Search results

  1. ntagunga

    Wachaga endekezeni speed barabarani, mtakwisha!

    Nina ushawishi wa kusaidia mtu kupata leseni lakini hadi sasa sijasaidia ndugu yangu hata mmoja. Akinifuata namwelekeza chuo cha udereva, aanze na leaner. Wameniita mjerumani kwa kuwaelekeza usahihi wa mambo, wala hata sijali. Maana hata mimi sikujifunzia mtaani, nimesomea chuo mwezi mzima
  2. ntagunga

    Wachaga endekezeni speed barabarani, mtakwisha!

    Drive safely. 80kph unafika uendako raha mstarehe kabisa. Hakuna sababu ya kutembea 120-160/170, unawahi nini nyumbani? Magari yetu yamekuwa makaburi yetu, kisa nilitumia saa chache sana kufika home
  3. ntagunga

    Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

    Nilikuwa na tani moja ya chakula, mchele ambao nimekula tangu june 2020 hadi sasa sijamaliza. Njoo nikupe kilo 100 zikufae wakati wa njaa huko kibera
  4. ntagunga

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mentor Inawezekana kabisa. Hujawaza, hamjuani, lkn mnaishia kufanya dhambi bila kutarajia kabisa
  5. ntagunga

    Funzo Uganda: Waziri aua mpinzani aliyemzidi kete

    Mtoe magufuri kwenye ujinga huu
  6. ntagunga

    Waziri wa Uganda apigwa risasi na watu wasiojulikana karibu na nyumba yake

    Ngoja waoneshane makali. Sasa Generali mzima anapigwa risasi na waendesha pikipiki na wanaondoka? Huku Tanzania generali wa jeshi ana ulinzi wakati wote
  7. ntagunga

    Kwanini Wakenya wana chuki sana dhidi ya Tanzania?

    Hiyo ni SGR mzee, siyo daraja la kuvusha watu, mikokoteni, baiskeli, pikipiki na magari
  8. ntagunga

    Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Ha ha ha tutawarudisha au tuwapandishie kodi
  9. ntagunga

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Veterans fc ya bunju
  10. ntagunga

    Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Mkuu, kwa kuwa kenya inazuia watanzania kuingia kenya, soon tutafuta working permit za nyang'au waliopo nchini mwetu. Huyo babu lzm tumrejeshe Kenya, Kahata tutamfikiria
  11. ntagunga

    Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Mkuu nitake radhi. Yaani mie wa kunipa uraia wa nchi yenye corona? Niombe radhi. Kuhusu mwaliko, mie mwananchi siwezi kuja kuona shoo ya watu wanasubiri pension. Unadhani kwa nini mmealika Vital O no 6 badala ya Mesenger Ngozi no 1 au hata Musongati no 2? Mnataka kuficha aibu ya wazee wenu
  12. ntagunga

    Kenya jaribuni kufanya hivi kama hamja-run banana

    Kenya mna bajeti za ajabu duniani. Unalenga jutumia bilion 26, lakini uhalisia unatumia bilion 10, 16bil zinaliwa na majizi ya kenya wazee wa pen moja kununuliwa ksh 500
  13. ntagunga

    Kenya jaribuni kufanya hivi kama hamja-run banana

    Na uhuru ndicho anachotaka
  14. ntagunga

    Kenya jaribuni kufanya hivi kama hamja-run banana

    Lini mmeacha kufa kwa njaa?
  15. ntagunga

    Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Sisi hatuhangaiki na mataifa ya kijinga.
  16. ntagunga

    Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Enhee? Warudishwe na hawa wa eng medium, tuwasake
  17. ntagunga

    Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Inamaana Kenya ni Tanzania na Tanzania ni Kenya. Hatuna mipaka ha ha ha
Back
Top Bottom