Search results

  1. Alexism

    Kwa mwendo huu, sijui kama ATCL itamudu ushindani wa kimataifa wa biashara ya anga

    Mfano..kua nchi hii wapewe wasukuma tu. Au ulivyomchongea ndugu yetu Erick
  2. Alexism

    Mkutano wa SADC: Wanaharakati 48 toka Afrika Kusini, Tanzania na Zimbabwe wahojiwa na Vyombo vya Dola

    Nimekumbuka wakati wa Hitler na Mussolini waliweza kuwajengea wananchi hofu ili waendelee kuaminiwa ....aaah
  3. Alexism

    Dunia nzima inatazama Tanzania, nini Afrika itafanya leo

    Tena SADC awakuwai fanya mkutano kabisa tangu ianzishwe..Ni Tanzania tu imeweza kulipa na kuaandaa mkutano wa kwanza wa SADC
  4. Alexism

    Kongole AirTanzania, mnaimarika katika kuitekeleza ndoto ya Rais Magufuli

    Yes in S.Africa and Morroco we are using Boeing
  5. Alexism

    Utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2015 mkoa wa Kagera...

    Huyu nae si akae kimya tu... Owanyu omukyalo obunaku bungi munno alafu unakuja kupiga porojo apa na kuuza sura.
  6. Alexism

    Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola

    Pole sana...kwani Mayalla anaposema wasukuma in wachapakazi waendelee kuongoza Taifa huo ni utaifa eti. Mwisho Mayalla tumeisha mjua tu ila kitu cha muhimu in kujua kua hakuna atakae dumu milele.
  7. Alexism

    Rais Magufuli: Si wote walikuwa wezi wa mafuta

    Huo uchunguzi umefanyika saa ngapi? Hivi nani anaweza kukiri kua alikua anaiba mafuta ..huku akijua kua ni hatia? Watu weusi mnakwama wapi?
  8. Alexism

    Hizi Tuhuma kwa Waziri Kangi Lugola, zina ukweli?

    Kwani tangu lini Kangi akatengana na rushwa? Mbona ata PCCB wanajua na waliwai kumtia kibindoni ila mwisho yakayeyuka
  9. Alexism

    Majibu kwa Thadei Ole Mushi kuhusu kukosekana kwa Mbowe kwenye mazishi Morogoro

    Ata Mama Samia nae ana dharau maana sijamuona aisee
  10. Alexism

    Huwa ni maigizo? Huyu Rasta ni nani hasa?

    Hii mada yako ipo humu kitambo mkuu
  11. Alexism

    RC Chalamila wa Mbeya atishia kukamata, kupiga, na kudunga sindano za ukichaa, wanaokosoa na kuhoji utendaji wa Serikali

    Watanzania bhana..utawakuta wanasifia ATM kutoa pesa..huku wakisahau kuwa ni pesa zao
  12. Alexism

    RC Mbeya utuombe radhi wana Mbeya

    Kwani si msomi huyo kutoka pale UDSM?
  13. Alexism

    Edo Kumwembe na mhariri Mwananchi muwaombe radhi wakazi wa mkoa wa Mara

    Tatizo la Eddo ni kuongea ukweli huku akisahau kuwa mtu mweusi na ukweli ni vitu tofauti
Back
Top Bottom