Search results

  1. C

    Umewahi kuingiliwa biashara na jirani / mshindani anaeuza kwa bei za chini mno ili kukuibia wateja, kukuondoa, kukuumiza , n.k. ulitoboa?

    Biashara Ina Siri sana wasiojua Siri hiyo wanahangaika sana...kamwe usivunje bei wakati wewe ni small scale business in the long run utaumia vibaya mno. Wanaoweza hivo ni akina dewji na bakhresa
  2. C

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Kabisa anaonekana mkubwa kwa umri huo.
  3. C

    Mkazi wa Mawemairo jela maisha kwa kubaka

    Mjinga kabisa anastahili....ibilisi mkubwa huyo mtoto wa miaka sita kweli,kashamuharibu kisaikolojia kwanza
  4. C

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Kwa nini lakini wanafanya hivo hawa wazanzibari? Wanataka Israel waanze kutoa dozi na kwetu si ndio?
  5. C

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    Kama Itatokea vita Iran hawezi shinda wengi wanamtamani....atakula kichapo mpaka aombe poo.
  6. C

    CAG Ripoti 22/23: TEMESA inailipa Kampuni ya AZAM Tsh. Milioni 5 kila siku kuendesha Vivuko

    Kwa Azam kusema kweli 5ml ni ndogo mno labda waseme wanatoa msaada .....afu hyo hela ya mapato mbona ndogo sana au sijaelewa?
  7. C

    Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi

    Duh vita ikianza huko ,huku patasahaulika kifuatacho ni kimmbembe maana utashanga Rwanda anaitaka Kigoma nasie tunaanza kukipiga..mungu tuepushie mbali
  8. C

    Huyu mjamzito amenyanyaswa na wahudumu wa mwendokasi hapa Mbezi Mwisho mpaka akazimia

    Nauli ni Tsh ngapi kwani? Si angelipa tu,mambo mengine kujitakia
  9. C

    KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

    Group tena 😃😃 hawa jamaa ni shida..lipa tu hela za watu
  10. C

    Lipa namba ya VODACOM 5757565 rudisha pesa yangu

    Hiyo kesi ngumu,Sasa polisi utawaambiaje ?akisema mlikua mnadaiana,je?Kaushia tu hiyo maana kibao kinaweza kukugeukia sababu njia kwanza uliotimia kudai si sahihi ni udhalilishaji.ohoo utaumia tafuta nyingine tu
  11. C

    Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Afadhali simba tumebamizwa kihalali bila mbambamba Sasa yanga Hilo goli litawauma kinoma maana ni goli halali kabisa
  12. C

    Huyu DJ amewezaje kumiliki mali zote hizi?

    Unaposema Africa una uhakika?unamjua dj black coffee?
  13. C

    Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti kundi kubwa la watu litahamia Arusha sasa

    Duh ila makonda kazi kusema kweli kazi anapiga mnyonge mnyongeni ila haki mpe shida analewa madaraka na kujisahau ila kazi anapiga.
  14. C

    Wakuu nina wazo

    Ila wanaume tunahangaika na hapo hatuendi period tungekwa nayo hakuna rangi tusingeona huu ulimwengu
  15. C

    Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

    Sio yeye bwana aliyemwagiwa tindikali jaribu kufanya research kabla ya kuongea
  16. C

    Baada ya teuzi mpya Makonda kapanda cheo au kashuka?

    Next stop dar es salaam time will tell
  17. C

    Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Boda kaingia njia ya gari afu kaburuzwa mpaka hapo alipofia...hatari sana hii
Back
Top Bottom