Search results

  1. kitonsa

    Hasheem thabit aludi nchini kuchezea paz

    Mchezaji wa mpira kikapu wa kimataifa hasheem ameludi bongo kuja kukipiga na timu kongwe ya kikapu ya pazi Baada ya kuipaisha tanzania kimataifa mchezaji huyu kaweka uzalendo mbele. Kaja kuinua mchezo huu hapa nchini Mimi kama mtanzania nampa pongezi kwa huamuzi huu wa kizalendo
  2. kitonsa

    Kumbe Dkt. Mwigulu Nchemba ni mtoa maamuzi Singida Foundation

    Hii nchi ina siri Sana, aliyekuwa kocha wa Singida Foundation Gate amelalamika kuingiliwa majukumu yake na Waziri wa Fedha, ikapeleka yeye kufanya vibaya katika kazi yake. Mimi sipo hapa kwenye soka swali langu ni kwamba, kila timu ina mfumo wake wa uongozi, Sasa Waziri wa Fedha ndiye kiongozi...
  3. kitonsa

    Wajuzi wa bei ya naomba kujua bei za mafuta huko duniani

    Mimi sio mtaalamu wa masoko yoyote ya dunia, nimekuja hapa kuuliza bei za mafuta katika soko la dunia ni bei gani? Dhumuni la kuuliza bei ni kutaka kulinganisha bei ya hapa tanzania ni sawa kwa uwiano na bei za dunia? Kuna komenti moja nimesoma humu jamaa kasema bei ya pipa moja iran na urusi...
  4. kitonsa

    Polisi yapiga marufuku maandamano ya UVCCM ya kuunga mkono Serikali yaliyokuwa yafanyike Julai 18, 2023

    Polisi Tanzania wametoa taarifa kuwa maandamano yaliyopangwa kufanyika na UVCCM nchi mzima hayataruhusiwa. Wametoa sababu kuwa kufanya hivi kunaweza kusababisha taaruki kwenye jamii. My take, Hii Ni mbinu zilizopangwa kati ya uvccm na vyombo ya ulinzi, ili kupata sababu ya kumzuia mwamba...
  5. kitonsa

    Mama Salma Kikwete ampongeza Waziri Makamba kuwapa mitungi 100 ya gesi, Spika atolea ufafanuzi

    Mama Salma Kikwete akichangia bajeti ya nishati na madini leo, alimpongeza January Makamba kwa kuwapa kila mbunge mitungi ya gesi 100. Lakini baada mwisho wa section ya spika akasimama kutolea maelezo juu ya hili, kwa ufupi. Kuwa jamii isielewe vibaya juu hili ni ajili ya wabunge kwenda kwa...
  6. kitonsa

    Taliban wavamia Iran na kuteka eneo

    Iran ipo kwenye wakati mgumu baada ya jeshi la Taliban kuvamia na kuteka eneo Nia ya Taliban Ni kufika Tehran , kwa siku moja
  7. kitonsa

    Tigo nitoleeni tangazo lenu haraka sana

    Niende kwenye mada. Kama Kuna muhusika wa kampuni ya tigo humu ndani anifikishie amri yangu kwa mtu anayeusika, kuwa sitaki kusikia tangazo lao la karibu dakika mzima wakati napiga simu. Yaani unatumia dakiki nzima kusikiliza vijielezo vyenu nikasajili simu wakati nimesha sajili? Mwisho wa...
  8. kitonsa

    TANZIA Mwanamuziki Waziri Sonyo afariki dunia

    Mwanamuziki aliyewahi kuimba kwenye bendi ya Chuchu sound na TOT Plus, Waziri Sonyo ameaga dunia jana tarehe 23 Februari saa moja usiku maeneo ya Kibaha. Chanzo cha kifo hakijawekwa wazi ingawa kuna taarifa kuwa alikwenda kutazama mechi ya mpira wa miguu na aliporudi alijipumzisha hadi mauti...
  9. kitonsa

    Yuko wapi mtoto genius wa Kenya aliyewafundisha Chuo Kikuu miaka ya 80 hadi 90

    Nikiwa mtoto miaka ya themanini au ya tisini alitokea Dogo Fulani, inasemakana alikuwa na uwezo mkubwa kiakili nadhani alikuwa anatokea Kenya, alikuwa na miaka kati ya kumi au kumi na tatu Alikuja mpaka chuo kikuu pale mlimani, wasomi wa pale walimuuliza maswali kama yote Dogo akayajibu kama...
  10. kitonsa

    Mwanamke amuua baba watoto wake kwa kumchoma kisu Mbezi Bwaloni

    Hii imetokea Mbezi Bwaloni jana usiku, marehemu tumemzika leo. Marehemu ambaye ni dereva wa bajaji, alikuwa na mahusiano na binti ambaye anakaa bwaloni njia panda ya kwenda St. anne, walibahatika kupata mtoto mmoja ana miezi tisa. Marehemu na huyo dada walipanga kuoana mwezi huu, marehemu...
  11. kitonsa

    Serikali yatangaza madereva wote waende kusoma kozi fupi usipokwenda huruhusiwi kuendesha gari mjini

    Leo katika pita pita zangu maeneo ya Mapipa Magomeni, kuna gari la matangazo lilikuwa linatangaza kuwa; madereva wote wa magari hapa mjini ni lazima waudhulie kozi fupi Kilwa road polisi siku ya Jumamosi. Bila ya cheti cha hiyo kozi hakuna dereva atakaye ruhusiwa kuendesha gari. Hivyo madereva...
  12. kitonsa

    Kweli DAWASCO shirika kubwa mnakosa mita za maji?

    habari wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada; mimi mteja wenu niliomba huduma ya kufungiwa maji, nimekamilisha kila kitu mpaka malipo yote, ila kila nikiwakumbusha kufungiwa maji mnasema mita hazipo, mwezi wa tatu huu. ivi shida ni nini kama pesa mmelipwa, izo mita zinatoka mbinguni? mbona...
  13. kitonsa

    Rais Magufuli: Nina deni zito

    Rais Magufuli leo katika sherehe ya kupewa hati ya ushindi wa uraisi, mjini Dodoma amesema ana deni zito la kuwalipa Watanzania. Anaendelea kusema vitu alivyoahidi kwenye kampeni ni nyingi hivyo ana kazi ngumu ya kuvitekeleza. Pia Mwenyekiti wa Tume hapo kabla aliongea mafanikio ya tume yalio...
  14. kitonsa

    Nyuma na hospitali ya Palestina, Sinza kuna nini? Wanajeshi wamezuia njia

    Leo nilikuwa kwenye kampeni fulani Sinza, pale nyuma ya hospitali ya Sinza Palestina, nikapita njia nyuma na hospitali nikakuta kuna kibao kimeandikwa "USIPITE HAPA" Kwa kuwa najua kusoma nikarudi nyuma, ila niliona kuna WANAJESHI Swali langu ile njia kwa nini imefungwa? NB: Nasikia ukipita...
  15. kitonsa

    Leon Spinks alifungwa mkono wa kushoto ili apambane na Mohammad Ali?

    Kuna story za kitoto mida ya miaka ya nyuma huyo mwamba alikuwa na nguvu mpaka Mohamed Ali aliomba afungwe mkono wa kushoto. Nilisikia alifungwa mkono wa kushoto, alivyo fungua alivunja nondo ya ring. Kuna ukweli hapa?
  16. kitonsa

    Tanzia: Mchunaji Morris Cerullo wa Marekani, afariki dunia akiwa na miaka 88

    Mtumishi wa Mungu Mmarekani wa Makanisa ya Kikristo (Wapentekoste), Morris Cerullo amefariki dunia siku ya Jumamosi Amezaliwa 2 Oktoba 1931 Passaic, New Jersey, Marekani. Na amefariki 10 Julai 2020. Bwana ametoa na Bwana ametwaa World-renowned evangelist Morris Cerullo passed away on July...
  17. kitonsa

    Spider-Man, superman na wengine wapata wababe wao

    Hao hapo
  18. kitonsa

    napendwa na vibibi vizee

    kwa ujumla mimi ni janki tu handsome boy, tatizo ninalokutana nalo natembea sana na vibibi vizee..sipendi hii tabia lakini imeshaingia kwenye damu. sababu nadhani ni 1.kuwatongoza kwake ni very simple 2 wanajua kubembeleza kuliko vijana .3 hawana gharama 4.wanajua mambo ya sita kwa sita OMBI...
  19. kitonsa

    Kama ulikuwa mpinga ccm ukikubaliana nao, uwanakumaliza!!

    Kuna mifano hai ya watu au tahasisi zilizokuwa zinapingana ccm. Ccm kwa kutumia intelejinsia yao wakawamaliza polepole kwa kuingia makubaliano nao. Mfano cuf inakufa sababu ya mkataba wa serikari ya mseto, masumbuko lamwai , mrema, seif hamad, nccr mageuzi n.k wote kwishinei kwa kuungana na...
  20. kitonsa

    How you look like?

    Nikisoma mada mbali mbali kutokana na lugha wanayotumia wachangiaji huwa najenga picha fulani ya mwonekano halisi wa muhusika. Wengine nawahisi ni mijitu yenye sura mbaya na miumbo ya kutisha, yawezekana siwatendei haki. Naomba nijuze mwonekano wako?
Back
Top Bottom