Search results

  1. Decoration

    Msaada hichi kidonda sehemu ya siri nitumie dawa gani?

    Nawashukuru sana wote mlonishauri ile siku mbarikiwe sana
  2. Decoration

    Mrejesho: Hichi kidonda sehemu za siri nitumie dawa gani?

    Wakuu mnakumbuka nilileta huu uzi hapa jukwaani[ https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1904366/ emoji1313][emoji1313]basi huu ndo mrejesho wangu Mrejesho:Nilichelewa kuja kutoa mrejesho humu ndani kuhusu kidonda changu Lakini baada ya kutoka hapa niliuchukua ushauri nikaenda hospital...
  3. Decoration

    Msaada hichi kidonda sehemu ya siri nitumie dawa gani?

    Mrejesho:Nilichelewa kuja kutoa mrejesho humu ndani kuhusu kidonda changu Lakini baada ya kutoka hapa niliuchukua ushauri nikaenda hospital ambapo kwa bahati mbaya niliambiwa Bima yangu haijawa activated hivyo nikakosa huduma.. Halaf hichi kidonda hakikuwa na association yoyote au uhusiano na...
  4. Decoration

    Msaada hichi kidonda sehemu ya siri nitumie dawa gani?

    Poa ngoja niende phamacy fasta
  5. Decoration

    Msaada hichi kidonda sehemu ya siri nitumie dawa gani?

    Shilingi ngapi hiyo iodind tincture?
  6. Decoration

    Msaada hichi kidonda sehemu ya siri nitumie dawa gani?

    Kwani si nimeshakwambia nashindwa kutumia hair remover kushave hapo kwa sababu ya maumivu? Vitu vingine kama kucomment huwezi tulia tu
  7. Decoration

    Msaada hichi kidonda sehemu ya siri nitumie dawa gani?

    Pia nilitumia hair removal ilikua inanichubua mno mkuu
  8. Decoration

    Msaada hichi kidonda sehemu ya siri nitumie dawa gani?

    Ni kweli nilikua natumia hair removal ilikua inanichubua Sana
  9. Decoration

    Msaada hichi kidonda sehemu ya siri nitumie dawa gani?

    Mficha maradhi kifo humuumbua nimeweka na picha Kilianza miezi 3 iliyopita kama kipele tu sasa hivi ndo kama unavyokiona Hakiponi kabisa nilijitahidi kukanda na maji moto na chumvi lakini wapi Kinakaa kinavimbia utadhan usaha kumbe kinavimbia damu tu Nakosa hata raha ya kuwaza kushiriki...
Back
Top Bottom