Search results

  1. ksimba1606

    Soon will be opened

    safi......! wekeni contant
  2. ksimba1606

    Banda la kuku

    ni sawa ila kwa ushauri mkuu naona kama hiyo sehemu ya nje ya wavu ingeezekwa kwa makuti au nyasi ingekuwa vizuri sn kuweza kupunguza hali ya joto!
  3. ksimba1606

    Kuku aina ya Kenbro

    ksimba1606@yahoo.com naomba uwe unanipa updates ili wakiwa tayari niweze kuangalia jinsi ya kukuagiza hata kwa baadae kidogo!!!!!!
  4. ksimba1606

    Nina Milioni 270 TShs, Nifanye Biashara Gani?

    ni vizuri ukafanya hicho kilichokuletea hizo pesa!
  5. ksimba1606

    Mayai ya Kwale Yanauzwa

    mmmmh! kweli hii ni JF!!!!!!! nawaheshimu wote kwa hili, kifupi mm nimgeni kidogo kwenye masuala ya ufugaji kwa maana sijapata kufuatilia mambo zaidi ya haya ya vibali, ila kiukweli napenda sn kufuga hasa Kuku na ndege wote kiujumla, ila kweli sheria zetu zipo hovyo wangetoa vbali wengi...
  6. ksimba1606

    Kuku aina ya kuroiler from India

    Nakushukuru sn Mkubwa kwa taarifa mna mawazo ya mzingi sn, sasa naomba unisaidie kuulisa hizo kuulizie fertilized eggs za kuku wa Austrolop, upatikanaji wake, wanauza kwa idadi gani (mfano tray kuanzia ngap) na bei kwa kila tray!
  7. ksimba1606

    Watoto wa Bata bukini wanapatikana

    nitakuchek! thanx kwa taarifa Mkubwa!!!!!!!!!!!
  8. ksimba1606

    Kuku aina ya kuroiler from India

    nimekupata Mkubwa kweli hii ni mbegu ya maana, vp hiyo company unayosema inaagiza kutoka INDIA hawaagizi hawa kuku wa malawi, au hawa kuku wa malawi (weus) ma wale wekundu wanawaita (kuchi) wapi wanataga vzuri na hawasumbui kwa magonjwa! au ni kuku aina gani wanaotaga vizur na wanapatikana hapa...
  9. ksimba1606

    Kuku aina ya kuroiler from India

    jaman kabla ya hao wa INDIA mm naomba ushari ni wapi nawezakupa kuku wa Malawi ambao ni mbegu bora kwa maana wanataga mayai vizuri!
  10. ksimba1606

    ufugaji wa kuku

    Heshima yenu wanaJF, Nina wazo la kufunga kuku, kwa nia ya kujiongezea kipato naomba ushauri wa namna ya kupata mtu au mahali ninapoweza kupata ushauri wa :- kuku gani wa kufuga (wa kisasa au wa kienyeji) namna ya kufuga na hali ya kibiasha kuhusiana na soko lake!!
  11. ksimba1606

    Natafuta kazi ya kununua jamani(kwa moshi)

    unethical..............!
  12. ksimba1606

    Interview

    yap! ila na goolgle info zao sipati kitu yan hata web yao siijui yan sina abc ya hii corporation!!
  13. ksimba1606

    Interview

    Masaada!!!! tunaomba kupata abc za kariakoo markets corporation kuhusiana na hii corporation, vision, mission, and current issues ambazo zinaweza kuulizwa kwa interview
  14. ksimba1606

    Kuhusu barua za kazi

    kaza mkubwa ipo siku utafanikiwa!!
  15. ksimba1606

    Tanzania police force

    tafuta kazi nyingine, jamaa hawana future, au ufanye njia ya kupita kufanya mambo yako sio kukaa had ustafu!! take it!!
  16. ksimba1606

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    link zinatosha sn, jamani tushukuru hata kwa hili maana ingekuwa 2nategemea magazeti ingekuwaje nani angethubutu kununua magazeti zaid ya copy 1 au 2? suala ni kuwasaidia waliokuwa mbali, hii changamoto wahusika wameisikia wataifanyia kazi hata kwa kutafuta njia mbadala kwa kutumia simu! LINK...
  17. ksimba1606

    Procurement and Supplies Professionals and technicians Board zamani NBMM

    poa san mkuu! mimi nimechelewa ila utanisaidia kwa November session, Subjects Warehousing Mgnt and Business Ethics its me ksimba1606@yahoo.com
  18. ksimba1606

    Procurement and Supplies Professionals and technicians Board zamani NBMM

    Msaada wadau kama kuna anaeweza kunisaidia ili nipate Material ya Profesional Stage I & II, pia wapi naweza kupata vitabu! au msaada hata wa kusoma pamoja kwa wale wanaofanya pepa za Novemba!!
Back
Top Bottom