Search results

  1. D

    Hivi kwanini usikivu wa radio za fm (zile za mwanzo km radio one,radio free) usikivu uko tofauti na radio zilizoanzishwa hivi karibuni?

    Habari wadau,naomba kujuzwa radio za mwanzo za FM usikivu na nguvu ni kubwa tofauti na ziliozoanzishwa hivi karibuni,je mitambo iko tofauti au sababu ni nini?
  2. D

    Mkataba wowote ukiwa na dosari kusheria je ni halali?

    Habari wadau,kumekuwepo taarifa kua mkataba wa kisheria ukiwa na dosari unakosa uhalali wengine wanadai unaweza kua na dosari lakini bado uko sahihi je hili likoje?
  3. D

    Kwanini kuwepo na visimbuzi vya antena na dish huku lengo lake ni lile lile?

    Habari wadau, naomba kujuzwa kwanini kumekuwepo na mfumo wa aina mbili kupata matangazo ya runinga yaani dish na antenna lengo lake ni nini ikiwa matangazo ni yale yale? Na gharama zikoje kuendesha hiyo mifumo kwenye kampuni husika?
  4. D

    Swali hivi mwenye chanel na mmiliki wa visimbuzi nani humlipa mwenzake?

    Habari wadau,kuna swali linanisumbua hivi mfano wasafi tv wao huwalipa azam au azam anawalipa wasafi tv? Msaada tafadhari nijue hilo
  5. D

    Gharama za matangazo kwenye radio na Tv zikoje?

    Habari wadau naomba nijue gharama za matangazo ya radio na Tv mfano dk 30 au mubashara gharama zikoje? Ufafanuzi tafadhari wadau.
  6. D

    Jubilee ni chama cha siasa au muungano wa vyama?

    Habari ndugu zangu, nawaomba ndugu zangu naomba wakenya mnisaidie hivi jubilee ni chama kimoja au muungano? Na mfumo wa viongozi ukoje au taasisi zake zikoje hasa kimuundo? Karibu wadau
  7. D

    Sheria 17 za soka anaejua tafadhari

    Hanari wadau wa soka,naomba anaejua sheria 17 za soka atililike hapa kwani nahitaji nizijue sheria hizo,nitashukuru wadau karibuni. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    Nilisikia kuwa katiba ya UK haijaandikwa. Je, wananchi wanaifuata vipi? Je, na USA katiba yao ikoje?

    Habari wadau, Naomba wataalamu wa sheria mnisaidie nina dukuduku la kufahamu katiba za nchi mbili hizo kwani nilisikia vingi mfano eti UK katiba haijaandikwa nilishangaa mno. karibuni wadau Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    Ni kosa gani linakufanya usigombee nafasi ya kisiasa, Urais, Ubunge na Udiwani?

    Habari wadau, Mwaka huu 2020 ni mwaka wa uchaguzi, niliwahi sikia kua kama ulifungwa miezi zaidi ya sita huna sifa ya kugombea jee iwe jinai au madai adhabu hiyo? Wadau nisaidieni jambo hili Sent using Jamii Forums mobile app
  10. D

    Marudio uchaguzi Malawi kipi kinaendelea huko?

    Habari hivi karibuni Mahakama ilitengua matokeo ya uchaguzi huko Malawi, sijajua nini kinaendelea huko kwani kimya mno, anayejua alete habari za huko natamani nifahamu. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    Nchi ya Togo nani anaijua kiundani historia yake?

    Habari za leo, jana au leo nimesikia kuwa nchi ya Togo ina uchaguzi,sasa nimeshangazwa kuwa baba wa rais wa sasa alikuwa Rais kwa kipindi kirefu si chini ya miaka 24, je huyu wa sasa yuko kwa muda? Je hiyo nchi katiba yao ikoje na maendeleo yao kwa ujumla yakoje huko? Karibu wadau mjazie nyama...
  12. D

    Simu kuwa nzito kutuma SMS, tatizo nini?

    Kuna simu inakuwa nzito kutuma shida nini? Msaada tafadhali, simu ni Tecno W3. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    Je, Dekoda (kisimbuzi) pekee bila dish cha azam kinauzwa Tsh ngapi?

    Habari waungwana,hivi dekoda ya azam tsh ngapi pekee? Dish ninalo la zuku,tafadhari Sent using Jamii Forums mobile app
  14. D

    Kijiji/mtaa kikitaka kutengeneza barabara je wananchi wanatakiwa kulipwa sehemu ya eneo litakalotumika?

    Habari wadau,imekuwepo zogo hapa nilipo kijiji kinataka kutengeneza barabara jee wananchi wana waki walipwe au iweje kwa mujibu wa sheria? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. D

    Anayeijua Cameroon vizuri anijuze, nasikia Rais wao amedumu muda mrefu. Je, wana maendeleo makubwa?

    Habari wadau, kuna sehemu nilisoma kuwa Rais wa Cameroon amedumu kwa muda mrefu, nchi hiyo maendeleo yakoje hasa? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. D

    Dawa gani unaweza kutumia shambani baada ya kupanda mpunga ili kuzuia magugu

    Habari wadau, dawa ipi nzuri ya kuzuia magugu unaweza piga baada ya kupanda mpunga siku chache? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. D

    Nani anaipata TV1 hewani? Na kwa kisimbuzi gani?

    Habari wadau,hii luninga imeanza sio miaka mingi hapa nchini kurusha matangazo jee kwa sasa inapatikana kwenye kisimbuzi gani? Napenda sana uchambuzi wa michezo na mechi walizokua wakionyesha, wenye kujua hili karibuni. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. D

    Mchambuzi gani wa soka unamkubali hapa Tanzania?

    Habari wadau, kumekuwepo wimbi la wachambuzi wa mpira hasa wa miguu hapa nchini. Je wewe yupi unamkubali, na kwa vigezo gani? Ainisha hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. D

    Ipi radio nzuri kati ya BBC Swahili, DW Swahili, VOA Swahili?

    Ipi radio kati ya hizo inakuvutia utangazaji wake? Sent using Jamii Forums mobile app
  20. D

    Katiba za marekani(USA)uingeleza(UK) zilitungwa lini?

    Habari wadau,mala nyingi hua napenda kufahamu katiba za nchi mbambali sasa hizi nchi kubwa historia yake zisifahamu zilitungwa lini? Wenye uelewa karibuni mnielimishe suala hili karibuni... Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom