Search results

  1. 2

    Mchumba Mwema namtafuta jamani

    Kwanza kabisa natanguliza shukrani kwa jf nzima kwa namna inavyosaidia kubadilisha maisha yetu, jf ilinisaidia kupata kazi enzi hizo nimemaliza chuo kikuu. Baada ya shukrani naomba mdada mzuri anayeishi Dar ambaye yupo tayari kufanya maisha na mimi awasiliane na mimi kupitia 0654 531 647. Sina...
  2. 2

    kwa mwanamke mwenye sifa, ajitokeze nimchukue

    Mimi ni kijana wa miaka 28 sasa, Nina elimu safi ya chuo kikuu kutoka moja ya vyuo maarufu hapa nchini. Kwa sasa nafanya kazi katika taasisi moja ya kimataifa (USA based organization). Nishakuwa na mahusiano na wanawake kadhaa huko nyuma ila mahusiano mengi yalivunjika kwa kuwa nilikuwa sana...
  3. 2

    Mwenye majibu haya juu ya CHADEMA na KATIBA MCHAKATO WA KATIBA MPYA ANIJULISHE

    Mimi kwa sasa sielewi, hawa chadema wamejitoa au hawajajitoa? km hawajajitoa ni ugumu gani wanaoupata wa kutueleza wananchi ni nn haswa ni hatima yao juu ya huu mchakato? tumesikia jana warioba anaendelea kuunda mabaraza na wao wapo kimya. Hiyo kamati kuu tuliyoambiwa itakaa hatuisikii inakaa...
  4. 2

    Matokeo yaliyofutwa sasa kuzuiliwa Mahakamani

    Habari ambazo ni tetesi zinasema kwamba umoja wa mashirika yasiyo ya kiserikali yakishirikiana baadhi ya wanasheria nguli hapa nchini wapo katika hatua za mwisho kuandaa kuweka court order itakayozuia utekelezeji wa kauli ya serikali ya kufuta matokeo mpaka hapo kesi ya msingi itakapoamuliwa na...
  5. 2

    CNN Waiomba Kenya Msamaha Baada ya Kuonesha Clip ya Uongo ya Wakenya Wakijindaa kwa Vita Siku ya Uch

    The foreign reporters came to Kenya to cover the General Elections and are expecting violence like 2007/2008 but Kenyans have maintained peace throughout the electioneering period. Yesterday, CNN which has sent numerous reporters posted a story about Kenyans preparing for violence somewhere in...
  6. 2

    Tundu lissu: Video ya hotuba ya katiba na sheria 2012/2013

    Jamani mwenye video hii aliyeirekodi wakati inasomwa, naomba anipe link, wale majaji nina hamu sana ya kuwasikiliza walivyochanwa
  7. 2

    Tundu Lissu: Video ya hotuba ya katiba na sheria 2012/2013

    Wadau hotuba hii ilikuwa nzito sana na imeacha impact kubwa sana na mjadala mpana kwa mambo mbalimbali, please km kuna mtu ana video yote namuomba aniwekee hapa ili niwe naisikiliza kila siku. asanteni sana
  8. 2

    Maandamano makubwa ya kumpokea king dk.steven ulimboka jangwani

    Wadau Siku ambayo Ulimboka atarudi tz tukampokee kwa wingi airport na tumbebe hadi jangwani aweze kutusimulia kisa kizima, Hatutaki polisi waseme hadi tuwe na kibali kwa kuwa ni watu wengi wamekuwa wanapokelewa airport bila kibali, mfano Juzi tu prof Lipumba kapokelewa airport hadi manzese, si...
  9. 2

    Mnyika, Nape, Mtatiro na Mvungi wanapambana ITV ktk kipima Joto

    km kichwa cha habari kinavyojieleza mvungi ndo kaanza kuchambua hapa
  10. 2

    Aptitude test ya NSSF kesho (31/12/2011) yavuja na kusambaa mitaani:

    Ndugu zangu na masikini wenzangu ambao hatuna mtu tunayemjua katika kipindi hiki kigumu cha kupata kazi ili atusaidie kupata kazi tuna wakati mgumu sana wa kufanikiwa. Mimi ni mmoja ya watu walioiywa kwenye aptitude test kesho IFM lakini nimesikitishwa sana nilipopata taarifa kuwa test hiyo...
  11. 2

    CHADEMA kumtema mbunge wa NCCR (Mkosamali)

    Itakuwa busara cdm wakikataa kumpokea huyu kijana kwa lengo la kumsimamisha kuwa kugombea ubunge labda awe mwanachama wa kawaidi kwa sababu zifuatazo: 1. Mkosamali ana uwezo wa kawaida sana kiasi kwamba atawasumbua wakati wa kumnadi labda angekuwa na uwezo km wa kafulila angefikiriwa...
  12. 2

    Zitto Kabwe kuukosa Urais wa Tanzania

    Wana JF Huyu kamanda wetu amekuwa na tamaa sana za kuwa rais hata kabla ya umri kiasi cha yeye kutengeza makundi ndani ya chama. Watu km hawa wanaoacha kutulia na wenzao na kuwaza madaraka tena makubwa mara nyingi hawaupati. Amwangalie Lowasa toka aanze kuutafuta hadi leo bado na...
  13. 2

    Bibi kama huyu anaweza kuipigia CHADEMA kura, kama asipoelimishwa vyakutosha?

    Bibi km huyu jamani kuna uwezekano akaipigia chadema kura? sidhani km hata sera kasikiliza zaidi ya kujua magamba ndo chama.
  14. 2

    Mamlaka ya kusimamia bima na maafa ya zanzibar

    Wadau, Ni wakati watanzania kwa ujumla tujiulize ni nini majukumu ya mamlaka ya bima Tanzania (Tanzania insuarance regulatory authority) inapaswa kuyafanya juu ya maafa mazito yaliyowakumba wazanzibar. Kisheria kila meli lazima iwe na marine insurance ambayo inawa-cover kila mtu aliyejeruhiwa...
  15. 2

    Marando na watuhumiwa wa ufisadi

    Wana JF Kwanza na-declare interest mm ni mfuasi na mwanachama wa CHADEMA, Hili swala la Marando kuwa wakili wa baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi km vile manji na mahalu litakuja kuwa na madhara makubwa sana hapo badae ktk harakati za chama za kuchua dola natambua kabisa ile ni professional yake...
  16. 2

    Wajumbe wa kamati wa kamati kuu ya CHADEMA

    Wadau, Nimekuwa na hamu na shauku kwa muda mrefu kuwafahamu kwa majina na ikiwezekana kwa nyadhifa zao wajumbe wote wa kamati kuu ya CHADEMA, wachache ninaowafahamu ni Mtei, Bob makani, mbowe, zitto,kitila,marando,baregu,safari. Naomba mnitajie wengine
  17. 2

    Kauli hii ya spika Anna Makinda Inashangaza

    Wadau wakati wa kipindi cha bunge cha leo Letcia Nyerere alitaka Mkulo ataje makampuni yaliyopata pesa za stimulus package, Kilichonishangaza ni pale spika aliposema "Wizara mmeniangusha kwa kuwa mlipewa miezi miwili", Najiuliza kwani yeye ni sehemu ya serikali? au hajijui kuwa yeye ni...
  18. 2

    NCCR Wajitoa jimbo la Igunga

    Wadau, CUF leo wamemtangaza mgombea ubunge wao wa jimbo la Igunga, cha kushangaza leo leo NCCR nao wanajitokeza na kusema wao wataunga mkono mgombea wa upinzani atakayesimamishwa, Najiuliza hapa hakuna mchezo mchafu wanaoupanga dhidi ya chama cha kweli cha ukombozi wa Tanzania (cdm) ili badae...
Back
Top Bottom