Search results

  1. M

    mikopo watu wa equivalent

    mkubwa equivalent wote hawajapata eti wanaassume wote mwafanya kazi eti msomeshwe na mashirika au waajiri wenu kazi kwelikweli ndo hivyo tumesha zoea sa utafanyaje
  2. M

    Paper ya form MWEMBETOGWA SEC:Akamatwa akimfanyia paper ya English mdogo wake.

    da uzembe uliokisiri 4sure jamaa.dogo.na wasimamizi wachukuliwe hatua kwa kwenda kinyume na sheria wasimamizi hawakuwa makini na kazi yao na huyo jamaa baada ya kumfundisha dogo anaona njia ni kumfanyia paper
  3. M

    Bodi bodi.... Bodi jamani

    wory not sheria zipo if zey attempt zey gona b held liable
  4. M

    kila la kheri FORM FOUR

    kilala kheri fm4 kwa kesho dont panic believe dat ulichosoma ndo chatoka tofauti ni misamiati2 waitumiayo.note epukaneni na matango pori.amen
  5. M

    Tcu na matokeo ya waliodahiliwa 2011/12

    da hii ndo tanzania mbona tcu na bodi wanatuchanganya eti not a priority mtu ana vigezo vyote da kwa mtindo huu watasoma watoto wa vigogo2 siwezi uza vitu vyote home eti nikasome then ukimaliza unasugua banch bora unakuwa na uhakika wa kazi wataka wote tuwe walimu nani atawahukumu...
  6. M

    serikali inarudisha maendeleo ya elimu nyuma

    inauma sana mkubwa haingii akilini kabisa kuwa serikali haiwezi kuwapatia wanafunzi madawati na vifaa vingine kumbuka nchi hii co maskini hiyo dhana2 wanufaika wachache2 da manjority wanataabika esp shule za vijijini balaa 2pu
  7. M

    Msaada kwenye viwngo vya mkopo(universities)

    jamani naomba kujuzwa make inasikitisha sana kwamba kwa wale wenye ufaulu wa stahiki yaan equivalent qualifications wanaopewa mkopo ni wale2 watakao soma ualimu wa sayansi na hisabati wa fani zingine kama law.bba.pub na zilizobaki wote hawatapewa inasikitisha sana coz wengine hawawez kuafford...
  8. M

    Necta na tcu wasaidieni hawa vijana wapate vyuo

    da ila lakini jamani wa kulaumiwa ni necta by da way kwani necta hawana uhusiano na tcu.sa waliwaruhusuje waende 4m five angali hawana hizo credit au ndo kujaza2 mashule yao da ina uma sana wanajamii
  9. M

    Naomba kujuzwa

    social work.human resources na social protection kama sijakosea
  10. M

    TCU ni kama selection tayari!

    je na bodi watoa lini?na nikigezo gani wanatumia kugrade watu?
  11. M

    TCU ni kama selection tayari!

    naomba kuuliza kwa wale walioapply direct vyuoni wenye diploma wanaotaka soma degree watajuaje kama wamechaguliwa au la!
  12. M

    TCU ni kama selection tayari!

    mmm!hilo nalo neno kaka sure make deadline 4second round application ni j3
  13. M

    Ni kweli TCU wametoa machaguo?

    da wakubwa mi sina la kusema nasubiri mpaka watapo taka pengine wataka unganisha na bodi
Back
Top Bottom