Search results

  1. T

    Kati ya kutunza Fedha zako Benki kama Akiba yako ya baadae au Uwekeze katika Ardhi (Kununua tu Viwanja) ipi ni Mkombozi Kwako kwa baadae Maishani?

    Mkuu unayo hiyo hela nenda bank wanatoa hiyo riba. Factors zinazo determine deposit rate ya kwanza ni amount na ya pili ni time. Ukiwa na hiyo hela bank wanakaribisha majadiliano vizuri tu. Nakupa mfano. Kama 1 year Treasury Bills rate ni 11.5656(March 27, 2024) unadhani bank ili wakuvutie...
  2. T

    Makonda naye ametumwa na Rais Samia?

    Binafsi sidhani kama anatumwa. Ni hana akili tu. Mara eti watu wanajaribu kukupima kama wewe ni mama yangu kweli, aisee. This time amerudi nilikua a little bit sympathetic kwake nikiamini watu wanamuonea na kumsema vibaya ila jana nikahitimisha kwamba this man is zero brain kweli.
  3. T

    Kati ya kutunza Fedha zako Benki kama Akiba yako ya baadae au Uwekeze katika Ardhi (Kununua tu Viwanja) ipi ni Mkombozi Kwako kwa baadae Maishani?

    Real estate bongo ni biashara isiyo na faida. Kama una hela weka fixed deposit ama akaunti ya amana. Utaishi bila stress na presha huku ukila pesa zako taratibu.. Nakupa mfano. Ukanunua kiwanja eneo zuri mfano hapa Dar kama Goba, Salasala ama Madale. Kujenga apartment 1 yenye room 4 na sebule...
  4. T

    Tutakuja kujuta tukimpuuza Mzee Warioba. Tumsikilize wakati bado yupo

    Alikua Prime Minister, Vice President, Judge nk. Pamoja na hayo, he is a man of principles.
  5. T

    Wanaume wenye familia tujitafakari sana, tuwe na huruma kwa familia zetu

    Kuna wakati unatakiwa uidhulumu familia. Kuna wakati unatakiwa umepata elfu 20 unapita bar ama mgahawani unakula kuku wa kienyeji wako mzuri ama samaki mkubwa elfu 20 yote inaisha kisha unarudi nyumbani wamepika maharage na wewe unakula kinafiki ili wajue mko sawa. Bila kuudhulumu familia...
  6. T

    Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

    Shida ya wanyarwanda ni wabinafsi, ni watu wa kujitenga na jamii nyingine. Uliza hata Watanzania waliooa wanyarwanda, watoto wao wengi wanajitambulisha zaidi kwenye unyarwanda kuliko Utanzania. Hata kuoana wanataka waoane wao kwa wao. Ni jamii ambayo ni ngumu kujichanganya na jamii nyingine...
  7. T

    Rais Samia asikitika kuona wafanyabiashara wakitumia mbinu kukwepa kulipa kodi

    Kodi haijawahi kukusanywa kwa kubembelezana. Yeye ametaka awabembeleze wafanyabishara kulipa kodi, atulie wataleta siku wakijisikia. Hata hao wazungu tunaoenda kuwalamba miguu watuoatie misaada hawana kuchekeana kwenye suala la kodi, hawana mkubwa wala mdogo ndio maana makampuni makubwa kama...
  8. T

    Ujue mgogoro kati ya Elon Musk na Serikali ya Brazil hadi Brazil kutishia kuwafunga wafanyakazi wa x (Twitter).

    Tushukuru Elon anatumia pesa zake kutetea uhuru wa kujieleza kwenye mtandao wake. Hata humu JF Melo amewahi kulala lupango kutetea sisi wanachama wake baada ya serikali kukomaa inataka mawasiliano ya watumiaji wa JF ikawakaange lockup.
  9. T

    Ujue mgogoro kati ya Elon Musk na Serikali ya Brazil hadi Brazil kutishia kuwafunga wafanyakazi wa x (Twitter).

    Lula kaingia mwaka jana anataka kunyamazisha wapinzani wake wote kwa kulazimisha mitandao ya kijamii na vyombo habari kutowapa nafasi ya kuongea kwa kutumia mahakama. Mbaya zaidi anaitumia mahakama. Mahakama ambayo ndio mtetezi wa sheria za nchi wao ndio wanavunja sheria za nchi. Kuna...
  10. T

    Ujue mgogoro kati ya Elon Musk na Serikali ya Brazil hadi Brazil kutishia kuwafunga wafanyakazi wa x (Twitter).

    Siku chache zilizopita kumeibuka mgogoro wa kimahusiano kati ya mmiliki wa mtandao wa X ama Twitter Bwana Elon Musk na Serikali ya Brazil. Mgogoro huo umepelekea serikali ya Brazil kupitia Jaji wa Mahakama Kuu Bwana Alexandra Morales kutishia kuwaweka ndani wafanyakazi wa X na kuipiga X fine...
  11. T

    Zijue Shopping Malls 10 kubwa kuliko zote Afrika.

    Umeandika nini? Mimi na wewe nani kaandika pumba?
  12. T

    Zijue Shopping Malls 10 kubwa kuliko zote Afrika.

    Kwa nchi za wenzetu katibu kila kitu kinanunuliwa na kuuzwa kwenye shopping mall hivyo maduka ya Mangi hayapo kabisa. Hebu tuangalie shopping malls kubwa kuliko zote Afrika. 1. Morocco Mall – Casablanca, Morocco | 200,000 square metres 2. Mall of Arabia – Cairo, Egypt | 167,000 square meters...
  13. T

    Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

    Mimi pia paka kama siwaelewi, wana viburi sana. Halafu huwezi kujua mood yake kama amekasirika ama anafuraha, yeye yupo tu. Ni tofauti na mbwa, mbwa akikasirika unajua, akiwa ana huzuri ama mawazo ama stress kwa mfano ameachwa na mke wake ama mume wake ama mchepuko unajua na akiwa na furaha...
  14. T

    Ndugu zangu, wala hakuna uzuri kwenye jambo hili

    Hana namna yoyote ya kunifanya huyo kima.
  15. T

    Ndugu zangu, wala hakuna uzuri kwenye jambo hili

    Mwambie basi huyo Mungu wako taahira asie na akili achukue huo uzima akupatie wewe.
  16. T

    Ndugu zangu, wala hakuna uzuri kwenye jambo hili

    Huyo Mungu wenu asie ana akili ambae hajui kwamba kupatwa kwa jua ni vitu vya kawaida badala yake amewajaza ujinga na uoga nyie waumini wake ndio unataka asikashifiwe?
  17. T

    Ndugu zangu, wala hakuna uzuri kwenye jambo hili

    Achana na imani za kipumbavu kama hizo. Kupatwa kwa jua sio mara ya kwanza kutokea Duniani mbona hicho kiyama unachokisema hakijatokea ama allah hajui kwamba kupatwa kwa jua hutokea mara nyingi tu? Dini zinafundisha mambo ya kipumbavu sana. Dini zinapumbaza sana watu.
Back
Top Bottom