Search results

  1. public zungu

    Nahitaji ushauri kwenye TV

    kesho nitakuwa kariakoo kununua TV nataka kujua TV bora ni hipi yenye mfumo was AC na DC
  2. public zungu

    Nauliza udahili kwa vyuo vya ualimu bado?

    naomba website ya kudahili samahan kwa hilo
  3. public zungu

    Nauliza udahili kwa vyuo vya ualimu bado?

    habari za Leo wanajamii naombeni kuuliza kuhusu udahili wa vyuo vya ualimu katka ngazi ya diploma na certificate bado au tiyari?
  4. public zungu

    Sitasahau

    Wapendwa leo kuna tukio la kuhuzunisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Ubungo nikisubiri gari, ghafla nikamuona mama mtu mzima analia kwa sauti kubwa, mda huo huo nilikuwa nimeshika simu yangu nachati na mtu. Ikanibidi nisogee karibu ili nijue ni nini kimemtokea yule mama, kumbe yule...
  5. public zungu

    Hawa ndiyo matapeli maarufu kwenye mitandao ya kijamii.Kuwa nao makini

    Umenunua fixed match unasema umetapeliwa inakuwa vipi wakati umepewa mechi Mkeka umechanik utapeli hajui hupo vipi mbn anaonga pesa kwa demu haji kutangaza km ametapeliwa cwez kununua fixed match hata siku MOJA
  6. public zungu

    Natafuta chuo cha ualimu elimu maalumu

    Nashukuru mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. public zungu

    Natafuta chuo cha ualimu elimu maalumu

    Habari za Leo wanajamii forum? Naomba mwenye kujua chuo cha ualimu kinachotoa cheti cha elimu maalumu tukikiondoa chuo cha pandandi Arusha je kuna chuo kingine? Naomba mwenye kujua unaweza kunipa taarifa kupitia hapa kwa kubonyeza hapa chini Sent using Jamii Forums mobile app
  8. public zungu

    Nimenyonya titi lenye kidonda ila mimi sina kidonda mdomoni naweza kupata UKIMWI?

    Namshukuru Mungu nimepima nipo poaa nimekoma sitaki Ngono uzembe Sent using Jamii Forums mobile app
  9. public zungu

    Nimenyonya titi lenye kidonda ila mimi sina kidonda mdomoni naweza kupata UKIMWI?

    Kumwandaa nilimnyonya ziwa kumbe linakidonda ila nilitumia kinga baada ya kumnyonya nilitema mate mdomoni kwangu cna kidonda nilisukutua na maji kuhakikisha cna kidonda niliweka chumvi mdomon kihakiki
  10. public zungu

    Hatimae leo nimeanza mazoezi

    Unaweza kufanya mazoezi km lishe yako duni utabaki palepale.hepuka vyakula vya wanga na sukari hipo siku utarudisha feedback
  11. public zungu

    Mke wangu kaliwa uroda

    Ni kweli c yakutunga.
  12. public zungu

    Nimenyonya titi lenye kidonda ila mimi sina kidonda mdomoni naweza kupata UKIMWI?

    Ndugu wanajamii juzi kati kuna demi alikuja ghetto, kiukwel nilimnyonyo chuchu zake baada kumaliza tendo la ndoa nilishangaa kuona kidonda tetesi za kitaa demu ni mwathirika je naweza kupata ukimwi
  13. public zungu

    Nani anajua kudai ukweni? Mama mkwe wangu anataka nimkopeshe pesa

    Habari za leo wanaJamiiForums? Mama Mkwe wangu anaomba nimkopeshe laki tano kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yake. Samahani sana mwenye ujuzi wa kudai ukweni anipe njinsi ya kudai ukweni kabla sijakopesha.
  14. public zungu

    Mwanaume kukosa pesa kunafanya unyanyasike kwenye mahusiano?

    [emoji113]Kuna baadhi ya wanaume wananyanyasika kwenye mahusiano, Upendo wanao mwingi ila pesa inafanya washindwe kujivunia upendo walio nao. Ni dhairi kizazi cha sasa wanawake wengi wanapenda pesa kwenye mahusiano, kabla ya kuangalia upendo. [emoji117]Najua kuna vijana wanaupendo wa dhati...
  15. public zungu

    Kuna utofauti mkubwa kati ya Facebook na jamii forum

    Uandsh wa smartphone ttzo unaweza kuandik kama ghafla linakuj kum*
  16. public zungu

    CHEKI MASTAA WA BONGO WANAVYOCHAT KWA GROUP LAO..[emoji23][emoji23] .

    CHEKI MASTAA WA BONGO WANAVYOCHAT KWA GROUP LAO..[emoji23][emoji23] . . lulu: hello guys morn amber lulu: typing... Diamond:mambo vip lulu Zari:typing... Lulu:[emoji15][emoji15][emoji15][emoji2912] Zari:baba tiffah uko wap saivi Diamond:nipo studio huku Harmonize:[emoji23][emoji23] Shem nipo...
  17. public zungu

    Kuna utofauti mkubwa kati ya Facebook na jamii forum

    Habari wana jamii forum.? Mimi sina mwezi kujiunga jamii forum ila kwenye Facebook nina miaka mitano kutumia mtandao wa FB ila kuna utofauti mkubwa jamii forum hipo juu kuliko FB ukiwa na tatizo lako lete jamii forum na nilichogundua watumiaje wengi wa FB ni mataira,wendawazimu.unajua huwezi...
  18. public zungu

    Mke wangu kaliwa uroda

    [emoji102][emoji102][emoji102][emoji102][emoji872][emoji172][emoji378]
  19. public zungu

    Mke wangu kaliwa uroda

    Alama za uandishi tatizo smart phone inazingua
Back
Top Bottom