Search results

  1. P

    Lady Jay Dee, mwanadada komandoo alazwa Paris Ufaransa

    Achani ukuda, amlali mnachonga tu.hana mtoto hana mtoto leo anataka kujifungua mnachonga tena du binadamu kaz
  2. P

    Kama unataka kufanikiwa,ni lazima uwe mvumilivu

    I appreciate dat ndugu zangu, masix
  3. P

    Dr. Mwakyembe: Nikirudi nitamwaga yote kwa watanzania nimechoka sasa....

    Malipo ni hapahapa dunia km alimuonea aliyemfanyia hivyo bac atalipwa nae humu humu dunia, lakn kma alimuonea mnae mhisi kamfanyia, thus imekula kwa Dr mwakimbie anajiita mpinga ufisadi ingali yeye mfuasi wa chama fisad, hawezekani. Km kwel yeye mpinzani asi2mikie serikal corrupt km hii, mawazo 2.
  4. P

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    So sore africa, jaman wazungu wametutawa na kudetermine our life african's
  5. P

    Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Kwel! kwel ! Hii balaa,niko neutral, jaman jaman hii nchi haiko maususi kwa kuangalia uhai wa wa2, huu ndo miongon mwa udhaifu wa nchi hii tangu enzi za mwal, 2fikiri tu ni wa2 wangap viongozi au wa2 bak wameshakufa katika mazingira ya utata lakn hakuna wa2 walioandibishwa, kwa hy 2sishangae...
  6. P

    Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

    Kwan nyerere ni nan? Akimkataa m2 inakuwa ndio msimamo wa kumjudge m2. Acheni fikra za kizamani, lowassa ndio anastahili kupewa nchi hii , mpeni mchawi amlee mtoto km ajamkuza,huu msemo tafakari. Acheni upinzani wa kihehere, ccm hakuna anaweza kuwa rais wa ukwel km e l over
  7. P

    Wanaume woooote ni ...........mdada usimwache laazizi wako kwa hili

    Cjui, kwa kwel research inatakiwa,2siconclude eti pesa, uhandasome inaweza kuwa determinant ya wa2 kucheat kimapenzi, hongera maryina kwa kugundua tatizo, wale researcher 2fanyeni kaz mana hivi vi2 vinatukocost wote km jamii,
  8. P

    Makatazo yangu na usia wangu juu ya kuchanganya vyakula

    Du nimepata ki2 mwanangu, wacha mavuvuzela walete ubishi
  9. P

    Imeniuma sana na imenickitisha sana...

    Watu weningine wanaboa, we mzee kuwa mwanangu
  10. P

    Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

    Unajua nini mwombe mungu mwanangu ndo mpango mzima alafu fanya urafiki na wasichana wengi esp wale unao wataka ili uweze kusort, hela ndo kila kitu mzee make more frind 2mia hela jaman.
  11. P

    Agh!Vijana wasiku hizi mbona siyo wasitaarabu??

    But am stil dauting, kwani before colonial era hatukuwa na nguo wafrika lakn haikuwa shida? Vp huo ndo umagharibi wenyewe kama wazungu wame2tawala hadi kiakili na kiutamaduni, african we don have destination, wacha watu watembee uchi, ck 2kiona tatizo 2takaa meza moja 2ambiane
  12. P

    jamaniii nitapataje mzungu?

    Aise noma, njoo mie nami na mchiz wangu muitaly anatafut demu wa kibongo ila uwe tayari kuishi sudan ya kusin. Sema ukoje nikuunganishe nae
  13. P

    Shule za Kata Banaa!!!

    Noma nilikuwa field pande za misungwi kuna shule ya kata inaitwa mawe matatu kwa naibu wazr fulan watoto wanaenda more 20km per hataelewa kiingereza wajaman?
  14. P

    THE TOP 40 REASONS TO DOUBT THE OFFICIAL STORY OF SEPTEMBER 11th, 2001

    Jaman kweli dunia ina mambo ndugu zangu, hv ni kweli after 1 century usa wanatoa documentary kile walichofanya?
  15. P

    hivi ni kweli?

    Mtazamo tu, wote 2napotezeana muda sema wenyewe wanajiona wana option nyingi ndo mana
  16. P

    Nape: Magamba kuvuliwa baada ya uchaguzi wa Igunga

    Me nataka nape aendelee kumvua gamba na El hata lifikie shingoni kama anaweza mana la chenge limeishia kiunoni na bahati yake kupata mkoa mpya simiyu
  17. P

    CTV: Mdahalo wa wagombea Ubunge Igunga

    Ccm hawana hoja jazba tu.kizazi kinacho kuja z even worse hakitasikiliza uchwara na ngonjera za gamba inayoimbwa na ccm na kwa master wao nape na chiligati hawa lazima siasa iwa costi
  18. P

    Zambia Elections: Opposition (SATA) wins Presidential race!!!

    Kuna wanaoamin ccm itatawala milele old wenu, wezi, wasiofanya kazi chadema ikishika nch 2nawalamba mikono
Back
Top Bottom