka matunda.
Naombeni msaada WA mawazo, dawa na namna ya kujinasua na huu ugonjwa wa...
Ukubwa wa simu yangu ni gb 32
Infinix hot 9 .
Nimejaribu kufuta kila kitu Sina video Wala picha yeyote lakini nikitaka hata kupiga picha tu inaniandikia storage full, naomba msaada wenu wa setting..
Njoo tukumbushane matukio unayoyakumbuka katika mvua mbaya Sana iliyonyesha mwaka 1997/1998.
Mvua ilikua inanyesha asubuhi mpaka jioni hakuna kutoka nje ninayoyakumbuka Mimi ni:
a) tulipikiwa maembe dodo na mapapai kama Chakula.
b) serikali ya Kijiji iligawa unga kidogo kidogo kila Kaya ili...
Heshima kwenu ninyi nyote,
Naomba kuuliza , Benki ya mkulima ipo? Na Kama ipo iko wapi? Na uko iliko inafanya kazi kweli kwa ajili ya mkulima?
Kilimo kinaitaji mtaji wa kutosha na wakulima wengi wa chini huo mtaji hawaupati kwa urahisi kutokana na masharti mengi kutoka benki zingine,
Naomba...
Heshima kwenu ndugu zangu,
Ilikuwa mwaka 2005 muda wa saa 5 usiku ndipo tulipomaliza group discussion Mimi na marafiki zangu watatu tuliokuwa tunasoma wote TAQWA HIGH SCHOOL maeneo ya Ghana jijini mwanza.
Safari ilianza mdogo mdogo kurudi nyumba, kila mmoja alikua anakaa sehemu tofauti...
Bila shaka mko salama,
Nina miaka 7 nalima viazi mviringo uku nyanda za juu kusini mkoa wa Iringa. Kwa miaka yote bei ya shambani ilikua inacheza sh 5000_8000 kwa debe shambani.
Lakini ilipofika mwezi wa tano mwaka huu bei ilibadilika Sana na kufikia 15000. Wanunuzi wanatafuta kiazi mviringo...
Habari Wana jamii forum
Kuna picha moja nimeiona inasambaa uko Instagram ikimuonyesha afisa mmoja wa jeshi la polisi akiwa anaongea na wananchi wa Kijiji Cha GAMBOSHI kuhusu usalama wa raia.
Kilichonishangaza zaidi ni kuona kila raia amekaa Kama mganga wa kienyeji wamevaa vinyago,ngozi za...
Tujikumbushe kidogo tuliolelewa na baba au babu walioishi zama za wakoloni
Binafsi nimezaliwa mkoa wa Mara wilaya ya bunda .
Maisha yangu yote nimekaa na babu na Bibi uko kijijini.
Babu yangu kwa Sasa ni marehemu toka 2001
Babu alikua mfanyakazi wa wakoloni enzi hizo kutokana na historia...
Kama tunavyojua mnyama simba anapepetana na mtibwa sugar katika uwanja wa manungu complex
Mvua kubwa Sana imenyesha maji ni mengi mengi uwanjani na nje ya uwanja
Tunasubili kujua hatima ya mchezo huu
Bechi la ufundi la simba limeingia uwanjani kukagua uwanja Kama utafaa au la!!
Nawasalimu kwa Jina Baba Mwenyezi aliye Mbinguni
Wakurya na Wajita ni makabila yanayopatikana mkoa wa Mara, Wajita wakipatikazana zaidi Bunda na Majita
Wakati wakurya wanapatikana kwa wingi Rorya na Tarime
Makabila haya ni ya watu wanaojiheshimu na wastaarabu Sana Tena Sana tatizo la haya...
Niwambie tu kwamba mnyonge m yongeni lakini haki yake mpeni.
Hivi Nani asiyejua kuwa kwenye utawala wa karia timu ya taifa ilifika Afcon? Nani asiyejua timu ya vijana na wanawake zimepanda chati?
Sasa hivi mashindano ya azam federation yanafika kila Kona ya Tanzania.
Tunataka nini cha ziada...
Niende kwenye hoja, kumekuwa na desturi za ndugu na jamaa kuingilia mambo ya NDOA za watu na kutoa ushauri utadhani wao walisoma vyuo vya ndoa.
Ninavyojua mimi ndoa haiwezi kua na amani maisha yenu yote kuna siku mnatofautiana.
Mtu unamsema mke wa mwenzio vibaya sara siyo lika lako mara ni...
Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Kuna hii tabia ya watu wa mikoani ambapo hakuna ziwa Wala bahari Wana tabia ya kuagiza vitu utadhani vinakwenda kuokotwa tu
Unakuta mtu anakwamba ukirudi kutoka Mwanza naomba uniletee samaki na dagaa kwani wa uko ni watamu Sana
Pengine hata shilingi mia moja...
Binafsi mwanangu sitaki aje arithi tabia yangu ya upole uliopitiliza kwani itakuja kumuathiri uko mbeleni.
Kuna wazazi wengine ni wachoyo ,wakali, wambeya,wakimya nk
Sasa mwanao hutaki arithi tabia gani uliyo nayo???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.