Search results

  1. M

    Misururu ya magari kwenye misafara ya ziara za viongozi wetu ni ushamba wa kizamani sana!

    Nini msururu wa magari, wabunge wamesema waongezewe na msafara wa ndege, zilizopo haziwatoshi
  2. M

    Plot4Sale Viwanja Dar Vikindu

    Vikings wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, rekebisha si Dar es salaam
  3. M

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Ni kweli hufahamu kuwa Siwa alikuwa DOI enzi za Upson? Hujui Kipilimba na Diwani hawakuwa na uzoefu ktk idara kama Siwa. Tena Kipilimba aliomba kuondoka akiwa mdogo mno hata uzoefu hakuwa nao. Upson mwenyewe aliteuliwa akitokea Mgulani JKT. FYI RO yupo, Kina Mombo wapo TISS bado na wqnafanya...
  4. M

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Sasa mbona unakasirika na kits wenzio pumbavu, kwani wote lazima tukubaliane na maaskofu
  5. M

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Hujawahi kumsikia Tulia Ackson, Nape Nnaye. Jerry Silaa, Kuna mkataba wa Kanisa Katoliki na Serikali wa kurudishiwa mashule na hospitali wakati taasisi nyingine hawakurudishiwa aliwahi kuulizwa nani kabla hawajasaini?
  6. M

    Umoja wa Wakuu wa Shule Manispaa watangaza Mgogoro na DC wa Tabora Mjini Mh. Eric Komanya Kitwala

    Poyoyo Kitwala, nilimtabiria mwisho mbaya, anguko kubwa na sasa anavua alochopanda
  7. M

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    I will take both, ila nasubiri mvua mwisho wa mwezi huu in shaa Allah
  8. M

    Uchaguzi 2020 Bila Dkt. Bashiru kuingilia kinachoendelea Tabora Mjini, Jimbo linakwenda Upinzani

    DC Limbukeni kweli yule jamaa, anaona UDC ndo kila kitu, mshaaambaa. Eti vile alikuwa ktk panel ya waCCCM waliohakiki mali za chama akapata UDC anaona kayapatiia Maisha, na huyo mgombea Mwakasaka naskia kamla Mil 90 waist wajumbe hawahonga mil 36 tu nyingine kapeleka pwani
  9. M

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Minazi ya aina gani? Ile mbegu ya pemba unayo?
  10. M

    Upoyoyo wa DC wa Tabora

    Bw Komanya Kitwala na akili za kuharibiwa na upofu wa madaraka. Alitumika kwenye kura za maoni baada ya mzigo kupewa yeye agawie wajumbe kwa ujira wa Tsh 60m Lengo likatimia. Sasa kajisahau anawapanda kichwani hadi viongozi wa chama ambao wangemlinda, kasababisha sasa jimbo wanajitwalia CDM...
  11. M

    Umoja wa Wakuu wa Shule Manispaa watangaza Mgogoro na DC wa Tabora Mjini Mh. Eric Komanya Kitwala

    DC KOMANYA WA TABORA MJINI KAMWE HATUTOKUPA USHIRIKIANO ZAIDI YA KUISHI NAWE KINAFIKI KAMA UMOJA WA WAKUU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI TUMEDHAMIRIA YAFUATAYO 1: Kutokukupa ushirikiano wa aina yoyote ule ktk harakati zako za kutafuta kiki. 2: Kutokualika ktk shughuli zozote za kielimu...
  12. M

    Mkuu wa Wilaya ya Tabora ndugu Erick Komanya Kitwala hana maelewano na mtumishi yeyote ndani ya wilaya anayoiongoza

    Huyu DC ndie DC wa hovyo kuzidi hata yule wa Kilolo. 1. Tangu ateuliwe kuwa DC kazi yake ni kujisifu mbele ya watumishi ,madiwani,wana CCM na hata mbele ya mikutano ya wananchi wakawaida. 2. Alianza kugombana na dereva wa DC ambae alimkuta akimuendesha DC Qeen Mulozi ambae ni DC aliekuwa...
  13. M

    Aibu BAKWATA: Sherehe za Iddi zageuka maonyesho ya wanasiasa waliohamia CCM

    Wapewe na nani ? Unaijua Bakwata wewe?
  14. M

    Shamba Kigamboni Puna

    Eka 11 ndo zakutoa hongera?jirani yetu kina Chaurembo wana ekari 300 hapo hapo jirani
  15. M

    Shamba Kigamboni Puna

    hapana, ni biashara ya familia
  16. M

    Shamba Kigamboni Puna

    niliisha uza, ila kando yake nina 1.5 acre ina green house na mpunga, kisima kwa 9m na mbele mita 600 kuelekea baharini nina ekari 4, zina nyumba ,mabanda 2 ya ufugaji, kisima na tank la maji bei mil 40 na beach kabisa acre 6(hazijalimwa) kwa mil 78
Back
Top Bottom