Search results

  1. K

    Uchumi unakuaje?

    Maisha mitaani ni magumu sana. Vijijini mazao hayauziki. Mengi hayaeleweki. Tufanyeje?
  2. K

    Waliohama CHADEMA ili kuunga mkono juhudi waanza kuomba kurudi

    Kazi kweli kweli kwa hii hamahama
  3. K

    Kutekwa kwa Mo: IGP Sirro aonya wanaopingana na maelezo aliyoyatoa juu ya ulipofikia uchunguzi

    Hii kitu inayoitwa sayansi ya kisasa ni mbaya sana kwani inataka kutuchafulia taifa letu
  4. K

    John Mnyika: Tujipange kwa hujuma za watawala tutakazokutana nazo za kuzuia na kuhujumu zoezi linaloendelea la uchaguzi ndani ya chama

    Hahaha! Eti DJ. Anawafanya mnakosa usingizi. Hamjawahi kulala usingizi wa pono tangu novemba 5,2015. Mna hofu muda wote kama fisi
  5. K

    Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri

    Sasaivi tunafanya kazi kizalendo zaidi.
  6. K

    Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri

    Hali ya hewa itatuumbua huko mbeleni
  7. K

    Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible & mature enough opposition?

    Nadhani haya ni mawazo yako na yanapaswa kuheshimiwa japo taifa linapita ktk wakati mgumu sana tangu lizaliwe
  8. K

    Merry Christmas and Happy, prosperous New Year 2013

    Petroli bei juu, umeme hali kadhalika,kodi za nyumba balaa,mchele na nyama ndo usiseme, makanisani sadaka juu wanataka noti sio sarafu.Mahari/posa nazo hatari, school fees utadhani unanunua shule, nauli ya mabasi nayo balaa.Je hii ndiyo HAPPY NEW YEAR 2013 tunayotakiana au ni HEAVY NEW...
  9. K

    Tanzia: Diwani wa Makuyuni-Monduli (CCM) afariki Dunia

    Katika msiba huu kuna tetesi kuwa mtu huyu hakuwa raia wa tanzania.Utata na uzushi huo ulianza mara tu baada ya kifo chake.Baada ya utata huo ulianza mara iliposemekana kuwa atazikwa Nairobi kwani ndiko wazazi wake wanapoishi.Ghafla tena mchana huu ikatoka taarifa kuwa anazikwa mchana huu...
  10. K

    Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

    Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake.Nina wasiwasi na brain capacity yako.Kikwete anapokuwa anazindua barabara sehemu mbalimbali nchini yeye ni Mhandisi?Huu ni uzuzu wa ajabu.Haihitaji kuwa mhandisi ujue kalvati au mtaro umejengwa chini ya kiwango.Ni akili ya kawaida tu inatosha.
  11. K

    Barua kwa Mhe. Zitto kutoka Mtwara

    Ni jambo la ajabu sana kwa wana JF wengi kuendelea mtu mmoja kama vile bila huyo mtu basi hakuna ukombozi.Tuchukue mfano mzuri wa afrika kusini katika kupigania uhuru wake toka kwa kaburu, kulikuwa na wanafiki wengi na wenye mapenzi ya dhati ya ukombozi ambao damu zao zilimwagika na leo...
  12. K

    CCM imeshindwa kujibu hoja, inasambaza virusi CHADEMA

    KUNA watu wa ajabu sana. Katikati ya mazungumzo mazito juu ya masuala kama ya uchumi, familia, elimu au mwelekeo wa nchi kisiasa, utasikia wanaingiza hoja mfilisi ili kuharibu hoja. Mathalani, wasomi wanaweza wawe wanajadili mchango wa gesi, mafuta au urani katika uchumi wa nchi, utasikia mtu na...
  13. K

    CCM wanajitapa kwa lipi?

    Katika taarifa ya habari ya jana saa mbili usiku katika Star Tv, mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi alijitapa kuwa ifikapo mwakani wataajiri walimu 25000 nchi nzima wa shule za msingi na sekondari.Aliendelea kujitapa kuwa walimu hao watalipwa na serikali ya ccm.Ni lini watumishi wa umma walishawahi...
  14. K

    Who are the beneficiaries of the Tanganyikans land?

    "Tanzania has (a) good land for agriculture, forest products, tourism and mining. But this 'good' land, which directly supports the livelihood of the majority of Tanzanians, can also be a curse with weak governance and investments that do not favor communities. Fortunately, civil society is...
  15. K

    Land Controversies

    "Land has been a hot topic in Tanzania over teh last several... years. Stories of land grabbing, corupt land deals-, non-transparent investments and even displacements have been increasingly in newspaper articles and street-side conversations. In fact, tow former presidents were accused of land...
Back
Top Bottom