Search results

  1. babyfancy

    Je, pombe humfanya mtu apoteze kumbukumbu?

    Jaman habarini na poleni na fukuto msaada jamani eti mtu akikufanyia jambo akiwa kalewa ina maana pombe zikimuisha hawezi kumbuka kitu ambacho alikikifanya akiwa kalewa? Maana kuna ndugu yangu huyo kuna kitu kakifanya akiwa kanywa ucku ila sidhani kama alilewa kivileee na siku ya kesho yake...
  2. babyfancy

    Msaada wa jina

    Naombeni msaada wa jina la mtoto wa kiume nzuri la kikristo, yaani liwe zuriii haswaa [emoji3059][emoji3059]
  3. babyfancy

    Hela yangu hailiwi hovyo!

    Leo nikiwa zangu home na simanzi nzangu za kumuenzi baba wa taifa mara simu yangu ikaita kuanzalia naona namba ya tigo nikapokea NASIKIA sauti kutoka Voda huduma KWA wateja[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na namba yao ya tigo huyo mkaka KANIAMBIA kana mteja kakosea kutuma pesa 47000 imeingia...
  4. babyfancy

    HUYU NABII

    Ilikua 2015 kuna NABII alikua anavuma sana kipindi hicho HAPA dar kuna siku niliota naenda kanisan kwake ile nafika mrangon nikamuona yule NABII yuko ndani ya KANISA na watu ambao wanatisha yaani kama misukure nikaogopa nikaanza kukimbia KUMBE walikua wameniona wakaanza kunikimbiza lakin...
  5. babyfancy

    Naota mdogo wangu ananikaba usiku. Je, anaweza kuwa mchawi?

    Msaada jamanI Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 18 mwanzo nilikua naota wachawi wanakuja kumuiba nyumban nikawa nikawa namuokoa na kuna siku nilikua nimeenda nyumbani na tulilala wote usiku nikaota ananikaba tulipambana kweli na asubuhi yake nikamwambia kuna mtu kanikaba usiku akaniuliza...
  6. babyfancy

    Brigitte’s Inn in Kigamboni

    Ni sehemu nzuri ya kupumzika na familia yako, marafiki na wapenzi. Beach ni nzuri na safi, vyumba vya kulala Ni vizuri na ubora Wa Hali ya juu . Mazingira ni Salama kwa wakubwa na watoto. Kuna bembea za watoto unaweza Ukalipia kwa Mpesa , tigo pesa, Card au Cash. Unaweza kufanya booking kwenye...
  7. babyfancy

    Siku ya kwanza JF

    Siku ya kwanza kuchungulia jf kabla sijajiunga niliwakuta watu mashughuri sana wawili mshana na Mrs mshana demiss nakwambia kulichangamka sasa sahivi sijui mahaba yao yaliishia wapi?
  8. babyfancy

    I need your cooperation

    Hey guys I'm new in so I need your cooperation
Back
Top Bottom