Search results

  1. M

    Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini

    Mfanyabiashara wa Tanzania Yusuf Manji anashikiliwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa nchi Tanzania Takukuru akikabiliwa na tuhuma tatu, baada ya kurejea nchini Tanzania kutoka nje ya nchi . Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru kamishna wa Polisi Said Hamduni, Manji anashikiliwa toka...
  2. M

    Kuzuiwa kwa mikusanyiko mwisho wa Mwaka: Kilio kwa Waziri Simbachawene

    Mimi ni kiongozi wa Kanisa hapa Dar Leo nafungua Vyombo vya Habari nakuta unasema mikusanyiko ya Mkesha wa Mwaka Mpya kwenye viwanja Vya wazi marufuku. Leo tarehe 31/12/2020 narudia Leo unatoa Tamko wakati sisi tumepanga jambo tokea Novemba. Tumekodi vyombo vya muziki, tumelipia Eneo, tumelipa...
  3. M

    Kwa viongozi wa Awamu ya tano

    Hivi mkiongea na wananchi kwa sauti Ya kistarabu na heshima mnahisi hawatoelewa?? Mana kila kiongozi anaongea kwa sauti ya ukali tu na vitisho.
  4. M

    TANZIA Mfanyabiashara Subhash Patel (mmiliki wa Hoteli za Sea Cliff na White Sands) afariki Dunia

    Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye anatajwa kuwa miongoni mwa Mabilionea wachache nchini Tanzania na mfanyabiashara, Subhash Patel inadaiwa amefariki leo. UPDATES: MFANYABIASHARA maarufu wa Tanzania ambae ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group, Subhash Patel...
  5. M

    Kwa watu wa zamani tu!!

    Tukumbukeni misemo ya zaman tupia na yako mie naanza na: Shingo feni Lala mbele Mambo kwa soksi
  6. M

    Tetesi: Asili ya neno beberu

    Mwaka 1856 sultan sayyid said alikuwa na Mlinzi katili anaitwa Abdalah Juma alikuwa anatesa sana watu kuna siku mbuzi dume kubwa lenye pembe likampiga pembe bwana Abdalah na kumchana sehemu za Siri basi tangu siku hiyo likaanza kutumika neno beberu kwa mtu mwenye mabavu.
  7. M

    I’m so sorry rafiki yangu Achevi from Zimbabwe.

    Tarehe 8/8/2003 julius Nyerere international Airport terminal 2 saa 8 mchana nampokea rafiki yangu kipenzi James Achevi Chikala cha kwanza nikamuuliza vipi Zimbabwe? Akanijibu hali ni mbaya mafuta bei juu mfumuko wa bei ndio usisema! Nikamwambia Hakuna watu wajinga kama wazimbabwe.. Akanambia...
  8. M

    Masikini kweli sio mtu.

  9. M

    Tumefika hapa kuomba kibali cha kuweka jenereta

    Wanaotaka kuwasha Jenereta watakiwa kuwa na kibali, Sehemu ya kuweka Jenereta inatakiwa kukaguliwa na si vinginevyo. Tanzania daah.
  10. M

    Salaah Mohamed wa GSM kasababisha ajali na kuua watu wawili na polisi kakaa dk 40 tu!

    Jamani pesa tamu sana. Salaah wa Silent Ocean mdogo wake Gharib kagonga na gari watu wawili mitaa ya Viva Tower na wote kufa papo hapo na kakaa polisi dakika 40 tu na akaachiwa huru lakini ingekuwa mwenzangu na mimi ningeozea ndani. Dah! Kweli mwenye pesa sio mwenzio.
  11. M

    TRA mnasababisha biashara iwe ngumu. Mtachomwa moto mbaya sana

    Kwa niaba ya wafanyabiashara wenzangu wa Kariakoo na wote mjue biashara Kariakoo imekuwa sasa ni kama tunawafanyia TRA kipato. Kinachofanyika siku hizi wanashinda kwa transporter wa magari ya mikoani wanakagua risiti kila mzigo, jambo sio baya kukagua lakini kinachouma mzigo lazima wautafutie...
  12. M

    Asante mzee Seleman Msasa 'kitu chuma'

    Leo nimekutana na Mzee Seleman Msasa enzi ya mapambano ya mkoloni walimwita kitu chuma jina alilopewa na Mzee Mtoro ambaye mwenye nyumba kwa sasa ndio umejengwa msikiti wa Bakhresa. Tumeongea mengi sana kati ya yote lililonichoma pale aliponiambia vijana nyie wa kileo mngekuwa miaka ya...
  13. M

    Nikipenda tena nigeuke nguruwe

    Nilimpenda sana mke wangu sababu ya tabia zake na upole wake juu yangu kumbe nilikuwa sijajua yeye ni nyoka. Nimemkuta yuko na maisha ya chini sana nimesaidia yeye na ukoo wake nikasema nimpe mtaji kaanza biashara sasa nyota imemwakia China kila leo. Mungu sio Lemutuz juzi nampigia simu kwenye...
  14. M

    Kutoka Dodoma!!

    Ni kweli akili za wana magamba100 ni sawa na mbuzi 4 !! Mimi binafsi nikimkuta mtu wa magamba kadondokewa na mti nachukua jiwe naliweka juu.. Nipo Dodoma hoteli jamaa wa magamba wanakula bata yani Ma wine jd bia cheep ni Heineken but wabunge wa chadema wapo Sita wanapiga meeting... Aisee kwa...
  15. M

    Wakuu wekeni busara zenu...

    Mwanangu wakike mdogo wa miaka 3 namwambia toka nje nivae. Kanijibu Mbona mama nae mwanamke umwambii toka nje.. Na kila siku ndio swali lake yapata wiki sasa nimjibu nini Wakuu? Busara plz!!
Back
Top Bottom