Search results

  1. NEW TANZANIA

    Rais Kikwete umechakachua NISHANI .... Bi kidude ni Mzanzibar

    ''KURA ya maoni ili iweje'' ...... hiyo kauli ni supportive? wewe unapenda katiba ya sasa, lakini kuna watu hawana amani nayo. Halafu kukuonyesha wewe ni LIBISHI hapa tunajadili kwa kutumia message lakini bado unauliza kama najua kusoma??!!!!
  2. NEW TANZANIA

    Rais Kikwete umechakachua NISHANI .... Bi kidude ni Mzanzibar

    Kumbe una inferiority zako ndio maana umekalia kubisha ili uonekane ujafundishwa, in short unajichanganya sasa, vyovyote vile itakavyokuwa, wananchi wanachofanya ni kutoa maoni na msimamo wao, kama ina default KATIBA then let it be, katiba inafuata matakwa ya wananchi na sisi kuzuia kama wewe...
  3. NEW TANZANIA

    Rais Kikwete umechakachua NISHANI .... Bi kidude ni Mzanzibar

    wewe ni muumini wa hii KATIBA ya sasa na ndio maana unaitaja taja, unajua inamapungufu na kwa kuwa upendi TANGANYIKA unashawishi watu watumie katiba ya sasa ili wakwame, kumbe kuna njia za kidemocracy nyingi tu kuishinikiza serikali hata kama ni kwa maandamano, wewe umeweka njia moja tu ya...
  4. NEW TANZANIA

    Rais Kikwete umechakachua NISHANI .... Bi kidude ni Mzanzibar

    Kama Misri wanapiga kura ya maoni kwa nini unaona hapa Tanzania atuwezi kupiga kura ya maoni? Misri kuwa kwenye mtikisiko hivi sasa sio kwamba wako kwenye failure, ni kwamba hawataki upuuzi na ndio maana wanapiga kura, hivi protest unazoona ni kuweka mkazo kwenye yawe wanayotaka, sio watu wa...
  5. NEW TANZANIA

    Rais Kikwete umechakachua NISHANI .... Bi kidude ni Mzanzibar

    wewe unaleta court/legal argument kwenye maoni ya watu, unajisahau kwamba maoni ya watu ni msingi wa katiba yenyewe, katiba haiko kuzuia maoni ya wananchi, kama wananchi wanataka Tanganyika sio jukumu la katiba kuweka vivuizu bali muongozo, na muongozo wa kudai Tanganyika unaanza kwa maoni kama...
  6. NEW TANZANIA

    Rais Kikwete umechakachua NISHANI .... Bi kidude ni Mzanzibar

    Kuna ya maoni iitweshe kufuata matakwa (democracy ) ya wananchi kama wanataka MUUNGANO wa saa au la. We kaa na katiba yako iliyojaa upuuzi, ni katiba gani ya sasa inayosema WEZI wa EPA wasamehewe ni katiba gani ya sasa inayosema CHAMA KITUMIA mali za serikali kwenye shughuli zake ni katiba gani...
  7. NEW TANZANIA

    Rais Kikwete umechakachua NISHANI .... Bi kidude ni Mzanzibar

    Scoland wamebadilisha katiba gani? mbona unapotosha bila msingi? Issue hapa ni kura ya maoni sio katiba, kuitishwe kura ya maoni kujua watu wanataka nini? kuna haja gani ya kubadilisha katiba na watu wakisema MUUNGANO uvunjwa na katiba yenyewe inakufa? Hakuna kitu kwamba KATIBA iko juu ya...
  8. NEW TANZANIA

    Tetesi: Mawaziri wa Kikwete: Lazaro Nyalandu, na Jumba la karibu milioni 600 Arusha!

    Ondoa AVATAR yako hiyo kutokana na RED, kwenye blue katoe kwa masikini ndivyo tunafundisha makanisani, kana dini yako kisha rudi
  9. NEW TANZANIA

    Rais Kikwete umechakachua NISHANI .... Bi kidude ni Mzanzibar

    Bila kusimama imala nchi itayumba, ni kweli sasa ni muda wa kudai TANGANYIKA ili kufungua mjadala wa MUUNGANO kuna mambo mengi ya kuweka sawa kwenye muungano
  10. NEW TANZANIA

    Wanawake unganeni; kwa hili Polisi wanawavunjia Heshima .......... (picha)

    Hii hata machizi wanajua sio haki, kuna wenye roho ngumu wameshaongea pumba zao lakini sio kihivyo, Polisi wameweka record kwa huu uchafu mkuu IGP mwema kimya kama vile hakuyaona haya magazeti na kwenye mitandao, kama polisi hawapiti kwenye mitandao wanajua je kuna hali ya hatari...
  11. NEW TANZANIA

    Wanawake unganeni; kwa hili Polisi wanawavunjia Heshima .......... (picha)

    cameruni hatujui vizuri ndio maana hakawaombea haki washikaji zake, kumbe sisi bado tunapelekana kama mbwa mtoto wa kiume bila haibu anaweza mshikashika binti viuno kisa yeye ni polisi, na raisi anakwenda kutweet kwa kusema polisi wanajua kazi yao wanafanya kazi yao kwa ufanisi
  12. NEW TANZANIA

    Wanawake unganeni; kwa hili Polisi wanawavunjia Heshima .......... (picha)

    IGP ni Mume wa dada yake kikwete anafanya kazi ya familia kawekwa Hapo kuinda shemeji Yake
  13. NEW TANZANIA

    Wanawake unganeni; kwa hili Polisi wanawavunjia Heshima .......... (picha)

    Polisi wanamiza shida zao za kimwili kazini serikali imetutekeza sasa inatumia dola kututisha Na kutudhilisha viongozi wetu ukiwapa challenge tu unakutana Na polisi hata Kama una hoja ya msingi watasema wee ni siasa zinakusimbua . Wanataka wananchi wawapende Na kuwapa ushirikiano bila wao ku...
  14. NEW TANZANIA

    Cameron threat to withhold UK aid to anti-gay nations ........ WATANZANI MPOO

    Wamevuka mipaka kusema ukweli, uwezi kutumia vitisho kuweka sheria, hawaoni kama na wao wanabaka haki zetu, tuna haki kama binadamu kukubali au kakataa ushoga kama wao wanaona ni big deal wawachukue kwenda kwenye nchi zao
  15. NEW TANZANIA

    Jk--- nitachafuka men

    Raisi tunaye wa ukweli aisee
  16. NEW TANZANIA

    Cameron threat to withhold UK aid to anti-gay nations ........ WATANZANI MPOO

    naunga mkono hoja japo Raisi kikwete aliwai kusema bila misaada tutakufa THIS IS TOO MUCH NOW
  17. NEW TANZANIA

    Sitta alonga katika 'Dakika 45' ya ITV

    wewe cheza tu hapo sitta na kikwete sio kundi moja ili liko wazi sana wewe ni mkenya nini?
  18. NEW TANZANIA

    Mtoto wa mtumwa ni mtumwa ..... Tubadilike kifra .....

    Kosa la gaddafi ilikuwa kutumia pesa ya walibya kama yake, kuna hoja nyingi kumtetea gaddafi lakini mimi nawaona walibya kama mfano wa kuigwa wameushinda utumwa wa fikra kama mtoa mada alivyojaribu kuhainisha
  19. NEW TANZANIA

    Mtoto wa mtumwa ni mtumwa ..... Tubadilike kifra .....

    Palestina kuna progress sinafanyika wiki mbili zilizopita tumeona wakibadilisha mateka lakini pia mleta mada kajikita zaidi afrika twende kwa mtazamo huo, kuna N.K kwenye hiyo mada hivyo inaonyesha kutambua kuwepo kwa sehemu nyingine kama hizo ulizotaja,
  20. NEW TANZANIA

    Mtoto wa mtumwa ni mtumwa ..... Tubadilike kifra .....

    Kweli mtupu, kuna report imetolewa na WORLD BANK kama mwezi mmoja uliopita kuhusu uwekezaji wawekezaji wa ukweli wako tayari kuja kuwekeza AFRIKA kutokana na CHINA kuzidiwa na wingi wa uwekezaji lakini cha kusikitisha ni kwamba AFRIKA bado haijawa tayari, AFRIKA hakuna barabara, nishati na...
Back
Top Bottom