Search results

  1. K

    Tafakuri chokonozi: Ni dengu, dengi, au ni propaganda?!

    Leo mmekaa Dr akawapa ujinga kuhusu Dengue na kuja kuandika bila tafakuri,Sasa mnaibika na kujishushia hadhi zenu kisa kutumika.
  2. K

    Zitto Kabwe ang'ara Kimataifa

    hahaha BAVICHA wanawivu wa kike.
  3. K

    Mabere Marando:Jambo hili ni zito,Werema sharti asikurupuke

    Mabere marando ni kilaza kama vilaza wengine kwa mantiki hii kama kweli anuhakika na huo mtambo kwanini asitaje mahali ulipo na huyo mtoto wa kigogo anayedai anamiliki? atuletee vithibitisho kwa ameamua kuweka mambo wazi.pili hii inatupa picha kamili ya kwamba swala hili CDM wamingia ubaridi...
  4. K

    America's Highest Paying Jobs 2012; Our Government dictates our salaries too Much GVT powers

    America's Highest Paying Jobs 2012By Morgan Giordano | CNBC – Mon, Jul 2, 2012 2:37 PM EDT salary is one of the most compelling factors for individuals deciding on a career path, a degree or even where to live, since some parts of the U.S. pay higher wages, on average, for the same position...
  5. K

    Makamu M/kiti BAVICHA taifa ni pandikizi au kapewa pesa haramu?

    Makamu mwenyekiti hajakosea kitu bali amejaribu kuona hata kama watasawazisha hilo swala ndani ya vikao itakua ni kwa upande mmoja kwani kauli imetolewa kwa umma na umma itabaki na kauli ya Heche kama kauli ya BAVICHA so ili kutopotosha umma na kuweka mambo sawa lazima alitakiwa kupinga au...
  6. K

    Joshua Nassari MB.

    Ushabiki na mapenzi yanayoleta upofu ni mufilisi kwa Great thinker, kama kweli hajakosea kwa nyie mnaotoa povu kumtetea Nassar kwanini Mbowe alisimama na kurekebisha kauli ya nassar? kama Nasar hakukosea inamaa ni Mbowe ni Policcm .udogo upi alionao huyo Nassar yani kisa anaitwa dogo janja ndo...
  7. K

    Joshua Nassari MB.

    Molemo = akili na mawazo ya kitoto great thinker anatia shaka huyu kijana. sory for u .
  8. K

    Kwa dalili hizi, Mnyika kapoteza jimbo la Ubungo

    tusubiri tuone ndg yanguhaki mnyika kama nani ashinikize laptop zake zitumike kwenye kuhesababu kura wakati utata mkubwa pia kwenye kesi hii ni idadi ya kura 14,000 zimetoka wapi?
  9. K

    Nanyaro: James Ole Milya sahau kabisa uongozi ndani ya Chadema

    unajua kikao alichokaaa Milya na Mbowe agenda ilikua nini? kama haujui kaa kimya ukiona nanyaro analia anayo sababu na ni mwoga wa challenge.
  10. K

    Nanyaro: James Ole Milya sahau kabisa uongozi ndani ya Chadema

    ]Ritz, we bado unalia na CHADEMA tu. Huna habari nyingine za kupost? acha mambo yako kwani hii si habari???????? au toa wewe habari za kupost JF coz wengine hatuna za kupost.
  11. K

    Tugome au Tuandamane Ijumaa tarehe 28/04/2012. It's worth it..!

    angalia kalenda ijumaa tarehe 27.
  12. K

    Tugome au Tuandamane Ijumaa tarehe 28/04/2012. It's worth it..!

    molemo unamatatizo kweli watu wanajadili swala la ukombozi wa nchi ya viongozi mafisadi wewe unaleta habari ya ushirika wa cuf na ccm be serious and kama unaona hauna cha kuchangia tulia bwana. au kisa ni hoja inayomhusu lipumba????? molemo a great thinker, sory for u.
  13. K

    Tundu Lissu ana deni kubwa jimboni, achukue tahadhari!

    too low men, kama aliahidi atimize kwani hakujua kunafitina,kwanini kila kitu tunatumia ccm as reference?
  14. K

    Augustino Mrema: Behind the Scene

    nyabhingi tatizo lako mtu kama wewe unaona mabaya ya mtu tu.altho wewe unamuona bogus bt kunamambo mengi katika utendaji wa viongozi wetu wa sasa wameshidwa kuyasimamia ila yeye akiwa madarakani na waziri aliweza kutetea mali za watanzania dhidi ya viongoz mafisadi miaka hiyo. yapo mengi sana...
  15. K

    Augustino Mrema: Behind the Scene

    ukweli ni kwamba viongozi wetu wanatakiwa sana kuiga yale mazuri aliyokua anayafanya Dr L mrema, kazi alizofanya hadi kesho zitakumbukwa,
  16. K

    Mhe. Nimrod Mkono asaini kumwondoa waziri Mkuu!

    shujaa ni a person who, in the opinion of others, has heroic qualities or has performed a heroic act and is regarded as a model or ideal: so in this case Mkono ni shujaa kwani amefanya kitendo cha kishujaa heroic act regard historia yake.
  17. K

    CHADEMA wako tayari kumpokea Lowassa

    acha uongo, sema wewe ndo utatoka na sio robo tatu.
  18. K

    CHADEMA wako tayari kumpokea Lowassa

    kweli kumbe kunawatu wanaona wao kuwepo cdm ni sahihi wengine ni wachafu.
  19. K

    CHADEMA leaders you have let us down in grooming EALA Candidates, a lot of credit to NCCR MAGEUZI

    Mzee Mwanakijiji. nikweli unayoyasema ukumtumia mtu kama kimbisa na makongo,wale sio wajenga hoja ni wacheshi na hawana uwezo wa kusimamaia na kutetea wanacho amini zaidi ya kuchekesha na kujichekesha, back to the bussnes ukweli kujieleza kuko kwa aina tofauti si maanishi mwongea sana...
Back
Top Bottom