Search results

  1. A

    TV4Sale Hisense smart TV inch 55

    Caveat emptor
  2. A

    INAUZWA Classic Perfumes Available

    nahitaji hizo ulizo nazo please direct/ or delivery
  3. A

    Mwenye uelewa na biashara ya shisha atupe muongozo

    Chupa moja (mtambo) unauzwa 150,000 inputs zinauzwa 3000 ww unauza 20,000 mpaka 25,000 so faida ni kuanzia 17,000 mpaka 22000 kwa muuzo mmoja
  4. A

    INAUZWA Classic Perfumes Available

    Naomba bei ya hizi zifuatazo 1.Sauvage 2,Coco Channel 3.Issey Miyake ya zamani chupa nyeupe kubwa 4. Scandal
  5. A

    Kunguru wa Dar es Salaam

    Ni kweli,kama sasa hivi wamefika Pwani na Morogoro,na wakiingia tu wale kunguru native wenye alama nyeupe kifuani wanawakimbia maana pamoja na wao kuwa na umbo kubwa hawa weusi wanashambulia mayai na makinda yao. Ni tatizo sana
  6. A

    Kunguru wa Dar es Salaam

    Wapi huko?
  7. A

    Kunguru wa Dar es Salaam

    Salaam wakuu, hawa kunguru Dar wamekuwa sio tishio kwa viumbe wengine kama ndege n.k kwa kula mayai na vifaranga vyao, lakini pia wanasumbua binadamu kwa kelele, uchafu, kula mifugo yao kama vifaranga vya kuku, watu wa mazingira, ecosystem mko wapi jamani? Binafsi nimejaribu kila sumu hawafi...
  8. A

    Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

    Mtoa mada I'm sorry to say lkn ww ni mtu unayeweza kuwazarau hata wazazi wako na kuwatamani wa jirani au wazungu,just in your own profession jilinganishe na wa US be you a politician,lawyer,banker etc. We in UN,Africa,EAC are very proud of TPDF,never failed,since Liberation...
  9. A

    Neti original za Tent kwaajili ya kujikinga mbu

    Hiyo ndiyo bongo mkuu,usikate tamaa net nzuri sana,wateja wapo
  10. A

    Marekani: Tume ya Biashara yaitaka Facebook iuze WhatsApp na Instagram

    Faida ni kubwa sana,wanauza taarifa kwa makampuni makubwa,vyombo vya usalama,wanasiasa nk
  11. A

    Natafuta ule mkaa mbadala

    Rugiga 0676303277
  12. A

    Wapi nitapata kichuri kwa hapa Dar.

    Nenda Makuti garden opposite na Lugalo Hospital . Hutojutia mda/uamuzi wako
  13. A

    Trump, Kim wakutana eneo la “Demilitarized Zone” ana kwa ana!

    Blue houses for blue helmets at the DMZ
  14. A

    Nani Mtanzania gani ana followers Instagram zaidi hawa?

    Jaribu kumcheki JK Nafikikiri ndio anaongoza in tz
  15. A

    US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?

    Asante mkuu . Sijabarikiwa kuwa na elimu walau ya kiasi ulichotaja ili nimetoa mawazo yangu binafsi juu ya kile nachokiamini
Back
Top Bottom