Search results

  1. MBUFYA

    Maana halisi ya neno 'NIMECHINJA TAYARI' kama linavyotumika siku ya leo.

    Kuchinja ni kuondoa kitu kwenye mamlaka ya uhai kihalali. Hivyo leo ni kutoa chama fulani kwenye mamlaka.
  2. MBUFYA

    Liwake, lisiwake kura yangu iko UKAWA tu

    mmejiandikisha lakini?....
  3. MBUFYA

    Je, Anaitwaje?

    First Gentleman
  4. MBUFYA

    Dodoma kimenuka, Polisi watanda eneo la mkutano, baadhi ya wananchi wanaandamana

    lowasa atakuwa mgombea kupitia CCM.... ni swala la Muda Tu.
  5. MBUFYA

    Edward Lowassa special thread

    Raisi hawezi kupatikana CCM. na kama si hivyo Tutegemee udhaifu mkubwa kwenye Taasisi hii nyeti.
  6. MBUFYA

    Kwa bajeti iliyopitishwa naombeni ongezeko la mishahara ya walimu

    Mishahara mipya ya mwezi wa saba hiyo hapo chini. TGTS B/1 TSH.460,000/= TGTS C/1 TSH.620,000/= TGTS D/1 TSH.867,000/= TGTS E/1 TSH.989,000/=TGTS F/1 TSH 1,234,000/= Kwa maelezo zaidi tembelea.NB MUUNDO WA KADA YA UALIMU MSINGI UMEUHUISHWA KUTOKA B HADI G. www.pmoralg.co.tz
  7. MBUFYA

    Wapi nitapata katon za Reams kwa bei rahisi

    naamanisha Reams za karatasi za A4
  8. MBUFYA

    Wapi nitapata katon za Reams kwa bei rahisi

    Nahitaji reams kwa bei chini ya 30,000. Reams ya karatasi A4. Nipo Moshi Kilimanjaro.
  9. MBUFYA

    Ujumbe kwa wanaJamiiForums wote

    maswala ya kufahamiana Nenda watsapp humu tuna fahamiana kwa fikra na hoja tu
  10. MBUFYA

    Radio inayotanga direct kutoka bungeni

    capital radio wapo hewani sasa. zito anawasilisha
  11. MBUFYA

    Radio inayotanga direct kutoka bungeni

    du. kwetu umeme umekatika. naomba msaada wa updates humu jf kuhusu bunge leo
  12. MBUFYA

    Siipati website ya NECTA

    Ahsante mkuu lakini sijapata isue ninayo iulizia... hata kule NECTA. hakuna maelezo ya cutt off point...
  13. MBUFYA

    Siipati website ya NECTA

    ni kama nusu saa sasa naahangaika kuifungua hii website na haifunguki. shida yangu ni kuwa nahitaji kupata ufafanuzi wa "cut off points form V selection 2014" mfano HGL 13:31:3:6 hii ni kwa "female" halafu 12:27:7:8. kwa "males" msaada tafadhali
  14. MBUFYA

    Kamisheni za m-pesa za mwaka huu ni wizi

    tigo walikuwa wanalila 100 kwa muamala wa kima cha chini yaani 1000, sijajua bado ni kiasi gani kwa mwaka huu mpya wa pesa ni kiasi gani
  15. MBUFYA

    Kamisheni za m-pesa za mwaka huu ni wizi

    kwa kiwango cha chini yaani muamala wa sh 1000 ulikuwa ni 116. sasa muamala kama huo ni 40.
  16. MBUFYA

    Kamisheni za m-pesa za mwaka huu ni wizi

    Nitaacha hii kazi ya uwakala maana malipo mapya ya vodacom m pesa mwaka huu wa fedha yanakatisha tamaa. yaani tsh 40, kwa muamala. ni hasara. kama voda wamekosea waseme
  17. MBUFYA

    Mashairi ya wimbo wa Nick wa Pili

    Huu wimbo umesifiwa hata na Waziri wa kazi na ajira. Leo bubgeni katika utangulizi wa hotuba yake
Back
Top Bottom