Search results

  1. M

    Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini

    Mfanyabiashara wa Tanzania Yusuf Manji anashikiliwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa nchi Tanzania Takukuru akikabiliwa na tuhuma tatu, baada ya kurejea nchini Tanzania kutoka nje ya nchi . Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru kamishna wa Polisi Said Hamduni, Manji anashikiliwa toka...
  2. M

    Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

    Kweli maisha funzo Daaah bashiru kajambaa kwenye Maji.
  3. M

    Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    Kipindi kile walikuwa watu wote waliokuwa wanajulikana wauza Unga waliwekewa Unga hakuna muuza Unga kwa kipindi kile anaeweza kuweka Unga ndani tena kwenye mkoba.
  4. M

    Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    Makonda na team yake waliwaekea Madawa ya kulevya kweli nsembo alikuwa anauza Unga na sio shamimu Sema nsembo hakuwa na Unga ndani kawekewa na kina makonda na team yake inauma sana na Mungu atamlipa makonda na uzao wake
  5. M

    Shamimu Mwasha na Abdul Nsembo wahukumiwa kwenda jela maisha baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha Dawa za Kulevya

    Inauma na inachoma shamimu kufungwa maisha na dada wa watu hauzi Unga na aliewaekea Unga ni makonda huyu makonda huyu Mungu atamuonesha kabla hajafa na uzao wake ni Roho mbaya sana.
  6. M

    Dkt. Kikwete: Ninaandika kitabu cha historia yangu ambacho ninaelezea mambo mengi hata yale msiyoyajua!

    Maisha bwana Leo Uzi wa Jk na hatukanwi kipindi cha Nyuma mlikuwa mnatukana tu.
  7. M

    Kuzuiwa kwa mikusanyiko mwisho wa Mwaka: Kilio kwa Waziri Simbachawene

    Wapi nimemtukana mkuu wa Nchi Acha maneno ya uchonganishi
  8. M

    Kuzuiwa kwa mikusanyiko mwisho wa Mwaka: Kilio kwa Waziri Simbachawene

    Mziki Mapambo Advance za Waimbaji Kukodi generator Kukodisha viti Stage Sare za waimbaji wa kanisani Nk
Back
Top Bottom