Search results

  1. P

    Tofauti kati ya Bsc(hons) na Bsc

    Ili upate honor GPA, inategemea conditions mbili, Kwanza kama GPA yako ni kuanzia upper second kupanda uli imantain, au bila supplementary. Pili ni GPA kupanda kila mwaka(haijalishi ulipata sup au hukupata). N.B unaweza kuwa na first class ila usipate honor.
  2. P

    Msaada: Tofauti ya Bsc. In Chemistry- UDSM na Bsc. In Chemistry- MUCE.

    Dah! nimefuatilia nimekuta ipo kweli, nadhani wameianzisha mwaka huu MUCE nahisi UDSM watakuwa wameipeleka pia kule, lakini sijajuh lengo lao la kuipeleka Kule kwa sababu kile ni chuo cha walimu, na Bsc in chemistry hawezi kuwa mwalimu!
  3. P

    Msaada kuhusu mtiririko wa elimu ya kitanzania kuanzia shule ya msingi hadi profesor

    Mara nyingi wanatokea kwny academic institutions na mtiririko wake unakuwa hv Tutorial assistant Assistant lecturer Research fellow Lecturer Senior lecturer Associate professor Professor Lakini mpaka kufikia hapa lazma uwe umepitia hatua zote alizoainisha jamaa hapo juu, vilevile ni cheo tu cha...
  4. P

    Kwa Continous au Graduate wa Bsc. In Chemistry

    Objective ni kuproduce chemists ambao watafit in different chemistry related fields available Hii course ina specialize ktk hz sehemu analytical chemistry,medicinal chemistry, industrial chemistry, quality control and quality assurance, waste& environmental management e.t.c Mara nyingi...
  5. P

    Msaada: Tofauti ya Bsc. In Chemistry- UDSM na Bsc. In Chemistry- MUCE.

    Hawana, wana bed science tu, nahisi mleta mada hajuh tofauti ya hizo course mbili.
  6. P

    Msaada: Tofauti ya Bsc. In Chemistry- UDSM na Bsc. In Chemistry- MUCE.

    I mean ni muce (MKWAWA) ,udsm main compus na UDOM wanatoa hyo Bsc of education in chemistry[emoji115]
  7. P

    Msaada: Tofauti ya Bsc. In Chemistry- UDSM na Bsc. In Chemistry- MUCE.

    Hiyo ya MUCE ni Bsc of education in chemistry na inatolewa pia UDSM main compus na MKWAWA, Bsc in chemistry Tanzania inatolewa na vyuo viwili tu , UDOM na UDSM na hizo ni course mbili tofauti kabsa.
  8. P

    Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

    josee88, Ni kwamba UDOM wanakuja kwa kasi sana ndiyo maana hivi vyuo vya zamani vinakipiga sana vita. Na kwa sasa product zao zimeanza kuingia kwenye soko la ajira kwa kasi. Nb: Ushabiki wa vyuo katika elimu hauna tija yeyote
  9. P

    SUA THE BEST EVER

    Kama na wewe ni mwanafunzi wa SUA na una andika hivi basi tutegemee wasomi mabomu Tz.
  10. P

    Aliahirisha mwaka wa masomo lakini ameenda chuo na kukuta ana SUPP za kutosha

    Ubinafsi huo ndo utakaowaondoa ktk soko waspo hachana na hiyo fikra
  11. P

    Aliahirisha mwaka wa masomo lakini ameenda chuo na kukuta ana SUPP za kutosha

    Sasa ww badala ya kumshauri mdogo wako akaze butu unaleta majungu jf.ulitaka abebwe ili baadae muanze kukihujumu chuo.hyo michezo ishakwisha mwambie asome majungu ya humu ayatakusaidie ww na mdogo wako.Asome asisingizie chuo.
  12. P

    Aliahirisha mwaka wa masomo lakini ameenda chuo na kukuta ana SUPP za kutosha

    Ndoo maana nimesema chuo ndo kwanza knasimama imara kna miaka 10 tu mnataka mkifananishe na usdm
Back
Top Bottom