Search results

  1. W

    Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amwagiza Afisa Madini Mkoa wa Tabora kuanzisha Kituo cha Ununuzi wa Madini

    Katika Wilaya ya Igunga ili kurahisisha biashara ya Madini katika Wilaya hiyo inayoongoza kwa uzalishaji wa madini mkoani Tabora. Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Tabora inabainisha kuwa, Wilaya ya Igunga ndiyo inayoongoza katika uzalishaji wa dhahabu mkoani humo ikifuatiwa...
  2. W

    Mbatia Hakubaliki kila kona, jitihada za kujitetea zimegonga mwamba

    Mgogoro wa NCCR Mageuzi umeibuka kwa sura tofauti baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuzuiwa kufanya mkutano wake na Waandishi wa Habari. Katika hali ya kutaka kujibu uamuzi wa jana wa chama hicho, Mbatia aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Regency...
  3. W

    Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Habari wakuu! Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na...
  4. W

    Wakili Mkuu Gabriel Malata wa Serikali amjibu Prof. Issa Shivji - Ardhi ya Umma

    Rais Ndiye Mkuu wa nchi, Nchi ni Ardhi na vitu vyote vilivyomo, Hakuna nchi ambayo haina Ardhi. Ibara ya 1 inazungumzia Tanzania ni nchi ya Jamhuri ya muungano, Ibara ya Pili inaelezea Eneo la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rasilimali na Mali asili zote zimewekwa chini ya Mkuu wa Nchi. Ardhi...
  5. W

    Mbowe kukutana na Rais Samia Ikulu tarehe 11 & 12 June 2022

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema amekuwa akifanya mawasiliano na Ikulu sio mara moja wala mbili na hataki kuwa msiri kwa msababu anampango wa kukutana na Rais Ikulu tarehe 11 na 12 Juni 2022. Ameomba wanachama wa CHADEMA wawe watulivu kwani watawajukishwa matokeo ya vikao hivyo...
  6. W

    Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wazibua mishipa pacha ya moyo iliyoziba kwa asilimia 95

    Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamezibua mishipa miwili iliyokuwa inapeleka damu kwa wakati mmoja kwenye moyo (mishipa pacha ya damu – bifurcation lesion) ambayo ilikuwa imeziba kwa asilimia...
  7. W

    Waziri Vicky Ford ameonesha kuridhishwa na utoaji wa huduma katika kituo cha afya EngenderHealth Tanzania

    Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Amerika ya Kusini na Visiwa vya Karibian Mhe. Vicky Ford ameonesha kuridhishwa na utoaji wa huduma katika kituo cha afya EngenderHealth Tanzania kilichopo Yombo Jijini Dar es Salaam. Mhe. Ford ameoneshwa kuridhishwa na utoaji wa huduma...
  8. W

    Teknolojia mpya ya ujenzi wa barabara.

    Bw. Joseph Katallah amekutana na uongozi wa Wakala wa Barabara Nchini (Tanroads) na kujadiliana nao kuhusu matumizi ya teknolojia mpya ya ujenzi wa barabara. Bw. Katallah anashirikiana na Kampuni ya Geopolymer Solutions LLC ya Marekani inayomilikiwa na Bw. Rodney Zubrod ambayo imebuni...
  9. W

    Wizara ya Ardhi kushirikiana na Korea kubadilisha mifumo yake kuwa ya kidigitali

    Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ushirikiano wake na Korea Kusini imeanzisha mkakati wa kuhakikisha inabadilisha mifumo yake upangaji, utumiaji, upimaji na uwekaji kumbukumbu za sekta ya ardhi kutoka analogia kwenda digitali ili kuboresha sekta...
  10. W

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu afunga Mkutano Maalum wa CCM Taifa Jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo kutoka kwa Wazee nchini kwa kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa wa kuleta maendeleo nchini kabla ya kufunga Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa...
  11. W

    Frank Ngailo: Mchezaji wa Tembo Warriors anayekwenda katika majaribio nchini Uturuki

    Naibu waziri wa wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul, amesema matunda ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kukubali kuwa mwenyeji wa mashindano ya Mataifa Barani Afrika kwa Mpira wa Miguu kwa watu wenye ulemavu (CANAF) yameanza kuonekana...
  12. W

    #COVID19 Wanafunzi waanza kufaidi madarasa yaliyojengwa kwa Pesa za Tozo na mkopo wa COVID-19

    Wanafunzi wa Kidato cha 1 kwa mwaka wa masomo 2022 ambao wameanza kutumia madarasa mapya yaliyojengwa kutokana na fedha za mpango wa maendeleo kwa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19. Tukio tukio limefanyika katika Shule ya Sekondari Karibuni ambapo DC Jokate ametumia fursa hiyo kumshukuru...
  13. W

    Tamasha la Kilimanjaro kufanyika Januari 22, 2022 katika Viwanja vya Chuo cha Ushirika, Moshi

    Vikundi zaidi ya 11 kutoka wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro vinatarajiwa kuonesha sanaa za maonesho katika Tamasha la Kilimanjaro linalotajiwa kufanyika jumamosi ya Januari 22, 2022 katika Viwanja vya Chuo cha Ushirika Moshi. Hayo yamesemwa na Afisa Sanaa wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na...
  14. W

    Mkutano wa 50 wa mwaka wa Uwindaji wa Kitalii (Annual Hunting Convention)

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amewasili Jijini New York, Marekani leo tarehe 18 Januari 2022 kwa ajili ya kushiriki mkutano wa 50 wa mwaka wa Uwindaji wa Kitalii (Annual Hunting Convention) ulioandaliwa na Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa Mkutano huo unaotarajiwa kuanza...
  15. W

    Utekelezaji Diplomasia ya Uchumi kwa maslahi ya Taifa: Balozi Liberata Mulamula akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe ambaye pia anaiwakilisha Tanzania nchini Mauritius Balozi Prof. Emmanuel Mbennah na kusisitiza juu ya utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi kwa...
  16. W

    Serikali kutafuta fedha za ujenzi wa barabara ya Chankere - Kagunga mkoani Kigoma yenye urefu wa Kilomita 45

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ameahidi kuwa Serikali itatafuta fedha za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Chankere – Kagunga mkoani Kigoma yenye urefu wa Kilomita 45 itakayojengwa kwa kiwango cha zege. Ahadi hiyo ameitoa Mkoani Kigoma wakati wa...
  17. W

    Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
Back
Top Bottom