Search results

  1. G

    Hivi kama nchi suala la vitambulisho vya taifa limetushinda?

    Nadhani ni vema tunapoongea tuwe na facts vinginevyo hoja zetu zitaonekana hazina mashiko. Hivi ni kweli asilimia kubwa kati ya wananchi waliosajiliwa hawana vitambulisho, kweli? Hivi ni sahihi kwamba wananchi wengi waliosajiliwa hawana namba,kweli? hii si kweli kabisa. Wananchi wengi sana wana...
  2. G

    NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

    Wageni wakaazi wanapokuja nchini hupata kibali (working permit) ya miezi sita tu, hivyo kwa vyovyote vile ni lazima wapewe vitambulisho vya Mgeni Mkaazi kabla ya muda huo wa kibali chake hakijakwisha muda wake. Lakini pia Kitambulisho cha Taifa anachpoewa raia huyo wa kigeni kina ukomo tofauti...
  3. G

    Afisa aliyeshitakiwa kwa kupokea rushwa ili kutoa Kitambulisho cha Taifa kwa Raia wa Uganda si mtumishi wa NIDA

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kukanusha taarifa iliyoandikwa katika mtandao huu leo ikiwa na kichwa cha Habari kisemacho "AFISA NIDA ASHTAKIWA KWA KUPOKEA HONGO KUTOA KITAMBULISHO KWA RAIA WA UGANDA" Tunapenda kuufahamisha Umma na watanzania wote kwa ujumla kuwa NIDA haina...
  4. G

    Aliyeshtakiwa kwa kupokea rushwa ili kutoa kitambulisho cha Taifa kwa raia wa Uganda si mtumishi wa NIDA

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kukakasha taarifa iliyoandikwa katika mtandao huu leo ikiwa na kichwa cha Habari kisemacho "AFISA NIDA ASHTAKIWA KWA KUPOKEA HONGO KUTOA KITAMBULISHO KWA RAIA WA UGANDA" Tunapenda kuufahamisha Umma na watanzania wote kwa ujumla kuwa NIDA haina...
  5. G

    Kagera: Afisa wa NIDA matatani kwa kupokea hongo kutoka kwa Raia wa Uganda ili ampatie kitambulisho cha utaifa

    ALIYESHITAKIWA KWA KUPOKEA RUSHWA ILI KUTOA KITAMBULISHO KWA RAIA WA UGANDA SI MTUMISHI WA NIDA Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kukanusha taarifa iliyoandikwa katika mtandao huu leo ikiwa na kichwa cha Habari kisemacho "AFISA NIDA ASHTAKIWA KWA KUPOKEA HONGO KUTOA KITAMBULISHO...
  6. G

    Kagera: Afisa wa NIDA matatani kwa kupokea hongo kutoka kwa Raia wa Uganda ili ampatie kitambulisho cha utaifa

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kukanusha taarifa iliyoandikwa katika mtandao huu leo ikiwa na kichwa cha Habari kisemacho "AFISA NIDA ASHTAKIWA KWA KUPOKEA HONGO KUTOA KITAMBULISHO KWA RAIA WA UGANDA" Tunapenda kuufahamisha Umma na watanzania wote kwa ujumla kuwa NIDA haina...
  7. G

    Vitambulisho vya NIDA ni Siasa au hupewa watu maalum

    Unachosema kaka hiyo kweli. Mchakato wa maombi ya Kitambulisho unahusisha watu wengi katika hatua mbalimbali zikiwemo pia taasisi nyingine. Unapataje kwa siku moja? Na kama kuhonga pesa utawapa wote hao?
  8. G

    Vitambulisho vya NIDA ni Siasa au hupewa watu maalum

    Sidhani kama ni kweli vilitengenezwa kwa ajili ya group fulani. Watu wengi wa kawaida wana vitambulisho ingawa ni kweli si wote.
  9. G

    Vitambulisho vya NIDA ni Siasa au hupewa watu maalum

    Jamani tuwe wakweli, hakuna siasa yeyote dhamira ni njema Vitambulisho vinatolewa kwa wote na si viongozi tu ingawa inaweza kuwa si kwa kasi tuliyotarajia. Namba ni nyingi mno zilizotolwwa na uzuri wameweka utaratibu wa huduma kutolewa kwa wenye namba kama ilivyonkwa wenye vitambulisho...
  10. G

    NIDA wamenijibu kuwa hawana mpango wa kutoa vitambulisho vya Utaifa tena

    Vitambulisho vinaendelea kutolewa kama kawaida katika ofisi zote za usajili za Wilaya nchini. Lakini pia vilivyopelekwa katika ofisi za watendaji wa vijiji na Serikali za Mitaa vinatolewaNi ofisi ya Wilaya gani hiyo uliyoenda Mkuu ukaambiwa hawatoi tena? labda kama walikuambia kuwa...
  11. G

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Yaah Malima ni miongoni mwa watangazaji waliokuwa creative sana katika vipindi vyake. Vipindi maarufu alichokuwa akikitangaza kilikuwa kinaitwa 'Tumbuizo asilia na Mkoa kwa Mkoa'
  12. G

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Watangazaji wengine wa zamani wa RTD waliowahi kuwa maarufu ni pamoja na Abdallah Majullah (alikuwa akitangaza mpira pamoja, Kipindi cha michezo n.k, Geofrey Erneo (Kipindi cha klabu raha leo akishirikiana na Enock Ngombale, alikuwa mahili pia katika kipindi cha majira na Harakati. Kipindi cha...
  13. G

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Siyo Hassan Mgumba, jima lake halisi ni Hassam Mkumba alikuwa pia msomaji mzuri wa taarifa za habari
  14. G

    Israel yazindua safari za kuleta watalii kuja Tanzania.

    KUNDI LA KWANZA LA WAISRAEL LAMALIZA ZIARA KWA MAFANIKO Baadahi ya watalii kutoka Israel wakifanyiwa ukaguzi katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) kabla ya kupanda ndege kurejea kwao Isreal. Kundi la watalii 150 kutoka Israel limemaliza ziara yake ya siku hapa nchini na kuondoka...
  15. G

    Ttb yaratibu na kuongoza msafara kupanda mlima kilimanjaro kuadhimisha uhuru wa tanzania bara

    Wafanyakazi wa TTB wakiongozwa na Mwenyekiti wa TTB Balzo Charles Sanga (wanne kushoto) katika picha ya pamoja na wapanda mlima wengine katika msafara huo akiwemo Meja Jenerali Gimongi (wa tano kushoto) wakiwa na bendera ya Taifa muda mfupi kabla ya kuanza kupanda Mlima. Katika picha ya pili...
  16. G

    TTB yazindua rasmi ofisi kanda ya ziwa Mwanza

    NAIBU WAZIRI ASEMA TATIZO LA BAJETI FINYU KWA TTB LITAPATIWA UFUMBUZI Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu (MB) ameiambia ya Bodi ya Utalii Tanzania – TTB kuwa tatizo la sugu bajeti isiyotosheleza mahitaji ya Bodi hiyo katika kutekeleza majukumu yake litapatiwa...
  17. G

    Maadhimisho ya siku ya utalii duniani yafunguliwa huku ttb ikipongezwa

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng. Evarist Ndikilo ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa kufungua ofisi jijini Mwanza kwa kuwa hatua hiyo itaharakisha maendeleo ya sekta ya utalii mkoani Mwanza na Kanda ya ziwa na amewataka wananchi wa Mwanza kukuza utalii wa ndani kwa kutembelea vivutio vya...
  18. G

    CCM Yakalia kuti kavu Ukonga

    Ki ukweli hali ya maendeleo katika jimbo hilo si ya kuridhisha. Mfano mdogo ni wa Kitunda Mwanagati ambako kwanza; hali ya barabara inasikitisha sana mfano ile ya kutoka Mwanagati kwenda Tandika kabla ya kufika kwenye lami panapoitwa njia panda ya Kitunda. Barabara hii ambayo ni kubwa na...
  19. G

    Tutafanya kazi kwa kushirikiana na Bodi ya Utalii - Mabalozi

    Na Geofrey Tengeneza Mabalozi wa Tanzania katika nchi za kusini mwa Afrika wameihakikishia Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kuwa wako tayari kushirikiana nayo katika jitihada zake kuitangaza Tanzania kwa lengo la kuvutia watalii zaidi kutoka katika maeneo hayo na mengine duniani. Aidha wameiomba...
Back
Top Bottom