Search results

  1. M

    Familia Yako Ina Matatizo?

    yaani mi hata sijaelewa uhusiano huo.
  2. M

    Top ten wonderful names from Tanzania

    WAMPUMBULYA GYUNDA Form 1 2002 Kibiti sec WANZALILYA DAUDI Form 1 2002 Kibiti sec KICHOHE NKANABO Muhitimu form four 2004 Kibiti sec NDUHILUBUSA MAPIGANO Muhitimu form four 2004 Kibiti sec
  3. M

    Basi lagongana na lori, laua watu (Ngogwa wilayani Kahama)

    Nimeenda eneo la tukio , panaitwa Ngongwa km15 kutoka kahama mjini kuelekea Rwanda-Burundi-Ngara-Bukoba. Basi limegongana na sem, Kulingana na habari za mashuhuda basi lilikuwa linatoka Dara kwenda Bukoba. Lililala Kahama mjini na saa 12:00 lilitoka kahama kuendelea na safari. Hapo ngongwa...
  4. M

    Baada ya kunyimwa msosi msibani...

    wengi wangewaza kulipiza kisasi lakini kosa lake ni kutamka mawazo yake
  5. M

    Madhara ya kutafuna mchele mbichi/udongo

    Sina ujauzito lakini nina mazoea ya kutafuna mchele mbichi kwa saana.Naomba kujulishwa chanzo/sababu,madhara na tiba ya hili.
  6. M

    Madhara ya kutafuna mchele mbichi/udongo

    Sina ujauzito l;akini nimekuwa na mazoea ya kutafuna sana mchekle mbichi.Nini sababu,madhara na matibabu yake?
  7. M

    Madhara ya kutafuna mchele mbichi/udongo

    Nina tatizo moja kubwa wadau.Mimi sio mjamzito lakini huwa natafuna sana mchele mbichi nimeshajaribu kuacha lakini nashindwa kabisa. Naomba ufafanuzi wa sababu,madhara na tiba ya tatizo hili.Asanteni
  8. M

    Ondoa shaka hakuna ugumu wowote wa kwenda kusoma united kingdom

    Duuh!!kama siyo mgeni basi una dhamira mbaya
  9. M

    Je Wanafunzi huyu aliona kitu gani?

    Nilikosea njia,naenda bungeni...........
  10. M

    Enzi ulipokuwa boarding

    Siku ya mtihani wadarasa la saba, form njuka wanakatwa mikia ili kutoka kwenye hali ya viluwuluwi na kuwa vyura kamili. Yaani form njuka watukutu walichezea kichapo balaa na uongozi wa shule uliruhusu. WALIOSOMA KIBITI SEC WANAELEWA HIYO.
  11. M

    Kila siku wachaga tu, leo sema chochote kuhusu wapare

    Wako juu kwa kweli, I can't mention
  12. M

    Senene wasababisha maafa Karagwe

    Senene ni wadudu jamii ya panzi ambao ni chakula kitamu na cha heshima ambacho hutumiwa na watu wa Ukanda wa ziwa victoria hasa mkoa wa Kagera. Wadudu hao huvunwa wakati wa msimu wa mvua hasa mwishoni mwa mwaka.Katika purukushani za mavuno ya wadudu hao mtu mmoja inasemekana amefariki dunia...
  13. M

    UDSM na taratibu zake mpya

    hata ukikutwa unasex bylaw inasema udisco, siyo GPA tu au ni wewe unayedisco kila chuo na kuhamia kwingine
  14. M

    Naogopa kuitwa M'MBEA

    Fanya yakupasayo
  15. M

    Mke wa tajiri yangu ananitaka kimapenzi

    umeanza endelea, ptamu ni pafupi
Back
Top Bottom