Search results

  1. Makbel

    Electrical Engineer anahitajika

    FAABI Electrical Service Provider tunahitaji Electrical Engineer wa kufanya naye kazi kwa makubaliano maalum. Awe amesajiliwa na body ya engineer nchini (ERB) Kwa aliye tayari atupigie kwa namba hii: 0787577755
  2. Makbel

    Nahitaji Pasola Pikipiki

    Mwenye huoni mzigo ambao bado uko katika hali nzuri na hausumbui naomba tutafutane hapa 0787577755. Offer yangu ni 500,000 cash.
  3. Makbel

    Natafuta CI Card (Common Interface card)

    Habari wadau! Nahitaji hiyo Common Interface card kwa ajili ya Tv yangu niweze kutumia smart card za pay Tv via Digital Tv. Kama kuna aliye nayo naomba anicheki hapa 0787577755 au kama kuna anayejua nitaipata wapi kwa Dar es salaam naomba anifahamishe.
  4. Makbel

    Nitawezaje kutumia TV yenye king'amuzi ndani (ALBA)

    Wakuu! Naomba msaada kwa tatizo hili: Nina Tv tajwa hapo juu Ina king'amuzi ndani (DTV) tatizo kubwa nikitafuta Tv ambazo zipo kwenye Digital (Search) huwa zinaingia ila tatizo Siwezi kuziona na Tv inaandika Content Scrambed! Je, nifanye nini niweze kuona hizo Tv pasipo kuingia Gharama ya...
  5. Makbel

    Line ya Tigo pesa inauzwa!

    Line ya tigo pesa inauzwa ipo Dar es salaam. Bei ni 450,000 Haina utapeli na utahakikishiwa baada ya kufanya biashara. Kwa atakayehitaji tuwasiliane hapa: 0787577755 au 0717577755. Karibuni!
  6. Makbel

    Mgomo TANESCO

    Kuna mgomo mkubwa unafukuta ndani ya Tanesco. Wafanyakazi karibu idara zote wamegoma hapa Tanesco Mbezi Na Tanesco Magomeni. Tatizo kuu ni makato yasiyoeleweka ndani ya mishahara yao, mishahara midogo na kukatwa over time zao huku hali ya maisha ikiwa ngumu na wafanyakazi wakitakiwa...
  7. Makbel

    Digital camera (Still picture) Inakodishwa.

    Digital camera still picture inakodishwa kwenye shughuli mbalimbali mfano Harusi, Send off part, mahafali ya kumaliza shule au vyuo inakodishwa katika hizo sherehe kwa atakayehitaji asisite na bei ni nafuu sana. Kwa mawasiliano zaidi nipigie kwenye moja ya namba hizi: 0787577755...
  8. Makbel

    HTC MAGIC ANDROID SYSTEM inauzwa Bei ni Tsh. 70,000 tu haipungui

    SIFA ZA SIMU HIZI HAPA: General 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 900 / 2100 HSDPA 1700 / 2100 - American version SIM Mini-SIM Announced 2009, February Status Available. Released 2009, May Body Dimensions 113 x 55 x 13.7 mm (4.45 x 2.17 x 0.54 in) Weight...
  9. Makbel

    HTC Magic Inauzwa 100,000 maongezi yapo.

    GENERAL 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 900 / 2100 HSDPA 1700 / 2100 - American version SIM Mini-SIM Announced 2009, February Status Available. Released 2009, May BODY Dimensions 113 x 55 x 13.7 mm (4.45 x 2.17 x 0.54 in) Weight 118.5 g (4.16 oz) DISPLAY Type TFT...
  10. Makbel

    Chumba kinapangishwa dar es salaam

    We nakaa unakera Kweli!
  11. Makbel

    Tahadhari kwa wauza simu humu kuna utapeli mpya umeingia

    KUNA WIZI MPYA UMEANZA KUSHIKA KASI HUMU HASA WANUNUAJI WENGI AMBAO NI MATAPELI. Wakuu heshima kwenu wana jukwaa, Kuna wizi mpya wa simu umeingia kwa kasi ya ajabu kuna watu wanachukua namba za simu za muuzaji wa simu kwenye wall au anaomba PM anakupigia na kukwambia anahitaji hiyo simu...
  12. Makbel

    Samsung nexus s inauzwa 160,000 bei haipungui

    SIMU TAJWA HAPO JUU INAUZWA 160,000 NI NZIMA NA INAFANYA KAZI VYEMA. TATIZO NI VOLUME BATANI YA KUPUNGUZIA SAUTI NI NGUMU KUPUNGUZA NA BETRI YAKE HAIKAI NA CHAJI. MAWASILIANO: 0787577755. SPECIFICATION ZAKE HIZI HAPA: General 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA...
  13. Makbel

    Fujitsu Siemens min laptop lifebook inauzwa. 150,000

    Specification: General System Type Notebook Operating System Microsoft Windows XP Professional Processor / Chipset CPU Intel Celeron 2 GHz Cache L2 - 256 KB Front Side Bus 400 MHz Chipset VIA ProSavageDDR P4N266 Memory RAM 256 MB Max RAM Supported 1 GB Technology DDR SDRAM Speed 266 MHz /...
  14. Makbel

    Natafuta chumba cha kupanga!

    Wadau wa jukwaa hili natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Ubungo, Changanyikeni, Makongo juu, Mwenge, Kijitonyama, Mabibo na Kimara. Bajeti yangu inaanzia elfu 40 mpaka 50 kutegemea na ubora wa chumba. Kodi Nitatoa kuanzia miezi 6 mpaka 9. Mwenye nacho anicheki hapa 0787577755 au PM.
  15. Makbel

    Pikipiki Bajaj Boxer BM 150 Inauzwa

    Pikipiki tajwa hapo juu ambayo imetumika miezi 3 tu tokea inunuliwe dukani na hajawai kupata ajali inauzwa. Bei ni. 1,750,000 Ipo Dar es salaam. Mawasiliano kwa atakayehitaji: 0717577755 / 0787577755
  16. Makbel

    Msaada jinsi ya kuupgrade Samsung Nexus S Android system.

    Wadau wa jukwaa hili naomba maelekezo jinsi ya Ku upgrade hiyo simu kutoka 2.3.1 Android kwenda 4.04 na kuendelea kwenye Android. Natanguliza Shukrani!
  17. Makbel

    Fundi umeme anatafutwa (aliesomea hii fani)

    Karibu nami mi ni fundi umeme mwenye uzoefu kwa Mawasiliano tuwasiliane kwa namba hii 0787577755 au tembelea group langu ndani ya Facebook na search Faabi Electrical Installation. Utapata kuona kazi zetu nyingi kwenye group hilo.
  18. Makbel

    Helsb na mwaka wa pili waliokosa mkopo mwaka wa masomo 2012/2013

    Hongereni HELSB kwa kuendelea kutunyima mikopo sisi ambao tuliomba mwaka jana na kutunyima na tumekata rufaa pia rufaa zetu zikatupwa bila kutolewa maelezo. Tumejaribu mwaka huu tukiwa na attach zote kutoka vyuoni lakini cha kusikitisha bado tumekosa hiyo mikopo. Sasa basi hizi lawama za sisi...
  19. Makbel

    Samsung Nexus S Inauzwa!

    Samsung Nexus S inauzwa Bei 230,000. Mawasiliano 0787577755 au 0717577755. Specification zake hizi hapa chini! us S review: Royal droid Read opinions Compare Pictures 360° view Related phones In the news (new) Manual CHECK PRICE WElectronics Popular Electronics Negri Electronics uSwitch (UK)...
  20. Makbel

    Huawei Ascend Y200 unlock inauzwa.

    Simu tajwa hapo kwenye headline inauzwa ni Adroid system na inatumia line zote pasipo kuchagua. Bei ni 120,000 Kwa atakayehitaji piga namba hizi 0787577755 or 0717577755 Bei haishuki!
Back
Top Bottom