Search results

  1. N

    Nitumieje mbolea inayotokana na kinyesi cha popo?

    Pima PH ya udongo wako kwanza kabla ujatumia mbolea ya aina yoyote, unaweza kuharibu ardhi nzuri kwa kuweka mbolea bila kujua. Kuna maabara nyingi zimefunguliwa siku sio nyingi zinapima Soil Ph na wanatoa ushauri wa kitaalam, ni aina gani ya mbolea uweke au usiweke na kiasi.
  2. N

    Ngoja niwahabarishe mambo kadhaa usiyo yajua katika ujenzi

    Unapatikana maeneo gani Dar es Salaam, nahitaji kufanya marekebisho ndani ya nyumba yangu, Jikoni, na Choo cha master bedroom. Nahitaji kujua eneo unalopatikana ili nijue urahisi au ugumu kukufikisha eneo langu, na mawasiliano yako.
  3. N

    Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Aliishawahi kuishutumu serikali inamzuia kufanya biashara kule FORBES Magazine. Afunge aone kama CCM itakuwa KIJANI tena. Hivi Yusufu Manji alienda kutibiwa na hakupona tena au nini kilimtokea?
  4. N

    Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Huyu Slaa alipokuwa Mayor wa jiji la Dar es Salaam, alipingana sana na Magufuli. Wakati magufuli akiwa waziri wa ujenzi walikuwa wanabishana kuhusu kung'oa mabango ya biashara kutoka barabara za Tanroad. Alimshutumu magufuli kwamba anaendesha wizara kwa mihemko na hafuati sheria. Sasa Leo tena...
  5. N

    Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Achwe afunge aone, CCM watasema SIYO MTANZANIA, na ataondolewa yeye na ndugu zake. Account zake zitakuwa frozen, na mali zitataifishwa na kuuzwa kulipia madeni anayodaiwa. Atapelekwa INDIA kwa kuongelea, chezea majambazi.
  6. N

    Dkt. Ndugulile: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, siungi Mkono kupita bila kupingwa

    Kaongelea uchaguzi wa ndani huko CCM, huku nje angeshindaje na tuliambiwa CHADEMA walishinda ndio maana matokeo yakaamuliwa nchi nzima CCM ishinde.
  7. N

    Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

    Hao viongozi, hata wafanyakazi wabena wengi sana.
  8. N

    Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

    Mbena kwa sifa humuwezi, wanaamini wanajua sana kuliko binadamu yeyote yule. Halafu kazi za ujasusi wanazipenda sana.
  9. N

    Msingi wa Ikulu ya Dodoma, ulitumia nondo za Tsh. Bilioni 1

    Nchi hii kila kitu kinatiliwa mashaka, nani siyo mwizi nchi hii.
  10. N

    Tunaomba Mwijaku adhibitiwe

    Matako anaweza kumzidi mwenezi, hilo kanzu linamsaidia kavaa kama dela. Msiinge msiyo yafahamu mjini kuna mengi.
  11. N

    Sio Tanzania pekee yenye Capital City ndogo kuliko Jiji la Biashara

    Capital city ni Dar es Salaam. Watawala wote wanaishi Dar es Salaam, Nani kahamia Dodoma?
  12. N

    Kuna Muislamu anaendelea kuwafata Bakwata kwa chochote?

    Kumbe ndio maana swaumu kali sana? CCM jinamizi, Bakwata mali yao, KKKT mali yao. Imeshindwa kwa KATOLIKI tu, lakini hivi vidhehebu vya Kiinjilist na Mitume feki mali yao.
  13. N

    Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Sheria gani nchi hii, roho mbaya tu. Wao wanaenda kwingine shida tunapata sisi?
  14. N

    Pendekezo: Posho na mshahara wa mbunge, usizidi milioni 5 Kwa mwezi

    Walipwe kwa kazi wazifanyazo siyo kuchota pesa tu bila shughuli yoyote. Mil 5 kwa kazi gani? Walipwe tu wanapofanya kazi za kibunge, vinginevyo watafute ajira au shughuli binafsi kama wananchi wengine.
  15. N

    Asafirisha wahamiaji 20 kwa V8 yenye bendera ya CCM

    Kwani angewaacha waende zao huko South Africa angepungukiwa nini?
  16. N

    Tuombe Mwaka 2024 Uwe ni Mwaka wa Mageuzi ya Kweli ya Kidemokrasia ya Kweli Tanzania. Tume Huru, Uchaguzi Huru na wa Haki! Happy New Year!

    CCM hawawezi kukubali hilo. Kwa sasa wanatafuta kukubalika kwa wahisani wetu, ndio maaana unaona hizo sijuiR, na maigizo mengine.
  17. N

    Nabii Huwa Hakubaliki Nyumbani, Japo Alikuwa ni Ripota wa TBC, Unabii Wake Aliufanyia Star TV. Ni Moses Mathew, Mbuyu wa Habari Mwanza ulioanguka

    Kuwa chawa siyo sifa, ni ujinga. Mwanaume jisimamie, utaishi hata usipobembeleza. Kifo kiko kwa kila kilicho hai.
  18. N

    Mamlaka ya Bandari (TPA) yatoa ufafanuzi kuhusu hali ya ajira za Watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam

    Kwani hizo DP World kazikataa? Mkataba ulisema ataendesha bandari zote za bahari kuu, na za maziwa yote. Au walibadirisha baadaye?
Back
Top Bottom