Search results

  1. Decoration

    Mrejesho: Hichi kidonda sehemu za siri nitumie dawa gani?

    Wakuu mnakumbuka nilileta huu uzi hapa jukwaani[ https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1904366/ emoji1313][emoji1313]basi huu ndo mrejesho wangu Mrejesho:Nilichelewa kuja kutoa mrejesho humu ndani kuhusu kidonda changu Lakini baada ya kutoka hapa niliuchukua ushauri nikaenda hospital...
  2. Decoration

    Msaada hichi kidonda sehemu ya siri nitumie dawa gani?

    Mficha maradhi kifo humuumbua nimeweka na picha Kilianza miezi 3 iliyopita kama kipele tu sasa hivi ndo kama unavyokiona Hakiponi kabisa nilijitahidi kukanda na maji moto na chumvi lakini wapi Kinakaa kinavimbia utadhan usaha kumbe kinavimbia damu tu Nakosa hata raha ya kuwaza kushiriki...
  3. Decoration

    Hii nyimbo inaitwaje ya kinaigeria hivi siijui jina lake

    Ya kwanza niliitafuta sana aliimba fally ipupa na j martin Sasa hii ya pili inafanana na hiyo ila jina silijui ina kama sauti yake inasema "kibai bai baiii" jina tafadhali. Nyingine inaimba "....wanna make me gongoweo dondoweo dondoweo" halafu inamalizia kwa kuitikia "iye iye iye iye"...
  4. Decoration

    Alichonifanyia huyu mtoto wa mama mwenye nyumba nimfanyeje?

    Hapa upangajini tupo wapangaji takribani 8 na tunaishi na baba na mama mwenye nyumba Baba na mama mwenye nyumba maisha yao yote wamebahatika mtoto mmoja tu na ndo huyo yupo na age kama 25 hivi jamaa kasoma hadi fom 6 utundu shule na tabia mbovu zikamfukuzisha shule yupo tu mtaan ni muhuni na...
  5. Decoration

    Kichwa cha uume kuwa chekundu ni ugonjwa gani huu

    Nikitoka kufanya mapenzi na manzi yangu kichwa cha uume wangu kinakuwa chekundu sana saa zingine nikienda tu haja ndogo. Nilienda hosptal wakasema nina UTI sugu maana muda uliopita nilikwenda baada ya kuona nakojoa vitone vitone vyeupe kama maziwa yaani nikianza tu kukojoa natokwa na hiyo...
  6. Decoration

    Mrejesho: Hatimaye nimepona fungus za sehemu za siri...

    Salute sana watumiaji wenzangu wa jamiiforum aka wanamember... Nilileta uzi huu hapa nikizungumzia mateso niliyokua napata ya fungus za sehemu za siri nilivyokua nateseka https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1585683/ Niliteseka sana na hizi fungus nilikua nawashwa na uume na sehemu...
  7. Decoration

    Natafuta kazi,,,,,nimesomea maendeleo ya jamii

    Natafuta ajira ndugu zangu nimesomea maendeleo ya jamii (community development) kwa level ya diploma Nipo tayari kufanya popote Tanzania Natanguliza shukurani
  8. Decoration

    Nina diploma ya maendeleo ya jamii (community development) najitokeza kwenu kuomba kazi ndugu zangu

    Wasalaam wanabodi Nimehitimu chuo mwaka huu mwezi wa saba Natarajia kufanya mahafali ya uhitimu wa diploma yangu mwezi wa kumi na moja Nina certificate of community development, Pia nina Diploma of community development Ninaomba kazi kwenye shirika au taasisi yoyote Kwa mshahara wowote...
Back
Top Bottom